Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 5,721
- 5,582
Licha ya kupewa hadhi ya makao makuu lakini suala la huduma za usafiri hapa mjini ni kero kuanzia saa tatu huwezi kupata daladala za kuelekea mitaa mbalimbali ya Dodoma itakubidi utumie gharama kuchukua boda au bajaji.
Suala la giza barabarani, nilijua Mwanza itakuwa inaongoza lakini Dodoma kuna Giza balaa na taa za kumulikia magari zipo njia Moja ya morogoro na mitaa ya CBD.
Barabara ya Iringa ni Giza, barabara ya Arusha ni Giza, barabara ya Singida nayo ni Giza
Ukifika Dodoma huwezi hisi upo ndani ya Jiji labda Kijiji
My consideration:
Serikali ijaribu kuwa serious na makao makuu ya nchi, mji unakua lakini mipangilio ni mibovu ujenzi holela upo sana kuanzia Nala, Mbwanga ,na Miyuji.
Jengeni barabara, pandeni miti, wekeni taa, boresheni huduma za usafiri
masare ChoiceVariable