prof.mutunga
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 341
- 60
Kuna yule msanii wa bongo movies tokea ameigiza the Oprah,aliuteka moyo wangu vile pindi hicho nimeoa sasa kuna picha yake nimeipata kwa simu akiwa uchi dah? Naicheki sasa wife amenikuta mara mbili naicheki, ameondoka na wazazi wamekuja kurudisha mahari.