Iringa ni pazuri kuliko Dodoma

Iringa ni pazuri kuliko Dodoma

Screenshot_20220626-212623_WhatsApp.jpg
 
Tunawaachia haters mnaopadis dodoma mpambane na mjionyeshe kua akilo
Zenu ndogo..hivi kamji kadogo ambako kamejengeka sehem moja kama iringa unapafananishaje na dodoma..nyie wehu..kataeni mkubali,ukitoka dsm,mwanza,arusha inayofata ni dodoma,toeni upuuzi wenu,,wengine ata hamjawahi kufika,amna mnachoongelea zaidi ya vumbi ndo ubaya wa mji? Ukiwa maskini kapuku dodoma huwezi kupapenda sbb ni mji ghali na ukiwa unatembelea miguu kuranda mjini huwezi pia kupakubali dodoma..tafuteni hela dodoma ni mji wa matumizi..
 
Hata kwa uzuri tu huwezi kupaweka dodoma na iringa ,,, iringa bado sana .. Dodoma unapata service zote , burudani zote hadi parks .. iringa kidogo tu umekutana na mabonde ya ipogolo ,yaani pale nothing kabisa .
Hivi Jangwa Litashinda Na Neema Ya Iringa Jamani
 
😅 watoto wa mama hamuwez kuishi Dodoma maana ili uishi Dom lazima uwe na kazi inayo kuingizia pesa, maisha ni gharama sio lelemama... Yaaan kwahizo picha ndio uifananishe Dom na Iringa..? Huko ni kuikosea heshima Dom... Sitegemei kuona kijana mvivu mvivu akapapenda dom
All in all labda unaisemea Dom ya miaka 10 iliyopita
 
Dodoma serikali imelazimisha ndio maana mji haupanuki
 
Tunawaachia haters mnaopadis dodoma mpambane na mjionyeshe kua akilo
Zenu ndogo..hivi kamji kadogo ambako kamejengeka sehem moja kama iringa unapafananishaje na dodoma..nyie wehu..kataeni mkubali,ukitoka dsm,mwanza,arusha inayofata ni dodoma,toeni upuuzi wenu,,wengine ata hamjawahi kufika,amna mnachoongelea zaidi ya vumbi ndo ubaya wa mji? Ukiwa maskini kapuku dodoma huwezi kupapenda sbb ni mji ghali na ukiwa unatembelea miguu kuranda mjini huwezi pia kupakubali dodoma..tafuteni hela dodoma ni mji wa matumizi..
Wanajitoa ufahamu.
 
Unalinganishaje Iringa Na Uzuri Wote Na Dodoma

Hapo Dodoma Sasa Hivi Vumbi Jumlisha Maji Chumvi Watu Wamepauka

midomo Imepasuka Kama Wanakunywa Pombe Ya Moshi

Inzi Nao Waodandia Kwenye Macho
 
Back
Top Bottom