Iran yatungua Drone ya US RQ-4 Global Hawk

Iran yatungua Drone ya US RQ-4 Global Hawk

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Iran alipigana na weak Iraq back in days saivi anasumbuliwa na Israel pale Syria
Hakuna Iraq iliokwa na nguvu kijeshi imaginary, kutokana na wingi na ubora was ana Kama ile iliopigana na Iran kwa miaka 8. Iraq alisaidiwa na marekani na allies wake wote. Hiyo isitoshe Soviet Union waliwageuka pia wakisambaza silaha kwa Saddam. Hilo lilifanyika coz Soviet waliogopa kusambaa kwa Imani za kishia katika Soviet.
Hats hivyo wairaq walipigika isivyo kawaida japo walikufa weng kwa pande zote.
 
Katika hali ya Uhasama inayoendelea baina ya US na Iran Leo Iran imeitungua Ndege isiyokua na Rubani aina ya Global Hawk uko mashariki mwa Iran maeneo ya Jask! RQ-4 Global Hawk ni aina ya Drone inayotegemewa sana na Marekani ktk masuala ya Intelligence, kwani sifa yake kubwa ni kupaa ktk attitude ya juu sana na kukaa hewani bila kuongezewa mafuta kwa masaa mengi na iliundwa maalaumu kuzinguka dunia kwa mantiki iyo duru zinaonesha huenda ilitokea Germany kwenda directly to Iran then irudi ni Drone kubwa sana zaidi ya Ndege nyingi tu kwa ukubwa wa mabawa yake.
Kifupi marekani anatafuta sababu,tarataibu anamuingiza Iran kwenye 18.
 
Kifupi marekani anatafuta sababu,tarataibu anamuingiza Iran kwenye 18.

Marekani huwa haingizi timu kwenye nchi zenye nguvu za kutosha za Kijeshi!.

Marekani anajua akilianzaisha Irani, Middle east nzima itawaka moto, maana visima vyote vya Saudia vipo karibu na Irani, vitawaka moto!

Trump akianzisha vita Irani atashindwa uchaguzi, Wamarekani hawana muscle ya kubeba vita nyingine baada ya Afghanistan na Iraq.

Kwa sasa Marekani anachokitafuta ni kutngeneza hali ya sintofahamu ili AWAUZIE WAARABU SILAHA, lakini Kuipiga Iran hilo sahau, Irani siyo ya mchezo mchezo
 
😂😂😂😂😂
 
wakuu nisiwachoshe. Iran ishadungua ndege ya USA mpaka sasa. Mimi nasema mechi kama ndio imeanza na dakika za mwanzoni kabisa Iran inajipatia bao la kuongoza kupita kwa washambukuaje wake hatari. USA hawamini kinachoendelea na dunia kwa ujumla kwani Iran ilichukuliwa kama underdog. Iran bado wanatawala mchezo huku USA wakiutafuta mpira kwa tochi.
 
Yaani kunaushabiki wakibwege kama huu..

Yaani wenzenu wanakufa ww unaleta ushabiki
 
USA waliingia kwa kasi. Sema Iran wamepiga counter attack wakapata goli. Sasa USA wamekuwa waoga wamerudi nyuma
Usa yeye anafuata sheria hasa Ibara ya 51 ya mkataba wa UN,Iran atajikuta anasambaratishwa kama waliomtangulia.Mark my words
 
mkuu sisi tulioko huku Gulf ndio tunausoma mchezo wote hali ni hatari sana usiombe kaka. Tuombe dua haya mambo yaishe kimya kimya tu wengine tunaishi jirani na ma base ya us, logistic inayofanywa si mchezo kaka, hawa jamaa wasikie tu.
 
Back
Top Bottom