Iran yatungua Drone ya US RQ-4 Global Hawk

Iran yatungua Drone ya US RQ-4 Global Hawk

Uturuki na Russia ni majirani na wanafanya biashara mkuu.

Kumbuka USA amegoma kuiuzia F35 stealthy figher Uturuki kwa sababu inamenunua S500 kwa Russia na sasa Uturuki inataka kununua S57 kama mbadala wa S36 zote ni stealthy fighter jet
S500 Urusi mwenyewe hana,bado anazifanyia majaribio.

Su-57 ya Mrusi ina matatizo kibao ndo maana India ikaamua kujitoa sababu hawakuridhishwa na ubora wa hiyo Ndege
 
US wanasema drone iliyoangushwa sio RQ-4 global hawk Bali ni MQ-4 Norton hii ni derivative ya RQ-4 Global hawk! Zinafana kwa kila kitu labda operational capabilities tu moja ina kaa hewani 30hrs nyingine 24hrs na MQ ilikua kwa ajili ya Navy...
Thamani ya moja ya hizi drone ni sawa na F-35 mbili
IMG_20190620_113502.jpg
 
Najua sana kuliko ujuavyo wewe! Kama vita ya Hamas na IDF bado Waliishiwa ammunitions na wakawa wanauziwa na UK sembuse vita ya 1967? Msukaririshwe zama soma
Kwani hao Waarabu unadhani hawakusaidiwa?!
Au unajisahaulisha kama kipindi hicho Misri ilikua upande wa Soviet,nchi za kiarabu zilikua na marundo ya silaha toka Soviet (Russia) lakini zote zikachezea kichapo toka Israel,kichapo Cha muda mfupi lakini kizito
 
Taratibu wameshaanza kukubali.😂😂😂😂😂😂

U.S. drone shot down by Iranian missile in international airspace: U.S. source

A U.S. military drone has been shot down in international airspace over the Strait of Hormuz by an Iranian surface-to-air missile, a U.S. official said on Thursday, speaking on condition of anonymity.

➖ @ReutersWorldChannel ➖
 
Yajayo yanasikitisha sana kwa iran.... This time anatafutiwa kila aina ya uchokoz apigwe... Ni swala la muda tu, pamoja na mbwembwe zote hiz za iran kuwa anaweza kupiga battle na America lakini kuna watu hawataamini kitakachomkuta iran....
Kama vile alivyopigwa Assad wa Syria ambaye bado anadunda tu.😂😂😂😂😂😂😂
 
.
Marekani baada yakukanusha sasa imekiri kua Ndege yake ya gharama imedondoshwa na jeshi la Iran
😂😂😂😂😂😂😂
 
Urusi anafanya mashambulizi mara kwa mara Syria na juzi kafanya tena alafu cha ajabu analenga misikiti na makazi ya watu akiulizwa kwanini anajibu ni target za maadui!

U.S. hajaufyata Syria bado yupo Assad lazima ataondoka muda wake haujawadia tu, Maduro huoni propaganda zake alizozianza kuwa Juan guaido anatumia fedha za U.S. vibaya anatanua na makahaba kwenye hotel za nyota tano katoa hadi ushahidi wa risiti ili U.S. waache kumuunga mkono.

Jeshi la U.S. linaogopwa sana na maduro sasa hivi wanaishi maisha kama ya Cuba ya enzi za Fidel Castro, maduro asipoondoka sasa muda wa uchaguzi ukifika unakuwa mwisho wake mbaya!
Endelea kuota huku ukidanganywa na HELMET wanaojifanya kuwa ni waokoaji kumbe ni kikundi cha USA na Israel ambacho kimeshashindwa mbele ya Russia.
 
Urusi anafanya mashambulizi mara kwa mara Syria na juzi kafanya tena alafu cha ajabu analenga misikiti na makazi ya watu akiulizwa kwanini anajibu ni target za maadui!

U.S. hajaufyata Syria bado yupo Assad lazima ataondoka muda wake haujawadia tu, Maduro huoni propaganda zake alizozianza kuwa Juan guaido anatumia fedha za U.S. vibaya anatanua na makahaba kwenye hotel za nyota tano katoa hadi ushahidi wa risiti ili U.S. waache kumuunga mkono.

Jeshi la U.S. linaogopwa sana na maduro sasa hivi wanaishi maisha kama ya Cuba ya enzi za Fidel Castro, maduro asipoondoka sasa muda wa uchaguzi ukifika unakuwa mwisho wake mbaya!
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤪🤪Tunasubiri wakavamie pale kwa Maduro 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom