Iran yajaribu kupitisha Uranium Tanzania!

Iran yajaribu kupitisha Uranium Tanzania!

Mizunbukuku wanajinyea !! chamsingi kama tunafaidika na hii deal ni sawa kabisa wacha wapitishe, Wa Tanzania tuache unyenyekeaji na na mshangao usio na maana

Duniani hapa ni deal kama kuna interest na watanzania basi deal lifanyike, tuache kushangaashangaaa Eh!
 
Mizunbukuku wanajinyea !! chamsingi kama tunafaidika na hii deal ni sawa kabisa wacha wapitishe, Wa Tanzania tuache unyenyekeaji na na mshangao usio na maana

Duniani hapa ni deal kama kuna interest na watanzania basi deal lifanyike, tuache kushangaashangaaa Eh!
Inavyoonekana unaweza hata kufanya dill la viungo vya maalbino mradi vinalipa shame on you.
 
Mizunbukuku wanajinyea !! chamsingi kama tunafaidika na hii deal ni sawa kabisa wacha wapitishe, Wa Tanzania tuache unyenyekeaji na na mshangao usio na maana

Duniani hapa ni deal kama kuna interest na watanzania basi deal lifanyike, tuache kushangaashangaaa Eh!

Wewe Bull kweli ni Bull Sana
 
Kwa habari kama hizi sijui hata kama mkulu ataweza kupewa vyandarua tena huko kwa Wamarekani!Naona bakuri sasa linaweza baki tupu...ha ha!
 
Kwa nini sasa hivi kuna jitihada za makusudi kuanzisha mahakama ya kadhi Tanzania? Siku za nyuma ilielekea kutokuwa na nguvu kutoka serikalini. Maana yake kufungua mlango wa kujiunga OIC.
Inaweza tafsiriwa kwamba tumeshachafuka tulikozoea kuomba nchi za magharibi sasa tunataka kuelekeza bakuli kwa nchi za jangwani.
 
Huu sio ukweli. Si kwamba Marekani wanatoa 90% ya misaada.
Hebu tuwe wakweli kuhusu hili. Hivi Tanzania imewahi kutamka bayana kwamba inamatatizo na nuklia ya Iran? Hii mie naiona si habari. Maana Tanzania haijawahi kukataa kuwa na mawasiliano na Iran na pia haijawahi kuishutumu Iran juu ya Nuklia. Kwani kila linalopingwa na Marekani ni lazima liwe sahihi dunia nzima? Nchi ngapi zinamiliki Nuklia? Nchi ngapi zimefanikiwa kiviwanda kutokana na kutegemea umeme wa nuklia ambao unaaminika ni nafuu?
Sasa kama Tanzania haijatoa tamko mbona huo usafirishaji ni siri? Mbona kahawa tunajua inatoka wapi na inauzwa wapi? Korosho inatoka Mtwara na tunajua soko kuu ni India. Inajulikana wazi kuwa jamii ya kimataifa imeiwekea vikwazo Irani kutokana na mipango yake ya Nuklia kutoeleweka. We shabikia hapo tutakapoonja madhara yake sijui huyo Iran atatusadia vipi.
 
Kipindi hiki cha miaka yake 5, Kikwete atakuwa salama endapo kama atabadilika na kuhakikisha anafanya vitu vyote kwa uwazi, kufanyia jambo lolote uvunguni kwa kuamini kuwa haitafahamika, haitawezekana, atakuwa akiumbuliwa kila mara maana alio nao wapo naye kwa kuwa ndiyo namna pekee wanayoweza kutengeneza maisha yao lakini siyo kwa sababu wanamwunga mkono katika madudu yake. Kuchezea demokrasia kuna gharama kubwa hata kama utayapata madaraka.
 
Mizunbukuku wanajinyea !! chamsingi kama tunafaidika na hii deal ni sawa kabisa wacha wapitishe, Wa Tanzania tuache unyenyekeaji na na mshangao usio na maana

Duniani hapa ni deal kama kuna interest na watanzania basi deal lifanyike, tuache kushangaashangaaa Eh!


