Askofu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2009
- 1,664
- 86
:confused2:
Huamini?? Kuna wanaume walipewa maumbile tu lakini tabia na akili ni za kike
:confused2:
hahaha sasa tuwafanyeje hao Askofu?Huamini?? Kuna wanaume walipewa maumbile tu lakini tabia na akili ni za kike
Huamini?? Kuna wanaume walipewa maumbile tu lakini tabia na akili ni za kike
hahaha sasa tuwafanyeje hao Askofu?
zipoje hizo?
Huamini?? Kuna wanaume walipewa maumbile tu lakini tabia na akili ni za kike
Baba Askofu nakusalimu Sharom! napata shida kidogo kwenye red hapo , hivi akili za kike zikoje, maana kwa ufahamu wangu wa biolojia uwezo wa kufikiri wa mwanadamu huusishwa na akili, na kama hivyo ndivyo basi uwezo huo una uhusiano wa moja kwa moja na ubongo. Sasa there is a scientific proof kuwa wanawake wanamikunjo mingi ndani ya ubongo wao kuliko wanaume, na hiyo maana yake ni kuwa wanawake wanauwezo wsa kufikiri zaid ya wanaume na kwa maana nyingine ni kuwa wanawake wana AKILI kuliko wanaume! ila tu ni wavivu kutumia uwezo huo na kutojiaminui. So mi nafikiri hii ingekaa vizuri kama tu ungesema "Kuna wanaume walipewa maumbile tu lakini tabia za kike"!
Na hili ndilo tatizo la wengi,wana dhana potofu ya kuwa wanawake wasomi wanaringa.Hiyo ni tabia yake tu huyo dada wala haina uhusiano na usomi.
Afadhali unisaidie, yaani kama inferiority flani hivi, yaaani imejengeka aina fulani ya belif kwenye jamii kwamba wanawake wasomi, wanaringa au wananyanyasa waume zao ambao hawajasoma hata kama si kweli. ni kama kirusi kilichoikumba jamii, hata ufanye nini utaaangaliwa kwa jicho lile lile na kuwa judged vilevile no matter how u try to cope.
Huamini?? Kuna wanaume walipewa maumbile tu lakini tabia na akili ni za kike
hahahaha umenichekesha Kaizer hapo nilipo-Highlight:A S-coffee:
Hick! Hick! Habarrr ako VIKIII? Waooooo! Achachachacha! Orait Orait!
Yanini malumbano? Hick! Hick! Hick! Emmm! Orait!
MBU??...:confused2::confused2:
zipoje hizo?
Of course niko kwenye kundi la kina kayumba, lakini hiyo hainizuii kuwaonea huruma wenzangu waliobahatika kubukua, i just feel that they dont deserve matatizo wanayopata kwenye jamii as if kwenda shule ni kosa kubwa walilofanya.
Kama za Mume wa Da Sophy...
:welcome::welcome: hick~@^& Actuale, hapa kuna mmoja anaitwa bahati jana alikuwa ana do ze nidiful nikam:kiss::kiss: kisha nika:confused2::A S-confused1: sasa huyu je ni darasa la ngapi? :A S 109:ray2:eace:
Hahahaha! Sasa baada ya hick! hick! kum hick hick! haukuuu hick hick :gossip: kiaina ili hick hick :hug: halafu hick umchukue hick :car: ili hick hick mka emmm hick mkaaa:bathbaby: ili hick tukiamua ku hick hicklane:lane: kuja huko hick emmm hick tuuu hick hick :violin::drum::lalala: yaani hick tuchukue hick hick :first: kudumisha hick infiii emmm hick ammmm:tea:
Hahahahaha!!!:welcome::closed_2::focus:
hahahahaa...hommie! wacha kabisa ni baraa....:clap2::clap2:nimeku:yo:manake ku :bathbaby: uwanja wa ugenini, halafu wanahitaji izza: mtu unajisikia :A S new::becky:
sasa fanyeni mlane:lane: fasta!:focus::violin::juggle:
Hapa una hakika???!!!!!!!!!! Au ndiyo yaleyale ya stereotyping.