Iran yatungua Drone ya US RQ-4 Global Hawk

Marekani haihitaji kuingia kwenye vita na Irani na si chaguo lake kwa sasa. Si kwamba anashindwa kuingia vitani na kushinda vita. La hasha, sababu ushindi wowote katika vita hasa katika kipindi hiki ni lile "Lengo" ambalo umeweza kulitimiza katika hiyo vita na si tu kuangamiza idadi kubwa ya majeshi ya adui.

Kinachomzuia zaidi Marekani kuingia vitani ni "Maslahi" iliyonayo Uarabuni hasa katika nchi kama Saudia. Endapo Marekani ikiamua kuingia vitani na Irani kunaweza kuathiri maslahi yake na pia kuvuruga mahusiano au ushawishi wa Marekani katika maswala mbalimbali na si Mashariki ya Kati tu bali Dunia nzima.

Marekani inalifahamu hili na ikiweza kuli-address hili swala kwa umakini zaidi huenda likamuongezea Marekani ushawishi si nje tu hata ndani ya Marekani hususan Rais Trump ambaye anajipanga kushinda muhusa wa pili wa uongozi wake huku sera zake za "Make America Great Again" zikijikita zaidi kuyalinda "Maslahi" ya Marekani na si vinginevyo.
 
Mkuu hearly mara yako ya mwisho kusikia vuguvugu la kumtoa Assad madarakani ilikuwa mwaka gani?
Mkuu -- Tangu mwaka jana 'baada ya USA na washirika wenzake wa NATO kurusha mabomu Syria wakijidai kumtuhumu assad kuwa ametumia kemikali kama silaha za maangamizi dhidi ya wananchi --
 
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤪🤪Tunasubiri wakavamie pale kwa Maduro 😂😂😂😂😂
Hivi kama una akili timamu mkuu unadhani hilo jambo linawezekana? Au hujui njia U.S. ambazo amekuwa akizitumia mara zote kufanikisha malengo yake?

Maduro ataondoka tena kwa fedheha, mimi binafsi simchukii ila waliomkalia kooni si watu wakuacha majambo hivihivi
 
Endelea kuota huku ukidanganywa na HELMET wanaojifanya kuwa ni waokoaji kumbe ni kikundi cha USA na Israel ambacho kimeshashindwa mbele ya Russia.
Hivi mbona mrusi mnamtaja sana as if ana jambo la maana analolitenda.

Ni jambo gani mrusi analifanya hasa na amefanikiwa ulimwengu ukatambua vita ya nchi fulani walikuja warusi wakaimaliza au kasaidia taifa fulani kutokana na maradhi ya ebola sasa hivi halina waathirika wa ebola?
Achilia mbali vita ya miongo mingi iliyopita dhidi ya waNazi.

"Unamsikia mtu ananena kwa kukaza mishipa ya shingo kabisa mmarekani hawezi kusogeza pua Venezuela mrusi yupo" like seriously?
Ni wanajeshi wangapi wa Russia wapo Venezuela na je kazi ipi?

Kinachofahamika wapo wanajeshi wachache wakirusi wanaomlinda maduro! Nchi zote zinazoizunguka Venezuela hawamtaki maduro hivi wananchi wakianzisha maandamano yasiyo na ukomo na vurugu unahisi Maduro hatokimbia nchi?

Juan guaido anaogopwa sana na Serikali ya maduro yani sijui nikusimulieje, Maduro hatamani kuona wanajeshi wa U.S. wapo ardhini kwake na anafahamu CIA wapo tayari ndio maana anamtengenezea skendo Guaido ili wafadhili wamuone hafai
 
Mkuu -- Tangu mwaka jana 'baada ya USA na washirika wenzake wa NATO kurusha mabomu Syria wakijidai kumtuhumu assad kuwa ametumia kemikali kama silaha za maangamizi dhidi ya wananchi --

Mkuu pitia hiyo Washington post ya mwaka jana, Assad must go! Ila mpaka successor wake atakapopatikana na kiwa na mlengo wanaoutaka wa U.S. wenyewe
 
Hahaha propaganda tu hizo wanatafuta visingizio baada ya kuwa wame -fail. . Walijisahau sana Wakawaacha Russia na china wajiimarishe --matokeo yake ndio hayo ---Assad mtu asiye na nguvu zozote za kijeshi dhidi ya USA Aliye paswa kupigwa na kuondolewa kwa muda wa ndani ya week 1 ..sasa ame-wagharimu zaidi ya miaka 5...what a lost! !!!?
 
Mkuu pitia hiyo Washington post ya mwaka jana, Assad must go! Ila mpaka successor wake atakapopatikana na kiwa na mlengo wanaoutaka wa U.S. wenyewe
Aibu sana m-dege wote huu Umeshushwa chini ....dah! !!!
iranpic.jpeg
 
Hivi mbona mrusi mnamtaja sana as if ana jambo la maana analolitenda.

Ni jambo gani mrusi analifanya hasa na amefanikiwa ulimwengu ukatambua vita ya nchi fulani walikuja warusi wakaimaliza au kasaidia taifa fulani kutokana na maradhi ya ebola sasa hivi halina waathirika wa ebola?
Achilia mbali vita ya miongo mingi iliyopita dhidi ya waNazi.

"Unamsikia mtu ananena kwa kukaza mishipa ya shingo kabisa mmarekani hawezi kusogeza pua Venezuela mrusi yupo" like seriously?
Ni wanajeshi wangapi wa Russia wapo Venezuela na je kazi ipi?

Kinachofahamika wapo wanajeshi wachache wakirusi wanaomlinda maduro! Nchi zote zinazoizunguka Venezuela hawamtaki maduro hivi wananchi wakianzisha maandamano yasiyo na ukomo na vurugu unahisi Maduro hatokimbia nchi?

Juan guaido anaogopwa sana na Serikali ya maduro yani sijui nikusimulieje, Maduro hatamani kuona wanajeshi wa U.S. wapo ardhini kwake na anafahamu CIA wapo tayari ndio maana anamtengenezea skendo Guaido ili wafadhili wamuone hafai
Ulichokiandika kama bata kapatwa na kipindupindu .
 
Back
Top Bottom