Hamna tatizo kabisa kuhusu kupitisha uranium kwenda Iran. shida ni je hiyo biashara inajulikana na watu wote? wanalipa kodi? uranium inaenda kufanyia nini huko iran ili tuwe clean? maana uranium inatumika sehemu nyingi kwa kuzalishia umeme, iran are they doing the same/?
 
Wana JF napenda kuwahakikishia kuwa huu mpango wa kusafirisha Uranium kwenda Iran KUPITIA tANZANIA NA KENYA ni za kweli.Na kuthibitisha hili kuna dalili mbili:
  1. Mtakumbuka mwaka jana rais wa Iran Ahmedinejad alizuru nchi ya kenya kwa ghafla muda wa masaa
  2. Mtakumbuka pia Makamu wa Rais wa Iran alizuru Tanzania mwaka jana au mwaka huu kama sijakosea na huyu alizuru baada ya hapo move ya KADHI ikapelekwa bungeni na Membe.
  3. Tuchunguze pia Mh.NAKINA(SOMALI) anendesha biashara ya kuchimba madini DRC ni madini gani????
  4. Kuna mwarabu Tajiri wa shinyanga naye anaendesha uchimbaji majini Katanga ni madini gani????
Mwisho nawaomba tuungane bega kwa bega kutoa taarifa kwa wamarekani, tunajua ni wababe lakini wana unafuu kuliko hawa wanaoleta udini na kuendesha biashara ya maangamizi
 
Hiyo ndio Tanzania ya watu wapole na wenye amani !
SEMA TANZANIA YAWANAOIGIZA UPOLE NA AMANI tanzania ya wanafiki, tanzania ya kakundi kawatu wakati marelia bado inaua.
 
Wana JF niwakumbushe kuwa tuhuma za Tanzania na Kenya dhidi ya saga la uranium zina ukweli kutokana na dalili zifuatazo:
  1. Mtakumbuka mwaka jana rais wa Iran Ahmedinejad alizuru gafla nchi ya Kenya na maeneo aliyotembelea ni Mombasa????
  2. Mtakumbuka pia kuwa mwaka jana Makamu wa Rais wa Iran alitembelea Tanzania ??????
  3. Kuna tetesi kuwa Mh.NAKINA (MSOMALI) anaendesha biashara ya uchimbaji madini DRC????? Ni machimbo gani hayo?????
  4. Kuna tajiri mmoja mwarabu wa Shinyanga naye anaendesha machimbo huko DRC je ni machimbo gani hayo????
  5. Mwaka jana baada ya makamu wa Rais wa Iran kudhuru TANZANIA NDIPO MJADALA WA OIC na Kadhi ulipopamba moto kwa kupelekwa rasmi bungeni

WatANZANIA TUAMKE TUMEZIDI KULALA KUNA WATU WACHEZEA NCHI YETU KANA KWAMBA HAINA MWENYEWE

Nawasilisha kwa majadiliano
 
Na mwandishi wetu

BAADA ya tovuti inayovujisha siri nyeti za Serikali za nchi mbalimbali duniani kuanika siri za Taasisi ya Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), mtandao huo wa WeakLeaks umefichua siri nyingine nzito kudai kuwa Tanzania ni kitovu cha
usafirishaji madini ya uranium kwenda nchini Iran

Kwa mujibu wa taarifa za tovuti hiyo, Marekani inazishutumu nchi mbili katika ukanda wa Afrika Mashariki, Kenya na Tanzania kwa kwa madai ya kuwa kitovu cha usafirishaji kinyemela madini hayo hatari.

WeakLeakes ambao ulifichua siri mbalimbali za Balozi za Marekani, unaitaja Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) kuwa ndilo chimbuko la madini hayo ambayo baada ya kusafishwa hutumika kutengeneza nguvu ya umeme na silaha hatari.

Ilidaiwa kuwa madini hayo ya uranium yanachimbwa na kampuni za kigeni katika Jimbo la Katanga kabla ya kampuni hizo kuyasafirisha kwenda Iran kupitia ukanda wa Afrika Mashariki.

