Iringa ni pazuri kuliko Dodoma

Iringa ni pazuri kuliko Dodoma

Iringa bomba saaana, nimeishi pale 7 good years, kwa kweli nili enjoy sana! Kale kaubaridi, shughuli za kiuchumi, ifugaji. Hasa mitaa yangu ya kujidai kibwabwa, nyamhanga, ipogoro na indiuka hahaha mnoge yuvee! Use ludodo tulonge! Nyela Iringa raha kwa watani wangu
 
Iringa mjini yote ni mtaa flani tu kwa dodoma,hata kupumzika watu wanayoka iringa kwenda dodoma na dar,itinga padogo,watu wachache,majengo ya kisasa machache,biashara hakuna,au uzuri gani unaouzungumzia?
 
Kuna Watu wapo rigged sana. Yaani Dodoma ulinganishe na Iringa.

Kuna residential area Iringa unayoweza kulinganisha na Kisasa au Uzunguni Dodoma?
Kuna hotel gani Iringa unayoweza kulinganisha kihadhi na Morena, Rafiki hotel?
Je, airport ya Iringa unaweza kulinganisha na ya Dodoma?
Stand kuuu ya mabasi Iringa unaweza kulinganisha na ya Dodoma?
Maeneo ya starehe yanaweza kulinganisha na ya Dodoma?
Urefu wa barabara zilizotiwa lami unaweza kulinganisha na Iringa.
Kuna taa za barabarani maeneo ya Kisasa, Ilazo, nk

Uwezo wa kufifika wa Dodoma. Dodoma kuna mabasi yanayoanzia safari zake kuelekea Dar, Arusha, Mbeya, Tunduma,
Mwanza, Kigoma, Bukoba, Songea. Hii ina maana idadi ya abiria ni kubwa sana hence uchumi unaoletwa na biashara ya usafiri ni mkubwa sana.

Ni kweli Iringa ni mji mzuri lakini bado mdogo sana.
 
Iringa ni mkoa mzuri sana, ila ha una mzunguko wa pesa. siku pakija kuchangamka, ni pazuri kuliko mikoa mingine yote. hali ya hewa, vyakula, watu, everything.
 
Ukitoa Jiji la mwanza na jiji la dar yanajulikana ni majiji makubwa in tanzania.

Je kati ya haya yaliyosalia ni jiji lipi kubwa na bora? Mbeya, Dom, Arusha, Tanga, na bila kuusahau mji wa Iringa japo sio jiji??

ngosha wa mwanza
Kitombile
Binafsi kwa Tanzania yangu hii naona Jiji bado ni moja tu...( No offence)

Hayo mengine sijui walitumia vigezo gani kuwapa hadhi ya kuwa Jiji..

Imagine unaenda mahali... saa tano/sita usafiri tu changamoto..Kumpata hata mtu wa Boda kipengele...
 
Kiufupi haka kamji kamejengeka vizuri.

Kuna haja ya kupewa jiji sasa!
Ingawa Iringa iko concetraced at center lakini kuna uzuri ambao hauko sehemu nyingine.

Kwanza pale town center hapana vumbi hata moja wamesakafia hadi pembeni aisee nilipita nilishaangaa

Pili inasehemu kubwa ya mji tofauti na Dodoma.

Checki baadhi ya sehemu za Iringa zilizotulia.

View attachment 2274857
Tunza akiba ya maneno afu ikifika 2030 uje tena uiseme hii kauli yako.
Kwa sasa pitia tu idadi ya miradi ya maendeleo iliyopo Dodoma na Iringa afu utaamua mwenyewe nani ni mbabe kwa mwenzake.
 
Ukitoa Jiji la mwanza na jiji la dar yanajulikana ni majiji makubwa in tanzania.

Je kati ya haya yaliyosalia ni jiji lipi kubwa na bora?👉🏽 Mbeya, Dom, Arusha, Tanga, na bila kuusahau mji wa Iringa japo sio jiji??

ngosha wa mwanza
Kitombile
Sijui mbeya, Dom, arusha, Tanga hapo hakuna jiji hata moja zote ni manispaa zilizochangamka😂😂😂
Siasa ni mbaya sana mkuu.
 
Back
Top Bottom