Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 255
Kwa mfuatiliaji makini habari ya wajenzi huru ni hadithi za kusadikika.
Heading yako inahusu!...Lugha za watu hizi jamani twende taratibu!
Kama U-fREEMASON NI KUVAA MASHATI ya hivo basi huenda alikuwa!
Kwa mfuatiliaji makini habari ya wajenzi huru ni hadithi za kusadikika.
Kwa kuwa ameishakufa na kuzikwa na yeye ndio mwenye majibu yote, kila kitakachoongelewa baada ya hapa itakuwa ni speculations tu
there is a time when love makes an intelligent man to become a fool!www.upuuzimtupu.blogspot.com awe asiwe who cares?
no one knows! tuwe tujenge tabia ya kudadis watu wakiwa hai, lakini tukisubiri mpaka watoweke, hakuna atakayekuwa na jibu sahihi miongoni mwa tuliobaki, hasa kwenye ishu kama hizi.