Iran nchi inayoongoza kwa kuikopesha Tanzania

Waafrika kila siku mnalillia ajira hapa, sasa ww hufkirii kuwa wakitokea watu matajiri kutoka nje kuja kuekeza hapa inakua ni faida kwa waafrika, ua nyinyi ndio akina mkuuu?
Tulikodisha kia je ilileta hizo results za ajira na maendeleo ya uwanja no
Tulikodisha loliondo je taifa lilifaidika kwa ajira no
Tuli ingia mikataba ya madini ya dhahabu nayo yalileta matokeo tuliotarajia
 
Hahahaha, Anayekopa hujipeleka mwenyewe kukopa, hashikiwi bunduki kuwa lazima uje ukope
Kama Tumekopa kwa Wairan ni kwa sababu ya shida zetu. Tukubali tu kuwa Wairan wanongoza kwa kutukopesha. Hizi nyingine ni blah blah tu.

Donation ni gesture ya urafiki tu, huwezi kutegemea donation kufanya mambo makubwa. Ni Lazima Ukope ili ufanye mambo ya maana
Kujipeleka ama kutokujipeleka kukopa kunategemeana na sera za mkopaji na mkopeshaji. Mkopeshaji mwingine anaweza kukufuata yeye mwenyewe kukuomba umkope ama kukushawishi huku akiwa na nia ovu dhidi ya masilahi yako, ndicho kile nilichokisema awali, debt-trap diplomacy. Hakuna urafiki wowote hapo!

Hoja yangu ya msingi tangu awali ipo katika jinsi ambavyo hiyo mikopo inatolewa ukilinganisha na kiasi chote cha deni la nje la Tanzania. Kwa sababu, si kila serikali hutoa mikopo directly kwa serikali za nchi nyingine. Mara nyingi, benki za nchi husika na taasisi au mashirika ya kifedha hutumika badala yake!

Hivyo, takwimu za government-to-government loans haziakisi uhalisia wa deni lote ambalo Tanzania inadaiwa, wala si kipimo sahihi cha kuthibitisha kuwa China na Marekani haziongozi katika kuikopesha Tanzania.
 
Umembiwa government to government loans inachukua 11.5% ya deni zima
Kama unaona hiyo ni namba ndogo basi elewa tu kuwa bado ni matrilion mengi sana hayo, Kwa mujibu wa deni la Taifa la Trilion 62, Hiyo figure ni around Trilion 6, Wewe unaona ndogo hiyo?.
 
Hiyo 11.5% ya government-to-government loans inalingana na 88.5% ya mikopo inayotoka katika benki na taasisi za kifedha za kimataifa?

Tufanye hesabu nyepesi tu!
 
Umembiwa government to government loans inachukua 11.5% ya deni zima
Kama unaona hiyo ni namba ndogo basi elewa tu kuwa bado ni matrilion mengi sana hayo, Kwa mujibu wa deni la Taifa la Trilion 62, Hiyo figure ni around Trilion 6, Wewe unaona ndogo hiyo?.
Kwani ni nani anayevunja hio mikataba ?
 
Nyie mmeanza uhusiano na Israeli, taifa teule, juzi tu baada ya JPM kufungua ubalozi huko na hivyo kuanza uhusiano halisi na wa kimaslahi. Subiri uone mambo yatakavyo changanya hivi karibuni kwa kupokea wataalamu wa nyukilia na kilimo kutoka Israeli.
Kuna mtz mwenye IQ ya ku handle shughuli za kinyuklia ?
 
Hivi aliyekukopesha pesa na aliyekupa pesa bure na kukusaidia kujenga miradi ya kimkakati ni yupi afadhali.
 
Back
Top Bottom