Iringa ni pazuri kuliko Dodoma

Iringa ni pazuri kuliko Dodoma

Vumbii mno, Upepo mkali alafu kukame balaa.

Yaani ukiishi kule Mwezi Tu ngozi inafubaa hatari.
Unakuta mdada mzuri Ila ana ngozi ngumu balaa na tongotongo hazimuishi machoni.

Dodoma hapana kwakweli.

[mention]Kelsea [/mention] ona hi
 
IRINGA IRINGA IRINGA DAAH NI PAZURI KWA KUISHI BINADAMU BADO NINA NDOTO ZA KURUDI KUISHI KULE NA FAMILIA YANGU,WATU WA PALE NI WAKARIM SANA. MWENYE CONNECTION YA KAZI IRINGA ANICHEKI 0742301930
 
Kiufupi haka kamji kamejengeka vizuri.

Kuna haja ya kupewa jiji sasa!
Ingawa iringa iko concetraced at center lakini kuna uzuri ambao hauko sehemu nyingine.

Kwanza pale town center hapana vumbi hata moja wamesakafia ad pembeni aisee nilipita nilishaangaa
-pili inasehemu kubwa ya mji tofauti na Dodoma.

Checki baadhi ya sehemu za iringa zilizotulia.

View attachment 2274857
Ungeleta na picha za dodoma tulio mbali tulinganishe. La sivyo unapiga porojo tu baada ya kulewa ulanzi wa buku.
 
Kiufupi haka kamji kamejengeka vizuri.

Kuna haja ya kupewa jiji sasa!
Ingawa iringa iko concetraced at center lakini kuna uzuri ambao hauko sehemu nyingine.

Kwanza pale town center hapana vumbi hata moja wamesakafia ad pembeni aisee nilipita nilishaangaa
-pili inasehemu kubwa ya mji tofauti na Dodoma.

Checki baadhi ya sehemu za iringa zilizotulia.

View attachment 2274857
Utakuwa unamatatizo makubw sana
 
Cha kushangaza kuna uzi eti watu wana compare Dodoma na Mwanza nilibaki nacheka tu. Mwanza kweli ni ya kulinganisha na huo uchafu hapo
Sio sahihi kulinganisha Mwanza na Dodoma
Mwanza zuri hila pia sio sahihi kulinganisha iringa na Dodoma kwa uzuri Dodoma ni zuri kuliko iringa
Iringa mjini nipadogo sana inauwezowakutembea kwa Gari dakika 15 umeuzunguka mji mzima
Pia hauna miundombinu hapo kwenye picha unapopaona ndio mji ulipo na ni mdogo sana
Iringa bado sana sana
 
Shida mnaenda dodoma pesa hamna mifukoni mwenu, jiji la dodoma ni kama Dar ukiwa na pesa hakuna dhambi utaacha kuona ila kama huna pesa wewe nenda huko iringa na mwanza mkapuyange na washamba wenzenu. Na akili za mtoa Mada haziko Sawa yani unafananisha jiji lenye kila wizara, bunge, chuo kikuu kikubwa Africa mashariki, malls za kutosha na Iringa yenye maziwa ya asasi na karenga hotel chenye ghorofa tatu. Mshamba kweli wewe
 
Halafu wanasupport watu mambo ya Ajabu kweli iringa unaifananisha naDodoma
Sio sawa atakama hunipendi Dodoma sio kwa kiasi kikubwa
 
Back
Top Bottom