Is this Karma?

Is this Karma?

kuharakia kuoa na kuzaa mapema katika ndoa kunakufanya uumkose huyo intern.. Karma ain't bitch to you...... ni wewe kutokuwa na mapenzi tena na mkeo sio kama ulikuwa unaiba huku moyo umelala kwa mkeo...No!... umekutana na soulmate wako hauwezi ficha hisia zako kwakwe kwa mkeo.

Umenifundisha kusubiri maana haujui lini na yupi atakuwa sahihi... ujana unahitaji kujifunza mengi thoroughly kuliko kukimbilia kufanya maamuz katika hayo mengi...
 
Mmmmmmmh dada yangu usiwe mkali hivyo....mshauri jinsi ya kuepukana na hali hiyo jamani

Unajua kuna mambo mengine ya kujitakia. Halafu ina maana huyu mtu mzima hajui penzi jipya na la kuiba linaonekana(ga) tamu tu?

Sasa acha amuache mkewe aende akaisome namba
 
Na kwako Pia Shemeji.. Ifikie Wakati TuliZike na Wale tuliopewa na Mwenyezi Mungu.. Unapoamua kuoa au kuolewa ni kwamba umemuoana anayekuoa au unayemuoa ndio kila kitu katika Wote Ambao Umekutana nao. Hakuna Dhambi kubwa kama kumkana mwanamke Aliyekuzalia. Machozi ya Wanawake Yatatupa laana kubwa sana na Ipo siku tutayalipia
Shemeji..shemeji..shemeji. Mungu na akubariki ukayaishi haya yote na zaidi. Umesema vyema sana
 
Shemeji..shemeji..shemeji. Mungu na akubariki ukayaishi haya yote na zaidi. Umesema vyema sana

ni tumaini langu kwa yule ambaye nipo nae ataishi katika mikono iliyo salama. Natambua thamani ya niliyenae, natambua heshima na upendo wake juu yangu.. Ameishi kama jicho na mwanga wangu katika giza nene, akanitoa na kuniweka kwenye mwanga... Hakujali mapungufu nilionayo akaamua kuishi na kunipenda mimi. Kwanini nimlipe ubaya? Kwanini nimtendee kile ambacho hajawahi kunitendea? Nasema hapana shemeji
 
kuharakia kuoa na kuzaa mapema katika ndoa kunakufanya uumkose huyo intern.. Karma ain't bitch to you...... ni wewe kutokuwa na mapenzi tena na mkeo sio kama ulikuwa unaiba huku moyo umelala kwa mkeo...No!... umekutana na soulmate wako hauwezi ficha hisia zako kwakwe kwa mkeo.

Umenifundisha kusubiri maana haujui lini na yupi atakuwa sahihi... ujana unahitaji kujifunza mengi thoroughly kuliko kukimbilia kufanya maamuz katika hayo mengi...
Kwa hiyo soulmate wako unakutana naye tu ukichelewa kuoa/kuolewa? Mtu sahihi mtu anapewa na Mungu katika age yoyote ile ambayo Mungu anaona inamfaa mtu huyo.

Kikawaida hadi unafikia kumuoa/kuolewa na mtu ni kwamba umemuona bora kuliko hao wengine. Umeishi naye weee ndo sasa hivi unahisi eti sio chaguo lako sahihi. Huyo mwingine unayemuona kama soulmate wako sasa hivi na yeye Ukianza tu kuishi naye, utahisi ulikosea kuchagua.
 
Kosa kubwa ulilifanya ulivyoamua kuficha marital status yako. Usirudie tena, professionals wanakwambia principle no. 1: Don't ever put mchepuko ahead your wife (the big mama). Mchepuko has to know and agree that she is no 2. Otherwise, piga chini and move on.
 
why getting married wakati nafsi bado haijatulia... I'm sure ungekua hujaoa usingeshindwa kumchukua intern ukalea na hao watoto wawili ulionao!!!

Vijana tuchelewe chelewe kuoa... kuna wengi wazuri bado hamjakutana nao 😊😊😊!!!!

Not right..kwa hiyo kuchelewa ni miaka mingapi? Na anayewahi ni mingapi
 
Kosa kubwa ulilifanya ulivyoamua kuficha marital status yako. Usirudie tena, professionals wanakwambia principle no. 1: Don't ever put mchepuko ahead your wife (the big mama). Mchepuko has to know and agree that she is no 2. Otherwise, piga chini and move on.

Neno hili litawasaidia wachepukaji
 
ni tumaini langu kwa yule ambaye nipo nae ataishi katika mikono iliyo salama. Natambua thamani ya niliyenae, natambua heshima na upendo wake juu yangu.. Ameishi kama jicho na mwanga wangu katika giza nene, akanitoa na kuniweka kwenye mwanga... Hakujali mapungufu nilionayo akaamua kuishi na kunipenda mimi. Kwanini nimlipe ubaya? Kwanini nimtendee kile ambacho hajawahi kunitendea? Nasema hapana shemeji
Amen shemeji angu. Sina hata cha kusema. Ubarikiwe hadi ushangae.
 
...

FYI hadi unafikia kumuoa/kuolewa na mtu ni kwamba umemuona bora kuliko hao wengine. Umeishi naye weee ndo sasa hivi unahisi eti sio chaguo lako sahihi...

Kuna wale walilazimishwa kuoa/kuolewa na kuna waliochaguliwa.

Sio kila tulioko nao ndoani ni machaguo sahihi au yalitoka kwa Mungu!!
 
...

FYI hadi unafikia kumuoa/kuolewa na mtu ni kwamba umemuona bora kuliko hao wengine. Umeishi naye weee ndo sasa hivi unahisi eti sio chaguo lako sahihi...

Kuna waliolazimishwa kuoa/kuolewa na kuna waliochaguliwa wa kuoana nao.

Sio kila tulioko nao ndoani ni machaguo sahihi au yalitoka kwa Mungu!!
 
Ahsante Shemeji nami nakuombea Huyo Uliyenae Asiwe kama mleta mada.. Mungu akusimamie na Akuepushe na Walafi kama Sumbai, kaboom na Bro eli79

Hahahah Kaboom ni mzee wangu bana, unanivunjia heshima ujue. Eli broo wangu wa dhati kabisa, katulia na mkewe hana habaree. Sumbai shem wangu alipitiwa tu but amerudi njia kuu.
 
Kuna wale walilazimishwa kuoa/kuolewa na kuna waliochaguliwa.

Sio kila tulioko nao ndoani ni machaguo sahihi au yalitoka kwa Mungu!!

Wapo wachache sana waliolazimishwa Kwa karne yetu hii, na wapo wengi ambao walijichagulia wenyewe machaguo yao sahihi na wengi wao huwa wanajuta baadaye. Na kuna watu wamepewa watu sahihi kabisa ila hawatambui thamani ya watu wao. Na kuna ambao wanaenjoy Ndoa zao as wote ni machaguo sahihi na wanatambua thamani ya kila mmoja wao
 
Back
Top Bottom