Iran nchi inayoongoza kwa kuikopesha Tanzania

Kujipeleka ama kutokujipeleka kukopa kunategemeana na sera za mkopaji na mkopeshaji. Mkopeshaji mwingine anaweza kukufuata yeye mwenyewe kukuomba umkope ama kukushawishi huku akiwa na nia ovu dhidi ya masilahi yako, ndicho kile nilichokisema awali, debt-trap diplomacy. Hakuna urafiki wowote hapo!

Hoja yangu ya msingi tangu awali ipo katika jinsi ambavyo hiyo mikopo inatolewa ukilinganisha na kiasi chote cha deni la nje la Tanzania. Kwa sababu, si kila serikali hutoa mikopo directly kwa serikali za nchi nyingine. Mara nyingi, benki za nchi husika na taasisi au mashirika ya kifedha hutumika badala yake!

Hivyo, takwimu za government-to-government loans haziakisi uhalisia wa deni lote ambalo Tanzania inadaiwa, wala si kipimo sahihi cha kuthibitisha kuwa China na Marekani haziongozi katika kuikopesha Tanzania.
Siku nyingine tutofautishe Benki kama Entity inayojitegemea, na Nchi ambayo benki hiyo imesajiliwa.
Benki ni mitaji ya watu wengi kutoka katika mataifa mengi, Pesa kutoka katika mashirika na makampuni mengi ya duniani kote, kutoka firms nyingi.

Serikali huwa zina shares tu katika mabenki hayo lakini haimaanishi kuwa pesa za mabenki hayo zote ni za serikali fulani.

Kwa hiyo ukikopshwa hela na Standard Chattered bank ya Uingereza haimaanishi kuwa Uingwreza imekukopesha, bali shareholders wote wa benki hiyo including watu ambao siyo waingereza wanekukopesha, na Wanasubiri faida yaokutokana na riba waliyokutwanga!

Nchi fulani inaweza kukubali kuidhamini nchi nyibgine tu pale itakapochukua mkopo katika benki fulani lakini haimaanishi kuwa nchi hiyo imeikopesha nchi nyingine.

A BANK IS A SEPARATE, FREE BUSINESS ENTITY
 
Haufahamu kuwa serikali pia inaweza kumiliki benki kwa asilimia 100? Achilia mbali kuwa serikali inaweza kuwa na hisa nyingi zaidi katika benki kuliko shareholders wengine.

Fanya utafiti vizuri kuhusu benki ambazo zimeikopesha Tanzania. Miongoni mwa benki hizo ni state-owned, yaani zinamilikiwa na serikali za nchi husika kwa asilimia 100. Benki ya namna hiyo ikikukopesha, ni sawa na serikali ya nchi husika kukukopesha 'indirectly'.
 
Hajafanya makosa yoyote, takwimu ziko sawa hizo
Kama aliyeandaa hajafanya makosa basi wewe mleta uzi ndiye mwenye makosa.

Takwimu za deni lote la nje ambalo Tanzania inadaiwa ziko wapi? Umeleta asilimia 11.5 tu ya deni lote, asilimia 88.5 ya deni lililobaki linatoka wapi na kwa nani?

Leta takwimu kamili hapa za deni lote kisha tuchambue kama kweli China na Marekani haziongozi kuikopesha Tanzania kama ulivyosema. Tusijadili mambo kama tuko kwenye kijiwe cha kahawa!
 
Nimeshakwambia mabenki ni business entity zinazojitegemea, mle ndani kuna hela za sharehoders wengi na wengine ni non state entities. Kupata hela kutoka mabenki hata kama yako State owned haimaanishi nchi hiyo ndo 100% imekukopesha, bali shareholders wote kwa ujumla wake ndo wamekukopesha.
 
Unaelewa maana ya state-owned enterprise?
 
Back
Top Bottom