Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,482
mbona hili lilishasemwa muda mrefu tu? ukiona kuna kikwete kwenye selikali ambaye ni rafiki wa gaidi gadafi, ambaye ni rafiki wa iran etc, ujue mambo yote kwenye selikali nikuwapendelea waarabu, kuwafurahisha waarabu hat akama nchi yake itakuwa kwenye picha mbaya...hana lolote.