Kuna watu ni wazembe sana wa kufikiri ama kujisomea. free masonry ni genge la watu ama jamii flani walio kubaliana kuwa kama ndugu. ni genge la siri(TOP LEVEL SECRET) ambalo ukiwamo ndani mtu wa nje haruhusiwi kujua nini kinafanyika humo ndani. na ni viapo vikubwa mno ambavyo vina mahusiano ya karibu sana na shetani kwa maana rahisi ni ushetani na wanaabudu shetani. nitaanza kuwaletea makala hizi ili msiojua vizuri msome mlitambue hili. sisemi kwamba kanumba alikuwa free masonry ama la.
free masonry ni genge tajiri kuliko genge lolote hapa duniani kwani ndilo linalomiliki uchumi wa dunia. nikwambie hata tukio la SEPT 11 lilipangwa na kuratibiwa na genge hili, wanaohusika ni viongozi wakubwa sanawa dini zote, nchi zote zenye dola kubwa sana na matajiri wakubwa woote unaowajua wewe. so si genge legelege hata kidogo. genge hilli lipo kaika level 3 ambayo inawakilishwa na pembe tatu iliyogawanywa mara3. ukiangalia kipande cha juu ni kidogo kuliko vyote, hiki kinawakilisha vongozi wa juu kabisa wa genge hili na wanaoujua vizuri u free masonry na siri zake zoote kipande hiki kina jicho linaloona likiashiria kuwa wako very aware na wanachokifanya. kuna kipande cha katikati ni cha watu ma middle men hapa hiki nikikubwa kiasi na kuna watu wengi kiasi ukilinganisha na kipande cha juu. hapa ndoutakutana na watuwengi sana maarufu kama marais wa nchi, wanamziki, waigizaji, wafanya biashara wakubwa wakubwa sehemu hii utakuta watu maarufu kama rihana,jay z, kipande cha chini ni kikubwa kuliko vyoote hiki kinawakilisha tabaka la chini sana la watu ambao wanafanya u free masonry wakiwa wanaujua, na wengine wanaofanyya bila kujua hapa almost kila mtu anaweza kuangukia kwenye hili kundihapa ndipo watu wengi wanaotuzunguk na tunaishi nao wamo katika kundi hili