Irine Uwoya

Irine Uwoya

hapo kwenye jina lako, ondoa hilo neno prof maana unaidhalilisha hiyi title
Mbona title hii ishagazalilishwa siku nyingi tu mpaka kuna prdf maji marefu . Sasa ukiona mtu anatumia ni vema akaulizwa hii title anaamanisha nini je ni wale kama shivji au ni kama maji marefu
 
Mimi nimefurahi kuachwa na wife najua hii chance nitaitumia kumtafuta irin jamani mwenye namba zake anisaidie hawa dume watano nimtolee yeye kama mahari ambao upande wa wife wamerudisha tule bata na mtoto irin plz nisaidieni no.zake wana mmu!

....seriously??! :sick:
 
Huyo ameondoka?? namuonea huruma bible yenyewe ilitabiri kuhuru wanaume kwamba watakuja wanawake 7 kwa mwanaume mmoja na kumwambia kula tutakula kwetu ila tuwe nawe ili utuondolee hii aibu yetu. Mwache aende kuna wengine 6 wanakumezea mate
 
Back
Top Bottom