taarifa nilizonazo ni kwamba huyu mwandishi kafumuliwa tumbo na utumbo kutoka, na kufariki dunia palepale.
Source: Itv breaking news.
My take: Hawa polisi wanatekeleza amri ya chama tawala. Juzi pale msamvu walidai yule kijana alipigwa na kitu kizito! Leo watasemaje ili hali mwandishi alikuwa kazini?? Inasikitisha sana ndg zangu watanzania! Nani atakaeiwajibisha hii serikali dhalimu namna??
Can you believe the source?
nyie lazimisheni maandamano lakini hayo maandamano ndio mnatafuta kutoweka kwenye ramani ya vyama vya siasa, iko wapi cuf ngunguri, wapi Nccr , kimsingi hiyo huruma mnayotaka kutoka kwa wananchi hamtaipata kwa staili ya maandamano
Mkuu tupe tàarifa ilinyooka walipigwa kwenye mazingira gani?
Confirmed amefariki wakuu inauma naandika huku machozi yananitoka
Nchi haitawaliki tena.