cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,106
- 181,182
Dodoma watu wake ukiwaona kwa mbali unawaona kama wanacheka wakisogea karibu ndio unajua midomo imepauka.






Dodoma watu wake ukiwaona kwa mbali unawaona kama wanacheka wakisogea karibu ndio unajua midomo imepauka.






Inzi machoni wana sababishwa na nini😂🤣😅😆😁😄😃😀 Ukifika Dodoma Sasa Hivi Kupauka, Vumbi, Inzi Machoni, Midomo Kupasuka
Pale kwenye bwawa la mindu nasikiaga Kuna madini ya dhahabu sasa sijajua kama ni kweli ama la!!Shida ya Morogoro mi maji kuwa na madini ya ulanga. Mara nyingi wageni hupatwa na ugonjwa wa tumbo
Inzi machoni wana sababishwa na nin
Nikitokaga moro kwenda dodoma najihisi kabisa nimetoka mjini naenda kijijiniTunawaachia haters mnaopadis dodoma mpambane na mjionyeshe kua akilo
Zenu ndogo..hivi kamji kadogo ambako kamejengeka sehem moja kama iringa unapafananishaje na dodoma..nyie wehu..kataeni mkubali,ukitoka dsm,mwanza,arusha inayofata ni dodoma,toeni upuuzi wenu,,wengine ata hamjawahi kufika,amna mnachoongelea zaidi ya vumbi ndo ubaya wa mji? Ukiwa maskini kapuku dodoma huwezi kupapenda sbb ni mji ghali na ukiwa unatembelea miguu kuranda mjini huwezi pia kupakubali dodoma..tafuteni hela dodoma ni mji wa matumizi..
Out of point. Tunazungumzia uzuri wa mji wewe unazungumzia ukubwa wa mji. Tunajua Dodoma ni kubwa kuliko Iringa ila ukweli mchungu ni kwamba Iringa ni nzuri kuliko DodomaIringa hukujui wewe Acha maneno yako huwezi kufananisha Dodoma na Iringa labda kama umeshindwa maisha wewe
Dodoma ina hipita iringa mjini zaidi ya mara 100
Hakuna kitu. Matumizi gani hapo ? Vumbi tuTunawaachia haters mnaopadis dodoma mpambane na mjionyeshe kua akilo
Zenu ndogo..hivi kamji kadogo ambako kamejengeka sehem moja kama iringa unapafananishaje na dodoma..nyie wehu..kataeni mkubali,ukitoka dsm,mwanza,arusha inayofata ni dodoma,toeni upuuzi wenu,,wengine ata hamjawahi kufika,amna mnachoongelea zaidi ya vumbi ndo ubaya wa mji? Ukiwa maskini kapuku dodoma huwezi kupapenda sbb ni mji ghali na ukiwa unatembelea miguu kuranda mjini huwezi pia kupakubali dodoma..tafuteni hela dodoma ni mji wa matumizi..
Dodoma kama hauna pesa utaipata vizuri ila dar hata kama hauna pesa unaishi poa tu
Dar ni joto Tu mkuu wala sio kingine.. Ngozi inaglow lakini hiyo ni kwa wenye usimple wa maisha. Mtu ni kuli, unapiga bhangi, msosi wa kuungaunga na double kiki, hiyo ngozi itang'aa saa ngapiDaslam watu wakienda na kutakata wanatakata..Ukiwa njema tena ndo kabisa maisha yanakuwa matamu..kero zinazotajwa kuhusu Dodoma hata ukiwa njema kuna namna huwezi kuzikwepa.
Dar ni joto Tu mkuu wala sio kingine.. Ngozi inaglow lakini hiyo ni kwa wenye usimple wa maisha. Mtu ni kuli, unapiga bhangi, msosi wa kuungaunga na double kiki, hiyo ngozi itang'aa saa ngapi
Kuhusu ngozi kupauka Dom ni hali ya hewa Tu na ukiishi fresh mbona ipo kawaida
Kiufupi Dom na Dar hazichekani japo dar mishe ni nyingi sababu ya population kubwa ndio unafuu ulipo..
Japo kuna section za dar ukiziishi ni kheri ukae mkoani

Kweli dada, hata hapavutii.Heeh!!
Tanga na Dar wana faida ya Bahari.. samaki kwa wingi..Tanga na Dar as salaam kipi wanachozalisha wenyewe?
Uzuri unapimwa vipi? Make kwa wenzetu ukisikia uzuri ni New york sio yale Magorofa bali ni utajiri ulioko pale New yorkKiufupi haka kamji kamejengeka vizuri.
Kuna haja ya kupewa jiji sasa!
Ingawa Iringa iko concetraced at center lakini kuna uzuri ambao hauko sehemu nyingine.
Kwanza pale town center hapana vumbi hata moja wamesakafia hadi pembeni aisee nilipita nilishaangaa
Pili inasehemu kubwa ya mji tofauti na Dodoma.
Checki baadhi ya sehemu za Iringa zilizotulia.
View attachment 2274857
Moro vs Udom pekee..moro inakaaNikitokaga moro kwenda dodoma najihisi kabisa nimetoka mjini naenda kijijini
Kama kwa uzuri huo unaomaanisha wewe basi iringa ni zaidi ya Dar na MwanzaOut of point. Tunazungumzia uzuri wa mji wewe unazungumzia ukubwa wa mji. Tunajua Dodoma ni kubwa kuliko Iringa ila ukweli mchungu ni kwamba Iringa ni nzuri kuliko Dodoma
Mimi nipo iringa hapa mjini niambie unazungumzia uzuri wa iringa upo au nyumba za kina Asas zile tatu tuuLete ushaidi siyo mashairi..,,,