kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 8,992
- 17,892
NCHI 22 DUNIANI ZATOA MAOMBI KWA IRAN KUNUNUA DRONES ZA KIVITA.
Mshauri wa jeshi la Iran ametamka leo hii kwamba, kuna nchi 22 zimetoa maombi ya kununua drones za kivita nchini Iran. Nchi hizo zimevutiwa na utendaji kazi wa drones za Iran mara baada ya kuona jinsi zinavyoshambulia nchini Ukraine.
Ukraine kwasasa imekuwa ni nchi ya majaribio ya silaha kutoka mataifa makubwa duniani na sasa Iran inajipatia wateja kwa drones zake za kivita vinazotengenezwa nchini Iran licha ya kuwekewa Vikwazo na Marekani kwa zaidi ya miaka 42 sasa.