Is there any kind of cold war here? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is there any kind of cold war here?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by carmel, Sep 6, 2010.

 1. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Sijui kwa nini lakini nahisi kuna cold war kati ya wanawake wenye "videgree" na wale ambao hawakufanikiwa kuvipata hivyo videgree. Nilifatilia thread ya da sophy kuhusu ofa au discount kwa shemeji yake, na pamoja na vijembe vingine vyote nilihisi kama suala la videgree vya mgombea mwenza wake nalo linamkera. Hii si kwa da sophy tu bali hii huwa inatokea mara nyingi hata makazini, mitaani tunakoishi na hata masaloon. Kinachonishangaza ni kwa nini wanawake tusifurahie kuona wenzetu wamekula kitabu, na badala yake hiyo inatumiwa kama kosa kwa muhusika, huku ukisakamwa kuwa unajisikia, unaringa eti kwa kuwa tu una videgree. Mbaya zaidi hii inaingia hadi kwa nyumba ndogo, mawifi au hata jamii kujudge kila unachokifanya kwa mfano ukichelewa kuzaa au ukiamua kuzaa mtoto mmoja au wawili utaambiwa unajidai msomi, ukiamua kumwita mwanao jina ulipendalo unaambiwa unajidai msomi, why? mbona mambo haya kwa wanaume hayapo?anyway am just thinking kwa nini mtu asiamue na yeye kwenda shule na kusoma maana siku hizi hata elimu ya o -level kwa miaka 2 inapatikana:lol: na a-level kwa mwaka mmoja pia ipo. na sio lazima kwenda UDSM leave alone nje ya nchi, bali kuna vyuo kibao kuanzia tumaini, st augustine,sijui ruaha, etc na vingine kibao hata vya utalii colleges, why hating the learned sisters, why?
   
 2. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Haaa.....sasa Carmel....tuanzie na wewe, being a woman, upo kundi lipi la learned au kina "kayumba':becky::becky:
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Sep 6, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Learned? what the hell is that?
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Well,, tatizo ninaloliona hapa ni kwa hawa wenye videgree kuvitumia kuwanyanyapaa wenzao ndo maana na wenyewe wakiwapatia wana do ze nidiful kama da Sophy

  Kuwa na degree hakukufanyi udharau utamaduni wa sehemu yako...mfano hili la majina jamani.....wewe Msukuma, baba/mama/ndugu zako wote watoto wao wana majina ya kisukuma, kisa cha wewe kumwita mtoto Lindsay ni nini? Au Cheryl (cole)? Kwani Jidulamabambasi (RIP) Sio jina?

  So kuna kusoma, kuna kuelimika....
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,030
  Likes Received: 23,952
  Trophy Points: 280
  Hapa leo ni.... Ngoja... Hey Mary hick hick hick... Valeur hapa... Umesoma wewe? Hick hick hick! Leta pombe hapa!
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Sep 6, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ushamba ni kitu kibaya sana. Hizo shahada kwenye nchi za watu wala si mali kitu. Kuna mtu zimefanikiwa kimaisha bila hata na kuwa na shahada moja na zimeajiri watu wenye shahada. Hizo mtu kazi zao ni kuanguka sahihi tu kwenye hundi za malipo ya mshahara wa hao wenye shahada.

  Kiwanja ni nadra sana kukuta mtu anatambia shahada. Ukikuta mtu wa hivyo mara tisa kati ya kumi atakuwa ametoka Afrika. Wazungu ukiwatambia shahada ndio wanazidi kukudharau. Kwanza mambo karibu yote uliyoyasoma hadi kutunikiwa hiyo shahada yameasisiwa na wao...lol...sasa utawatambia nini? Ni ujinga mtupu.

  Shahada haimfanyi mtu awe na thamani zaidi yake yule ambaye hana. Wote mnakula, mnakunya, mavi yenu yananuka, mnavuta hewa hiyo hiyo, wote mtakufa, mtaoza, mtageuka nyungunyungu na wadudu wengine, mtakuwa mbolea, n.k., n.k. Sasa jeuri au/ na dharau inatoka wapi? Nashindwa kabisa kuelewa.
   
