Irene Uwoya: Msanii anayenivutia Bongo

Wa kawaida huyo, hawezi kumfikia binti yangu!!! Ni bomba kama mama yake na kuzidi!!! Mama yake angeshiriki umiss enzi hizo ni lazima angeshinda tu!!! Hata sasa hivi wenye wake ingebidi na sisi tupambanishe vifaa vyetu, ni vimodo ile mbaya. Ili mradi usikute unamlisha vitimoto na minyama na bia, basi tumbo utafikiri anasubiri kuingia leba wodi!!! Tengeneza mkeo na mabinti zako umwambie mke wako awafundishe namna ya kula kwa afya na kutengeneza figure naturally. UIsipofanya hivyo mapema basi wataenda kununua ya kichina.
 
kumbe uzuri zaidi wa mtu ni kuvaa tuchupi! maana sijaona kipya sana zaidi ya kuonekana ni kabinti mchetuko
 
Kwakweli nimzuri ila tabia yake ni mbaya, heshima ni 0
 
mkuu maane ni PM basi mkuu nitumie picha za binti yako mpaka hapa nishammaind bro ukizingatia wewe GREAT THINKER mwenzangu tutaelewana tu,serious mkuu nitumie au hutaki mkwe GREAT THINKER mkuu🙂
 
Uzuri ni nini, na kipimo chake ni nini, na ubaya ni nini?
Separation kati ya uzuri na ubaya ni nini, na ina upana kiasi gani, au je ni range, say btn x and y?"
Lets be specific!
 
hakuna mwanamke ambaye sio mzuri - inategemea:
environment (alipo)
mshiko - hela za kununua sabuni - kuoga maji safi - kuwa na muda wa kumpuzika etc.
utunzaji wa nywele, kucha etc.
mavazi nadhifu
Any woman who take care of herself is beautiful - uzuri wa nje lakini - sijasema wa moyo
 

dont make a w**** a house wife..
 
But hiyo ya kuvuta punda, ni bint alitakiwa kuvutwa au huyo njomba kama ilivokaa! mie imenichanganya kidogo
 
NoooH!! demu wa kawaida sana, badu sijaona kinacho wachanganya, hamfikii demu wangu, tulieni iko siku nitamleta hapa kwa thread
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…