Tetesi: Iran: Israel inajiandaa kutushambulia

Hao wote walishambuliwa kwanza na Israel kabla hata hawajarusha risasi ya kwanza. Basically walivamiwa, ila ingekua one on one sidhani kama Israel wange survive.
siyo kweli, waarabu walianza mashambulizi ya collabo ili kuifuta Israel
  • Five Arab countries—Egypt, Iraq, Jordan, Lebanon, and Syria—attacked Israel.
  • The Six-Day War, also known as the June war, 1967 Arab–Israeli war or third Arab–Israeli war, was fought between Israel and a coalition of Arab states, primarily Egypt, Syria, and Jordan from 5 to 10 June 1967. Israel occupies a total of 70,000 km2 (27,000 sq mi) of territory: The Golan Heights from Syria.
  • The Six Day War had its origins in disputes between Israel and Egypt over the rights of Israeli shipping to pass through the Suez Canal and the Red Sea.
 
Mbona unakwepa mada, kobaz umeishiwa mada, umeanza topic nyingine ya Upinde :1Head:
  • LGBT rights in Iran have come in conflict with the penal code since the 1930s.
  • There is a significant amount of literature in Persian that contains explicit same-sex illustrations.[20] A few Persian love poems and texts from prominent medieval Persian poet Saadi Shirazi's Bustan and Gulistan have also been interpreted as homoerotic poems
  • Iran usenge walianza kabla ya waxungu, ingawa baada ya mapinduzi imepigwa marufuku, ushoga underground umeshamiri sana,
Mbona mnaita watu kobazi na hakuna anayesema topic inabadilika...
We mwenyewe ndiye umeanzisha mada ya ukobazi, tatizo lenu akili finyu kwamba kila anayepinga Israel ni kobazi.. hili linanishangaza sana...

Usianze kujificha kwenye kichaka cha watu wa aina hio wapo Iran , nachozungumzia hapa ni serikali kutambua usenge.... Benjamin Netanyahu ana clip zake akiwasifu na kuwakaribisha Israel....

Kwenye biblia na kitabu chao cha dini ya uyahudi ipo wazi Mungu hapendezwi na hio dhambi, lakini wameamua kukaza fuvu na wanafanya gay parade, Tel Aviv ni paradiso ya mashoga.. wakija kwenye kuiba ardhi za wenzao utaona wanavyorejea biblia na taurati ili kuhalalisha ushenzi wao...

Lakini taurati hio hio inakataza ushoga hawataki kuelewa, ndio maana tunawaambia hao washenzi ni vibaka na wezi wakubwa wanaotumia hivyo vitabu kuhalalisha ushetani wao....

taifa la mungu la mchongo,

Hivi hio nchi mnayosema imebarikiwa na ipi? hio nchi taifa teule , taifa la mungu, wanaofanya uasi na dhambi kubwa hio ndipo mnaita taifa la mungu , hivi hata kwa IQ ya mbuzi tu mnashindwa kujitambua?

Ni bora uwe masikini wa mali kuliko kuwa masikini wa akili....

Tel_Aviv_Gay_Pride_Parade_2018_%281528881%29.jpg

Hawa washenzi ndio mnawaombea wayahudi weusi usiku na mchana, mnaweka vibendera kwenye ofisi na makanisa ?😂 😂

Hilo taifa mungu analibariki vipi ikiwa ushenzi kama huo umekatazwa kwenye kitabu chao na wao wanafanya?

Ndio maana naamini hizi dini mliletewa kuvurugwa waafrika, kuwa brainwashed.... badilika...
 
Study zinaonyesha usenge umeshamiri sana ktk nchi ambazo ni illegal, Iran usenge umeshamiri na walianza kabla ya wazungu, wana underground community zilizoshamiri, hata members wa IRG na maustadhi wapo kwa LGBTQ :1Head:Nimegundua wewe ni UPINDEunafanya tafiti kijanja, naendelea kukutoa matongotongo kuhusu LGBTQ wenzi wa IRAN, wanaendelea kustawi zaidi

Community Building:
Despite the legal restrictions, LGBTQ individuals in Iran have formed communities and support networks to share experiences, find solidarity, and offer mutual support.