Katika taarifa za mtandao huo, mwanadiplomasia wa Marekani jijini Dar es Salaam, Purnell Delly Septemba 2006 anadaiwa kuripoti kwa wakuu wake mjini Washington akisema inafahamika wazi meli zilizosheheni madini ya uranium zimekuwa zikipita katika bandari ya Dar es Salaam zikiwa njiani kwenda Iran.

Kutokana na taarifa hiyo miaka miwili baadaye Polisi wa Kenya waliamua kuingilia kati kile walichohisi, Uganda kusafirisha madini hayo kutoka DRC na kufanikiwa kukamata vifaa hatari vya milipuko na kutiwa mbaroni wanaume wawili waliodaiwa kununu vitu hivyo kutoka DRC kwa thamani ya sh. milioni 3.9 na walipanga kuviuza mjini Nairobi kwa thamani ya sh. milioni Sh.100.

Mei mwaka huu, Polisi nchini Kenya walifanikiwa kukamata kilo 10 ya vitu vinavyosadikika kuwa ni madini ya uranium, hali ambayo ilizua taharuki kwa Jumuiya za Kimataifa kwamba nchi hiyo ilikuwa ikitumika kama njia ya kusafirishia madini hayo kutoka DRC.

Mtandao huo pia ulimnukuu Balozi wa Uswiss akidai kuwa Afrika Mashariki ndiyo njia kuu ya kusafisha madini ya Uranium.

“Kwa mujibu wa mwanadiplomasia mwandamizi wa Uswiss, usafirishaji wa uranium kupitia bandari ya Dar es Salaam unafahamika bayana kati ya kampuni mbili za meli kutoka Uswiss,” aliandika Delly.

“Hans Peter Schoni,ambaye ni Balozi wa Uswiss nchini Tanzania, alishazungumzia kuhusu tuhuma za madini ya uranium kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) kupitishwa katika nchi za Zambia na Tanzania kwenda Iran, lakini hakupewa jibu lolote kutoka kwa kampuni husika ama mahali panapodaiwa kupelekwa madini hayo,”aliongeza mwanadipolimasia huyo.

Alielezea kusikitishwa kwake pamoja na taasisi husika lakini haijawahi kuthibitishwa ama kukanushwa ripoti hizo kuhusu meli hizo za uranium.

Katika ripoti hiyo, Delly ana wasiwasi kwamba huenda mwanadiplomasia wa Marekani mjini Kinshasa, Dpopovich Econoff, ambaye tovuti hiyo ya siri ilimtaja Novemba mwaka 2007 akisema kuwa kuna madini mengi ya uranium nchini DRC.

“Haifahamiki wazi kama kampuni ya Malta Forest ama kampuni nyinginezo zilizopo katika Jimbo la Katanga zinahusika na usafirishaji wa uranium. Mazingira ya kuwepo kwa biashara hiyo yanaonekana lakini ushahidi wa uhakika ndiyo hauonekani,”aliripoti Econoff na kuongeza;

“Vilevile kuna faida kubwa kutokana na kiwango cha uranium kinachozalishwa na kampuni ya Malta Forest's Mines hususani tangu bei ya madini hayo ilipopanda kutoka wastani wa dola 15 mwaka 2004 na kufikia wastani wa dola 135 kwa paundi mwaka 2007,”

Kwa mujibu wa mwanadiplomasia huyo madini hayo yanachimbwa kwa wingi na kampuni zinazomilikiwa na vigogo ndani ya Serikali ya DRC na kusafirishwa nje ya nchi kwa njia ya panya na mitandao ya rushwa.

Alisema mfano kampuni ya Malta Forest inahusishwa na mshauri wa Rais Joseph Kabila huku kampuni za Uswiss na Finnland zikijipatia faida kubwa kutokana na madini hayo katika Jimbo la Katanga.

