Iran yatungua Drone ya US RQ-4 Global Hawk

Iran yatungua Drone ya US RQ-4 Global Hawk

Urusi anafanya mashambulizi mara kwa mara Syria na juzi kafanya tena alafu cha ajabu analenga misikiti na makazi ya watu akiulizwa kwanini anajibu ni target za maadui!

U.S. hajaufyata Syria bado yupo Assad lazima ataondoka muda wake haujawadia tu, Maduro huoni propaganda zake alizozianza kuwa Juan guaido anatumia fedha za U.S. vibaya anatanua na makahaba kwenye hotel za nyota tano katoa hadi ushahidi wa risiti ili U.S. waache kumuunga mkono.

Jeshi la U.S. linaogopwa sana na maduro sasa hivi wanaishi maisha kama ya Cuba ya enzi za Fidel Castro, maduro asipoondoka sasa muda wa uchaguzi ukifika unakuwa mwisho wake mbaya!
Hahaha yaani taifa kubwa kama USA lina hangaika kumtoa Asad Zaid ya miaka 5 sasa '' ina maana USA wamesha kuwa mbwa koko au?
 
Us alikataa hata kuiuzia ndege Israel kipindi kile ikabidi anunue kwa Ufaransa View attachment 1132322View attachment 1132325
Sasa ndugu yangu una tegemea kwamba USA wangekubali hahah. ..yaani unajua fika kabisa kuwa nivigumu kwa wao kuku Bali ila unaamua kujipofusha. .juzi drone yao imetunguliwa na Iran Waka kataa ---Baada ya Iran kutoa evidence wakakubali. ...... Hivi una toa wapi ujasiri wa kuwaamini waongo wa kiasi hicho
 
Hahaha wameota Manyoya na mikwara yao mbuzi. ...walijifanya Ku -hack Umeme wanaume wakaurejesha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2957][emoji2957]Tunasubiri wakavamie pale kwa Maduro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Taratibu wameshaanza kukubali.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

U.S. drone shot down by Iranian missile in international airspace: U.S. source

A U.S. military drone has been shot down in international airspace over the Strait of Hormuz by an Iranian surface-to-air missile, a U.S. official said on Thursday, speaking on condition of anonymity.

[emoji810] @ReutersWorldChannel [emoji810]
US sio sawa na Iran au Russia,kwenye ukweli anasema ukweli sio propaganda
 
Iran amesema 'huo ni mwanzo tu tunaposema hatutanii, mtu yoyote sio tu marekani akicheza na anga letu au sehemu bahari yetu tunachapa, tupo tayari kwa vita'. Hayo ni maneno ya waziri wa ulinzi wa Iran
 
Back
Top Bottom