Expression:
Some individuals express their identities and frustrations through various means, including online platforms and even through participation in protests against the regime.
The increasing prevalence of cyberspace played a pivotal role in providing LGBTQ+ individuals with platforms for expression and connection. The ability to communicate and organize online not only facilitated the growth of the movement but also marked a crucial turning point in the history of LGBTQ+ activism in Iran.
 
Five Arab countries—Egypt, Iraq, Jordan, Lebanon, and Syria—attacked Israel.
Labda mtoto wa juzi nachojua Israel alishambulia air force ya misri na kuiteketeza kabisa. Akalipua na maghala ya silaha so technically vita iliishia hapo maana Egypt alikua paralysed hata kabla hajarusha risasi ya kwanza.

Alifanya hivyo hata kwa Iran alilipua silaha zote na air defence kabla hata Iran haijarusha kombora moja. Maana yake hii vita ya siku 12 Iran ameanza vita tayari hana silaha za anga ila kama ingekua vita ya face to face kama Russia na Ukraine nadhani Israel ingebaki historia tu.
 
Israel ilishambulia in response to... wewe ndyo mwenye ubongo na uelewa wa watoto wa Generation Alpha, ingawa ni lizee lenye elimu ya kawaida, unashindwa kuelewa historical facts ambazo hazipindishwi, because that's what happened, baada ya kichapo baadhi ya nchi za kiarabu ziliomba kurudisha uhusiano na Irsarel
  • What caused the 1967 Six-Day War?
    The Six Day War had its origins in disputes between Israel and Egypt over the rights of Israeli shipping to pass through the Suez Canal and the Red Sea.
  • Between June 5 and June 10, Israel defeated Egypt, Jordan, and Syria and occupied the Sinai Peninsula, the Gaza Strip, the West Bank, East Jerusalem, and the Golan Heights.
  • What are Arab countries that support Israel?
    Arab–Israeli alliance
    • Bahrain.
    • Egypt.
    • Jordan.
    • Morocco.
    • Saudi Arabia.
    • United Arab Emirates.
umewaona hao wazito 6 wa kiarabu, ktk hizo nchi tatu zilitandikwa kwenye 6 day war, baadaye wakaachana na ujinga wa ki-kobazi, wamerudisha uhusiano na ISRAEL pamoja na USA, na uchumi wao unashamiri
 
Study zinaonyesha usenge umeshamiri sana ktk nchi ambazo ni illegal, Iran usenge umeshamiri na walianza kabla ya wazungu, wana underground community zilizoshamiri, hata members wa IRG na maustadhi wapo kwa LGBTQ :1Head:Nimegundua wewe ni UPINDEunafanya tafiti kijanja, naendelea kukutoa matongotongo kuhusu LGBTQ wenzi wa IRAN, wanaendelea kustawi zaidi

Community Building:
Despite the legal restrictions, LGBTQ individuals in Iran have formed communities and support networks to share experiences, find solidarity, and offer mutual support.

Expression:
Some individuals express their identities and frustrations through various means, including online platforms and even through participation in protests against the regime.
The increasing prevalence of cyberspace played a pivotal role in providing LGBTQ+ individuals with platforms for expression and connection. The ability to communicate and organize online not only facilitated the growth of the movement but also marked a crucial turning point in the history of LGBTQ+ activism in Iran.
Hebu onyesha picha ya hao LGBTQ wanatembea kwa maandamano Iran Tehran , ndipo niamini ukisemacho... zaidi ya hapo ni vi story vya kutafuta chatGPT na google , story ambazo zimetungwa na hata mimi naweza kuzitunga...
Leta picha kama hizi LGBTQ wap makao makuu ya taifa teule la mungu... wanawake wakisagana na wanaume wakifirana, tena wana kiss hadharani mchana kweue na polisi wakiwalinda...
52104997.JPG

Yaani hawa ndio wa kupambana na wanaume kama Hamas? wanaume wamelegea kiasi hiki? 😂 😂 😂 😂
 
View: https://youtu.be/Ai4U98GyI6c?t=43

mwenyewe umewapenda UPINDE wenzakeo walivyo huru kwao, we huku unajificha usijulikane
😀harta kama ni LGBTQ, IDF hawatumii misuli kama HAMAS ni teknolojia, hata mlemavu anaoperate vyombo, ndyo maana mademu (IDF female pilots)wa israel waliomkojolesha na kumjambisha AYATOLLAH kule IRAN, akakimbilia kwenye mashimo ya nguruwe pori a.k.a kasongo

16 Israeli female pilots were in the skies over Iran — the same regime that spent years oppressing women. Now the tables have turned, from 30,000 feet. They are fighting for the FREEDOM of fellow Iranian women who are oppressed by the EVIL Islamic Regime.
 