SOURCE: GAZETI HURU LA KILA SIKU:: Weakleaks yaihusisha Tanzania na uranium DRC
 
hata hiyo CCM itakataa sio uozo bali ni mapato kama mapato megine, ndio mana Tanzania inatissha kwa madawa ya kuleya, kama unabishi kaulize enzi za Mkuu Adadi pale polis alafu ambatanisha na ile ya Mtoto wa mengi, je madawa wanayapata wapi ya kubambika watu
 
na mwandishi wetu

baada ya tovuti inayovujisha siri nyeti za serikali za nchi mbalimbali duniani kuanika siri za taasisi ya kupambana na rushwa nchini (takukuru), mtandao huo wa weakleaks umefichua siri nyingine nzito kudai kuwa tanzania ni kitovu cha
usafirishaji madini ya uranium kwenda nchini iran

kwa mujibu wa taarifa za tovuti hiyo, marekani inazishutumu nchi mbili katika ukanda wa afrika mashariki, kenya na tanzania kwa kwa madai ya kuwa kitovu cha usafirishaji kinyemela madini hayo hatari.

Weakleakes ambao ulifichua siri mbalimbali za balozi za marekani, unaitaja jamhuri ya kidemokrasi ya kongo (drc) kuwa ndilo chimbuko la madini hayo ambayo baada ya kusafishwa hutumika kutengeneza nguvu ya umeme na silaha hatari.

Ilidaiwa kuwa madini hayo ya uranium yanachimbwa na kampuni za kigeni katika jimbo la katanga kabla ya kampuni hizo kuyasafirisha kwenda iran kupitia ukanda wa afrika mashariki.

Katika taarifa za mtandao huo, mwanadiplomasia wa marekani jijini dar es salaam, purnell delly septemba 2006 anadaiwa kuripoti kwa wakuu wake mjini washington akisema inafahamika wazi meli zilizosheheni madini ya uranium zimekuwa zikipita katika bandari ya dar es salaam zikiwa njiani kwenda iran.

Kutokana na taarifa hiyo miaka miwili baadaye polisi wa kenya waliamua kuingilia kati kile walichohisi, uganda kusafirisha madini hayo kutoka drc na kufanikiwa kukamata vifaa hatari vya milipuko na kutiwa mbaroni wanaume wawili waliodaiwa kununu vitu hivyo kutoka drc kwa thamani ya sh. Milioni 3.9 na walipanga kuviuza mjini nairobi kwa thamani ya sh. Milioni sh.100.

Mei mwaka huu, polisi nchini kenya walifanikiwa kukamata kilo 10 ya vitu vinavyosadikika kuwa ni madini ya uranium, hali ambayo ilizua taharuki kwa jumuiya za kimataifa kwamba nchi hiyo ilikuwa ikitumika kama njia ya kusafirishia madini hayo kutoka drc.

Mtandao huo pia ulimnukuu balozi wa uswiss akidai kuwa afrika mashariki ndiyo njia kuu ya kusafisha madini ya uranium.

"kwa mujibu wa mwanadiplomasia mwandamizi wa uswiss, usafirishaji wa uranium kupitia bandari ya dar es salaam unafahamika bayana kati ya kampuni mbili za meli kutoka uswiss," aliandika delly.

"hans peter schoni,ambaye ni balozi wa uswiss nchini tanzania, alishazungumzia kuhusu tuhuma za madini ya uranium kutoka jamhuri ya kidemokrasi ya kongo (drc) kupitishwa katika nchi za zambia na tanzania kwenda iran, lakini hakupewa jibu lolote kutoka kwa kampuni husika ama mahali panapodaiwa kupelekwa madini hayo,"aliongeza mwanadipolimasia huyo.

Alielezea kusikitishwa kwake pamoja na taasisi husika lakini haijawahi kuthibitishwa ama kukanushwa ripoti hizo kuhusu meli hizo za uranium.

Katika ripoti hiyo, delly ana wasiwasi kwamba huenda mwanadiplomasia wa marekani mjini kinshasa, dpopovich econoff, ambaye tovuti hiyo ya siri ilimtaja novemba mwaka 2007 akisema kuwa kuna madini mengi ya uranium nchini drc.