 7. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #7
  Sep 6, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hapo kwenye red ndo mambo yote. sio wote waliosoma wameelimika.
  lakini tukirudi kwa thread, ni kweli hayo uliyosema Carmel, na kwa kusema kweli huwa nasikitika sana jinsi wadada tunavyopeana vijembe kisa elimu:confused2: tutiane moyo wamma jamani
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Sep 6, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kumbe na wewe ni mchuchu? Dah....
   
 9. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Too late pal...mi nilidhani ungeshaliona hili....ngoja turudi kwen sredi:becky:
   
 10. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280

  Hilo swali ndo unamwelekezea eliza apo hommie? Hapa napigana na mbu flani ivi anataka kuharibu starehe yangu apa....lol
   
 11. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280

  FP, change comes from within kwaza au sio?
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,030
  Likes Received: 23,952
  Trophy Points: 280
  Sasaa hik hik. Hivii hik hik hik. Ile nanii yangu i mean hik hik ice hik ya kumix na hii hik hik aaah! Damn it! Hik hik! We mhujumuuuu! Leta bia baridi hapa! Hik! Hik! Umesoma wewe? Ungesoma ungekuwa hapa hik hik hik! Mwone kwanza.... Leta bia hapa kudadadadadeki!
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,030
  Likes Received: 23,952
  Trophy Points: 280
  Hommie pale ilikuwa niko ndani ya kaunta.....Kumbe ndo ilifikia huko?

  Ngoja kwanza nipambane na hangover halafu tuje turudi kwenye sredi, tuwajadili kina mama wasomi wanavyowanyanyapaa kina da Sophy...LOLZ!
   
 14. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #14
  Sep 7, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hhahahahaha!
  MUNISI hick hick!.......
  ELIZA hick hick!.........

  mmesoma ninyi kweli?
  mary hick hick hebu nenda kaangalie kama nguruwe pori wetu hick hick AMEIVA AU vinginevyo!....

  halafu...?!....
  mbona mnazipangusa valuu vizuri sana na kuzimimina ku-muglass kihivyo?..MMESOMA NINYI KWELI!hickhick kudadadadeki!

  halafu...?!
  mbona mnakompiti na mume wa mshiki ''kwa infidelity?''
  hivi mmesoma kama MSHIKI?
  KUDADADADADEKI ZENU
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Sep 7, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,030
  Likes Received: 23,952
  Trophy Points: 280
  Hahahahaha! Da Sophy naona ameamsha hasira za wasomi LOLZ!

  Da Sophy usifanye hivyo bana! Habar yako Da Sophy! Asalam Aleiku Da Sophy! Achachachachacha!!!!:becky::becky::becky:
   
 16. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #16
  Sep 7, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  leo tupo ki hick hick!
  hick hick ASHURA WA WAPINGA
  HABAAAARRRR AKO BANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
   
 17. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #17
  Sep 7, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahahaha umenichekesha Kaizer hapo nilipo-Highlight:A S-coffee:
   
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Sep 7, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,030
  Likes Received: 23,952
  Trophy Points: 280
  Hick! Hick! Habarrr ako VIKIII? Waooooo! Achachachacha! Orait Orait!

  Yanini malumbano? Hick! Hick! Hick! Emmm! Orait!
   
 19. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #19
  Sep 7, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hahahaha!
  ni hick! hick! mpaka redd apple!pale kuna totoz moja la ki-kenya sijui ni redd apple au ZANZIBAR INN?!kuna totooz moko la ki-nairobarre pale linafungua bia 24/7 HIVI LIMESOMA LILE?...MBONA LINATISHIA SANA NDOA YA TEAMO!

  habarr ake totoooz la ki-kibaki!...AAAHHHH freeeshhiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Sep 7, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,030
  Likes Received: 23,952
  Trophy Points: 280
  Hik! Hik! Au jamani yule MUNISI pale pembeni ya chemba la KITIMOTO pori..... Hata kuandika jina lake hajui Hik! Hik! Emmmm! lakini kwanini anatishia UIMARA wa ndoa ya mama Matesha? Hick! Hick! Orait! Orait!

  Aaaaam Hik! Hik! Anyway! Hebu subiri!
   
Loading...