Iringa ni pazuri kuliko Dodoma

Iringa ni pazuri kuliko Dodoma

Dodoma sijawahi kupaelewa japo serilali inajitahidi kufanya massive Investments
 
Dodoma sio mbaya kama mnavyoisagia kunguni humu dahhh 😁😁

Ni ukame Tu ndio sababu au mna mengine,

mbona dar kuna joto, foleni, kimvua kidogo mito inafurika na kuna uswahili mwingii lakini bado mnaipenda

Dodoma ina ubaya wake lakini si kwa kiwango hicho 😁😁😁🙌🙌🙌
 
Shida mnaenda dodoma pesa hamna mifukoni mwenu, jiji la dodoma ni kama Dar ukiwa na pesa hakuna dhambi utaacha kuona ila kama huna pesa wewe nenda huko iringa na mwanza mkapuyange na washamba wenzenu. Na akili za mtoa Mada haziko Sawa yani unafananisha jiji lenye kila wizara, bunge, chuo kikuu kikubwa Africa mashariki, malls za kutosha na Iringa yenye maziwa ya asasi na karenga hotel chenye ghorofa tatu. Mshamba kweli wewe
Wewe ndio mshamba. Nani kakuambia kwmba mji unajengwa na serikali ? Tunazungumzia uzuri wa mji. Dodoma pa hovyo sana baridi ya ajabu ajabu na vumbi jingi. Aidha toka bunge na serikali vimehamia Dodoma mbona mzunguko wa pesa hakuna ? Naunga mkono hoja Iringa ni pazuri kuliko Dodoma. Aidha usilinganishe Jiji la Mwanza na hicho kijiji chenu sijui unakiita Idodomya.
 
Wewe ndio mshamba. Nani kakuambia kwmba mji unajengwa na serikali ? Tunazungumzia uzuri wa mji. Dodoma pa hovyo sana baridibka ajabu ajabu na vumbi jingi. Aidha toka bunge na serikali vimehamia Dodoma mbona mzunguko wa pesa hakuna ? Naunga mkono hoja Iringa ni pazuri kuliko Dodoma. Aidha usilinganishe Jiji la Mwanza na hicho kijiji chenu sijui unakiita Idodomya.
Iringa hukujui wewe Acha maneno yako huwezi kufananisha Dodoma na Iringa labda kama umeshindwa maisha wewe
Dodoma ina hipita iringa mjini zaidi ya mara 100
 
Dom wengi wanapakataa sijui kwanini!
Hata mkipakataa ndiyo pameshakuwa makao makuu. Hakuna anayelazimishwa kukaa Dodoma. Tuacheni na jiji letu kaa unapoona panakufaa. Nakushauri jikite zaidi kuangalia ustawi wa familia yako na usipoteze muda kuijadili Dodoma maana hakuna namna kwa sasa kubadili maamuzi maana Dodoma patakuwa makao makuu ya nchi daima hata iweje.
 
Dodoma sio mbaya kama mnavyoisagia kunguni humu dahhh

Ni ukame Tu ndio sababu au mna mengine,

mbona dar kuna joto, foleni, kimvua kidogo mito inafurika na kuna uswahili mwingii lakini bado mnaipenda

Dodoma ina ubaya wake lakini si kwa kiwango hicho
Daslam watu wakienda na kutakata wanatakata..Ukiwa njema tena ndo kabisa maisha yanakuwa matamu..kero zinazotajwa kuhusu Dodoma hata ukiwa njema kuna namna huwezi kuzikwepa.
 
Dodoma sio mbaya kama mnavyoisagia kunguni humu dahhh 😁😁

Ni ukame Tu ndio sababu au mna mengine,

mbona dar kuna joto, foleni, kimvua kidogo mito inafurika na kuna uswahili mwingii lakini bado mnaipenda

Dodoma ina ubaya wake lakini si kwa kiwango hicho 😁😁😁🙌🙌🙌
Dodoma kama hauna pesa utaipata vizuri ila dar hata kama hauna pesa unaishi poa tu
 
IMG_3074.jpg

dodoma hii ndo sehemu iloboreshwa
 
Hata mkipakataa ndiyo pameshakuwa makao makuu. Hakuna anayelazimishwa kukaa Dodoma. Tuacheni na jiji letu kaa unapoona panakufaa. Nakushauri jikite zaidi kuangalia ustawi wa familia yako na usipoteze muda kuijadili Dodoma maana hakuna namna kwa sasa kubadili maamuzi maana Dodoma patakuwa makao makuu ya nchi daima hata iweje.

Tunaongelea uzur hatuna ajenda ya kubadili capital..,,,.. acha stereotype
 
Iringa hukujui wewe Acha maneno yako huwezi kufananisha Dodoma na Iringa labda kama umeshindwa maisha wewe
Dodoma ina hipita iringa mjini zaidi ya mara 100

Lete ushaidi siyo mashairi..,,,
 
Back
Top Bottom