Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,581
Hahahahahahahahahahahshahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
Hahaha!!Mkuu iran washasema kama usa nwanaume kweli basi asogeze ile meli yake kibwa ya kubebea ndege kwenye maji ya iran. Kasema ataizamisha ndani ya dakika moja. Iran amesema hiyo meli ibaki huko huko na watalii wake. Hahah eti wanajeshi wa marekani watalii nimecheka sana
Ushabiki mwingine ni aibu tupu,Ushabiki mwingine ni aibu tupu, Irani hamuwezi hata Myahudi sembuse US
Bilion kumi kwa hela ya bongo ni kama Trilion 2?
Sawa CIA tumekuona you will sufferAh bora Marekani waangushwe tyu
Toka nipate ile habari ya Majeshi ya bush kuwakamata wajeda wa iraq na kuwabakisha na mbwa Yani mbwa wanawalawiti wanajeshi wa iraq nilimwona jamaa ana ukatili sana.
Aisee namchukia hadi leo mm ningepewa hela niitunze familia yangu km $ 1 million halafu niambiwe nikajitoe mhanga America pale Pentagon ama white house sisiti naenda mia mia
Hahaha
sasa myahudi anasumbulia na hamas warusha mawe ndo atamuweza muajemi,iran ana kila technology kwenye medani za kivita,,
US si aende sasa mwinzie iran keshaputa mchanga kwenye kiganja cha US,,sasa kazi kwake kujibu,
kama hujaiona mpaka leo toka jf
Mimi ni chotara mkuu, nina asili ya kina Mo salahMkuu Dripboy, mzungu anakutambua wewe ni kama mnyama gani vile? Wanapatikana wengi congo
Ajaribu kumpiga kwake kama yeye ni kidume.
Kweli, si miaka ya 1990's tu hadi sasa mipango ya chinichini ipo. sio rahisi kuibomoa Iran.Iran sio wageni wa vita ndugu, soma historia yao ya kuanzia 1978 hadi manzoni 1990's. Marekani alishajaribu kuibomoa Iran na kupata tabu sana.
Naona Mrusi anazidi kujiaminiKatika hali ya Uhasama inayoendelea baina ya US na Iran Leo Iran imeitungua Ndege isiyokua na Rubani aina ya Global Hawk uko mashariki mwa Iran maeneo ya Jask! RQ-4 Global Hawk ni aina ya Drone inayotegemewa sana na Marekani ktk masuala ya Intelligence, kwani sifa yake kubwa ni kupaa ktk attitude ya juu sana na kukaa hewani bila kuongezewa mafuta kwa masaa mengi na iliundwa maalaumu kuzinguka dunia kwa mantiki iyo duru zinaonesha huenda ilitokea Germany kwenda directly to Iran then irudi ni Drone kubwa sana zaidi ya Ndege nyingi tu kwa ukubwa wa mabawa yake.
![]()
Iran claims it shot American drone, US military doesn't comment
Iran has shot down an American RQ-4 reconnaissance drone flying over Hormuzgan province, Tehran claims. The US military declined to comment.www.rt.com
[emoji23][emoji23]mmarekani sikuhz anachezewa sharubu
We waache tuYajayo yanasikitisha sana kwa iran.... This time anatafutiwa kila aina ya uchokoz apigwe... Ni swala la muda tu, pamoja na mbwembwe zote hiz za iran kuwa anaweza kupiga battle na America lakini kuna watu hawataamini kitakachomkuta iran....
Hahaha Jibu tamTeheran mkuu!
Inawezekana hii ni janja ya America kutungua ndege yake mwenyewe ili kuishambulia Iran kama chadema wanavyowateka kuwapiga Risasi na kuwaua wanachama wake ili ionekane serika Ndiyo inafanya. Hizi mbinu Mataifa ya Magharibi wanatumia sana.Katika hali ya Uhasama inayoendelea baina ya US na Iran Leo Iran imeitungua Ndege isiyokua na Rubani aina ya Global Hawk uko mashariki mwa Iran maeneo ya Jask! RQ-4 Global Hawk ni aina ya Drone inayotegemewa sana na Marekani ktk masuala ya Intelligence, kwani sifa yake kubwa ni kupaa ktk attitude ya juu sana na kukaa hewani bila kuongezewa mafuta kwa masaa mengi na iliundwa maalaumu kuzinguka dunia kwa mantiki iyo duru zinaonesha huenda ilitokea Germany kwenda directly to Iran then irudi ni Drone kubwa sana zaidi ya Ndege nyingi tu kwa ukubwa wa mabawa yake.
![]()
Iran claims it shot American drone, US military doesn't comment
Iran has shot down an American RQ-4 reconnaissance drone flying over Hormuzgan province, Tehran claims. The US military declined to comment.www.rt.com