"haifahamiki wazi kama kampuni ya malta forest ama kampuni nyinginezo zilizopo katika jimbo la katanga zinahusika na usafirishaji wa uranium. Mazingira ya kuwepo kwa biashara hiyo yanaonekana lakini ushahidi wa uhakika ndiyo hauonekani,"aliripoti econoff na kuongeza;

"vilevile kuna faida kubwa kutokana na kiwango cha uranium kinachozalishwa na kampuni ya malta forest's mines hususani tangu bei ya madini hayo ilipopanda kutoka wastani wa dola 15 mwaka 2004 na kufikia wastani wa dola 135 kwa paundi mwaka 2007,"

kwa mujibu wa mwanadiplomasia huyo madini hayo yanachimbwa kwa wingi na kampuni zinazomilikiwa na vigogo ndani ya serikali ya drc na kusafirishwa nje ya nchi kwa njia ya panya na mitandao ya rushwa.

Alisema mfano kampuni ya malta forest inahusishwa na mshauri wa rais joseph kabila huku kampuni za uswiss na finnland zikijipatia faida kubwa kutokana na madini hayo katika jimbo la katanga.

Source: gazeti huru la kila siku:: Weakleaks yaihusisha tanzania na uranium drc

tutasikia mengi, lets wait...
 
wa ndugu, ebu moja wetu atunze hizi taarifa tutazitumia baadae
 
Kama ni habari za nyuma ndiyo maana nauliza kwa nini leo zinaibuliwa?????????????? Something is wrong somewhere. Kikwete and his co. should takecare something big is going to happen wait and see. Marekani wakidhamiria kitu whether habari ni za ukweli si za kweli huwa hawarudi nyuma hakuna cha VETO wala mdogo wake na VETO uliza vita vya Irak waliwekewa VETO lakini wakasema wanakwenda wenyewe bila msaada wa mtu, nakumbuka Bush sr alisema If you are not with us you are with them.
Sometime watu mmekuwa mnaongea hata msiyoyafaham. Ni vyema mkajikita kwenye siasa za CHADEMA na CCM. Maana kwa international politics huwa ni vurugu tu. Sasa weakleaks na Kikwete kuangalia kuna nini? Au muwe mnavisoma vitu ndio mnacomment. Huo umbeya wa Marekani watu wamefurahia unavyoanikwa na bahati nzuri na sisi yanayohusu nchi yetu tumeyaona.
 
Wana JF niwakumbushe kuwa tuhuma za Tanzania na Kenya dhidi ya saga la uranium zina ukweli kutokana na dalili zifuatazo:
  1. Mtakumbuka mwaka jana rais wa Iran Ahmedinejad alizuru gafla nchi ya Kenya na maeneo aliyotembelea ni Mombasa????
  2. Mtakumbuka pia kuwa mwaka jana Makamu wa Rais wa Iran alitembelea Tanzania ??????
  3. Kuna tetesi kuwa Mh.NAKINA (MSOMALI) anaendesha biashara ya uchimbaji madini DRC????? Ni machimbo gani hayo?????
  4. Kuna tajiri mmoja mwarabu wa Shinyanga naye anaendesha machimbo huko DRC je ni machimbo gani hayo????
  5. Mwaka jana baada ya makamu wa Rais wa Iran kudhuru TANZANIA NDIPO MJADALA WA OIC na Kadhi ulipopamba moto kwa kupelekwa rasmi bungeni
WatANZANIA TUAMKE TUMEZIDI KULALA KUNA WATU WACHEZEA NCHI YETU KANA KWAMBA HAINA MWENYEWE

Nawasilisha kwa majadiliano
Kwabahati mbaya hoja zako haziclick. Yaani huyo Rais na makamu wake kuja hapa ndio chanzo cha hiyo habari. Mbona wametembelea mataifa mengi saana duniani including Marekani. Hiyo ya mahakama ya kadhi na OIC mbona ilianza siku nyingi hata kabla Kikwete hajawa Rais? Ubalozi wa Iran umekuwepo Tanzania tokea enzi za Mwalim Nyerere. Kama unakumbukumbu nzuri, ni nchi za magharibi ndio ziliisaidia Iran katika vita vyake na Iraq. Sio lazima kuandika kama huna hoja. Hivi mtu akifanya biashara ya kuchomba madini basi ni Muiran na anachimba madini DRC ya kwenda Iran? Duh kuna kazi hapa.
 
Back
Top Bottom