is p.diddy a vampire? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

is p.diddy a vampire?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by magneto, Jul 11, 2011.

 1. m

  magneto Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  huyu jamaa ukimwangalia toka kwenye video ya ''hate me now'' yuko na nas escoba hadi sasa na album yake ''last train to paris'' yuko vilevile,ki-vimpire vimpire hellena angemwuliza,'for how long he has been 22yrs old' guys did you notice this,p.didy is not growing old!
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mmmm,sijamuona kwenye video kitambo......
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Vampire ndo nin????
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  "What if my son stares with a face like my own And says he wants to be like me when he's grown Sh-t! But I aint finished growing"-Diddy
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  A person ambae yuko loaded akifika age 25 onwards the more siku zinaenda
  the more anakua bora zaidi, yaani kama alikua handsome more handsome
  kama pretty basi anakua beautiful na anaweza kua stuck hapo hadi afike age 37
  mradi anajali afya yake na his/her external and internal health...

  Alafu kuna ile issue wewe uko age 18 hivi unaona Pdiddy mkuuuubwa!! then after
  ten years or twelve wewe upo thirty umechoka hali Pddy yuko ivo ivo,
  But not a vampire... u vampire basi tumpe madonna... angalia ule wimbo aliimba
  na timberlake and she is more than 50 But she rocked na her moves mule
  a lady mwingine hata wa 25 hagusi....
   
 6. m

  magneto Member

  #6
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mkuu bajabiri ili nisikupoteze maana ya vimpire hapa usiangalie kamusi, angalia muvi kama the twilight saga au vimpire diaries,utamwelewa vimpire p.diddy.
  Yo bobsambeke,ukimsoma diddy kwenye hizo lines utajua anajua kabisa anatakiwa awe grown up sasa,lakini ye bado na haitakuja tokea na hizo ni tabia za ki-vimpire
   
 7. m

  magneto Member

  #7
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  asha d,madona wa kwenye 4mins waliyofanya na timberlake naye anaingia kwenye list kama sio vimpaire basi ye ni kama wale watu wa kwenye series ya the event
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  ha ha ha.... sasa nimekupata... you just want discussions on vampires...

  Why not divulge katika the Vampire Diaries....lol...

  Note; unapomjibu mtu its beta utumia reply with quote...
   
 9. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Pesa sabuni ya roho....!!
   
 10. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Vampire???..... Noo
  But the Dude is Crazy...

  Kuna kipindi alikuwa analalamika eti petrol imepanda sana kwahiyo anashindwa kutembea na ndege yake??, Baada ya watu kupeleleza na kugundua kwamba hana ndege, basi jamaa akasema eti ana-own the wing of an aeroplane na sio ndege!!!!!

  The Dude is surely Crazy...

  YouTube - ‪P daddy "Gas Prices are Too High"‬‏
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  VOR you are seriously not serious!!! Sasa alikua na maana gani??
  kua kujitangaza mpunga mrefu au??
   
 12. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  kweli kabisa alikuwa analalamika kwamba mafuta yamepanda sana bei sasa akiwa-anatembea na Jet yake inamcost pesa nyingi sana kwahiyo anaiomba government kuangalia jinsi ya kushusha bei alisema hayo kwenye clip moja ya video...

  Sasa wajanja wakapeleleza kama kweli kuna jet ipo registered kwa jina lake wakakuta hakuna, basi walivyomuhoji tena, akasema ahh ndege yangu ipo registered under "Sir Rock Obama" and he only owns a wing, not the entire jet. (probably the second part was a joke baada ya kumgundua kwamba hana Jet yoyote)
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,292
  Likes Received: 22,068
  Trophy Points: 280
  Acha uzushi, pi didi ana ndege.Ana kasuku, bundi na njiwa
   
 14. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #14
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Dah! mbongo mbongo tu hata awe Black American... i can not genuinely imagine Timberlake kutoa hio pretense....lol
  Naona aliona aibu kweli... and it shows as much as he is loaded not as much as venyewe angetaka....
  Na nasikia ni mtu wa starehe mno wakienda sehemu (hasa na Bruce Willis - I wonder wat they have in common)
  Ni kutapanya pesa vibaya mno....
   
 15. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  For all we know Diddy anaweza kuwa alikuwa anamiliki hiyo ndege kupitia kampuni yake iliyosajiliwa nje ya Marekani i.e. Cayman Island au Panama.
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Hapa Eqlypz the issue is at the time analalama alikua hana...
  ni bora angespecify kua ndege anayo kodi...lol.. hav you watched the video??
   
 17. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa Show off nyingi sana, lakini credit where credits due.., the likes of Jennifer Lopez, walitokea kwake, alafu ukiangalia hii extract from wikipedia amefanya kazi nzuri sana...

   
 18. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa Show off nyingi sana, lakini credit where credits due.., the likes of Jennifer Lopez, walitokea kwake, alafu ukiangalia hii extract from wikipedia amefanya kazi nzuri sana...

   
 19. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  As his rep said he has fractional ownership sasa most of us hatujui jinsi fractional aviation inavyofanya kazi but in most cases you still own a part of the plane and most rich people always create corporations ambazo zinanunua fraction of the plane ambapo majina yao ya kweli hayatumiki kwenye registration instead wanatumia corporations names i.e Mtakuja Air LLC.
  Fractional Jets
   
 20. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  hata kama ni kweli basi kungekuwa hakuna maana ya yeye kubost kwenye video kwamba petrol imepanda, sasa hawezi kutembelea ndege, na anawaomba Arabs kama wanaweza kumsaidia!!!!, alafu hii statement ya kusema kwamba ana-own wing peke yake yaani ndio ilionimaliza nguvu kabisa.., all in all jamaa ni show-off, wangapi wana Jet bana kina John Travolta lakini hatujawasikia wanabost kiasi hicho

  Ingawa credit kwa Diddy ameweza kutengeneza empire yake inayomtengenezea pesa tofauti na brothers wengi ambao huwa wanafuja pesa mwisho wa siku they have nothing to show for it...., Iron Mike to name just a few
   
Loading...