Kadri siku zinavyoenda wanaomkazia US wanazidi kuongezeka.
Russia,China,Pakstan,North Korea,Iran,Venezuela,palestina,India,Turkey nk.
Mmarekani inabidi yeye kama yy ajiulize ,kwa nini kila siku mataifa yanayompinga yanaongezeka,kwani alichofanya Iran yupo sawa kabisa,sababu analinda nchi yake na raia wake.
Sasa wewe unaingiza ndege ya upelelezi katika taifa la mwenzio ili iweje,alafu mtu unayemfanyia hivyo ushamtisha mara kibao,hata kama ilipita katika anga la kimataifa lakini lengo ya ile ndege ilikuwa baya,Iran wapo sawa kabisa.