Iringa ni pazuri kuliko Dodoma

Iringa ni pazuri kuliko Dodoma

Magufuli alijaribu kupapigania Dom aligawa mpaka maeneo ya kujenga ofisi za mabalozi.yani mabalozi watoke Dar wahamie Dom ili tu mji unawiri,haaa lakini wapi mambo magumu kwa Dom.
Hujui unaloandika na pengine hata huijui dodoma wewe njoo ushangae
 

Unalinganishaje Iringa Na Uzuri Wote Na Dodoma

Hapo Dodoma Sasa Hivi Vumbi Jumlisha Maji Chumvi Watu Wamepauka
midomo Imepasuka Kama Wanakunywa Pombe Ya Moshi
Inzi Nao Waodandia Kwenye Macho

 
Hua najiuliza lisu alishindije uchaguzi marambili Kanda ya Kati ubunge najiulizaga sana
 

Unalinganishaje Iringa Na Uzuri Wote Na Dodoma

Hapo Dodoma Sasa Hivi Vumbi Jumlisha Maji Chumvi Watu Wamepauka

midomo Imepasuka Kama Wanakunywa Pombe Ya Moshi

Inzi Nao Waodandia Kwenye Macho

 
Ha ha ha ha bora nijitulize hapa morogoro hata kama ni manispaa lakini ni Kuna m jiji

Inabidi serikali itengeneze mvua bandia ili ituluze vumbi la sivyo watu watavimba macho ha ha ha

Morogoro ni moja kati ninaoupenda,
1 Mwanza
2 Morogoro
3 Dar

Katika ukanda ambao sitamani kuish ni kaskazini, usalama ni mdogo sana
 
Back
Top Bottom