mpiganaji86
Senior Member
- Sep 26, 2011
- 110
- 13
polisi wa nchi hii wote wanaliwa viboga na wakubwa zao hawana akili
Kuuliza sababu ni kuwa na matatizo hakuna anayefurahi mtu kupigwa risasi, unataka kuleta ushabiki wa kipuuzi.
Uongo mkubwa hakuna chochote acheni uchochezi na ujinga wa chadema
Ni kama kuna thread moja iliandika jambo hili kama taarifa kuwa litatokea hili. Pole wafiwa na R.I.P mwandishi wa habari. Tusubiri polisi kulikanisha hili utasikia " rimarehemu rinepigwa na kitu chenye ncha kari". wapii.
View attachment 63585
wakuu naomba kujua kama ni huyu mtu???ni mtu wa muhimu sana kwenye mabadiliko yetu!
Confirmed amefariki wakuu inauma naandika huku machozi yananitoka
Kama kulikuwa na thread hiyo,mods tunaomba muiweke stiky.
Kama polisi wanauwa wananchi,nani mlinzi wa wananchi?obvious umefikikia wakati ambapo wananchi wanatakiwa wajilinde wenyewe.Ni muhimu sana.Sijakoma, Dont let your love for your political party cripple your sense of thinking and reasoning.
Mikutano ya CHADEMA ilisitishwa hadi zoezi la sensa litakapokwisha, lakini RPC amesema aliruhusu huo mkutano(si ile ya uamsho, M4C) ila ule wa kufungua tawi.
MAKOSA:
-Polisi hapaswi kwenda na risasi za moto katika mikutano
ya watu.
-Hata kama ni risasi za mpira bado hupigwa kwenda
juu(hewani/angani).
Mwisho, Kama Polisi wanashidwa kulinda na kutimiza wajibu wao, Wananchi wenyewe watafanya hivyo(bila uzoefu ila kwa hisia-hasira n.k) na nchi haitakalika esp kwenye zoezi muhimu kama la sensa.
Pole wafiwa wote(familia, wanahabari,nk)
MUNGU wabariki waandishi wa habari,
MUNGU ibariki Tanzania.
Kwa mwendo huu mtasababisha wanachi nao wawe full armed maana ishakuwa Syria sasa