Nani kakudanganya wanawake Iran wapo oppressed, huu ndio uongo mnaonopewa na Israel...
Iran kuna wanajeshi wanawake na wanapewa mafunzo makali ya ukomandoo...
20170605_2_24069683_22880309-1.jpg

Infantry ni muhimu sana sana katika vita...
Ndio maana jeshi la IDF wanatandikwa kila siku na Hamas, nakubali wana airforce na hio ni advantage kwao, licha ya kuilipua Gaza kila kona bado inapaswa washuke chini kupambana kiume uso kwa uso... kitu ambacho IDF wameshindwa...

MWaka wa tatu huu wameshindwa kuwadhibiti Hamas... kwa sababu IDF wamelegea...
Askari mashoga, wanavaa diapers kwa sababu kombora likipigwa wanajisaidia ... huku nyuma nati zimelegea... ndio maana wanapatiwa diapers... 😂 😂 😂

images

images

images

Israel Diaper Force (IDF)😂😂😂

Unaweza ku google,wala huu si utani , ni kweli IDF wanapewa diapers...
 
View: https://youtu.be/Ai4U98GyI6c?t=43

mwenyewe umewapenda UPINDE wenzakeo walivyo huru kwao, we huku unajificha usijulikane
😀harta kama ni LGBTQ, IDF hawatumii misuli kama HAMAS ni teknolojia, hata mlemavu anaoperate vyombo, ndyo maana mademu (IDF female pilots)wa israel waliomkojolesha na kumjambisha AYATOLLAH kule IRAN, akakimbilia kwenye mashimo ya nguruwe pori a.k.a kasongo

16 Israeli female pilots were in the skies over Iran — the same regime that spent years oppressing women. Now the tables have turned, from 30,000 feet. They are fighting for the FREEDOM of fellow Iranian women who are oppressed by the EVIL Islamic Regime.

Acha ujinga hapo sio Tehran, leta picha wanapita na parade la upinde pale Tehran...
Leo utatafuta kwenye internet hadi vidole vikuume.. 😂 😂
 
Inashangaza taifa kupambana na kikundi cha mgambo, hawana air defense, hawana kifaru, hawana ndege wala silaha ya kueleweka, mwaka wa 3 hata kiatu cha mateka hawajakipata...

Siku ile siku ya kubadilishana mateka wametoka Hamas karibu 20,000 kushangilia ushindi ... kila siku IDF soldiers wanachinjwa... takwimu halisi ya askari waliokufa hadi sasa ni zaidi ya 10,000... injured ndipo usiseme...

Kwa sababu sote tunaielewa Israel huwa wanaficha sana madhara ya kivita na hasara waliopata... kwenye propaganda wanatumia 150 million usd...

Kwenye vita ya siku 12 walianza kutumia Police kuwakamata raia waliokuwa wanarekodi makombora ya Iran yanavyoshuka.... tulishuhudia kwa macho yetu wakiwafukuza waandishi wa habari kwenye maeneo yaliyopigwa na Iran...

Israel haina uwezo kupambana na Palestine wakiachwa wapambane, US asipoiwezesha fedha Israel, wasipopewa silaha wala intel, Israel haina uwezo kupambana na Hamas.. hilo sina shaka nalo.. Hamas wana commandos ambao Israel hawapo..
Israel haina jeshi imara bana.
Kwa hao Hamas nchi kama Uturuki isingetumia air force hata kidogo. Ungepigwa msako wa ground troop hadi kieleweke.
Waasi wa Kurdish walipelekewa askari 200 tu na Uturuki,walipigwa shaba kama hawana akili nzuri.
Uturuki hakutumia ndege wala drone.
 
Acha ujinga hapo sio Tehran, leta picha wanapita na parade la upinde pale Tehran...
Leo utatafuta kwenye internet hadi vidole vikuume.. 😂 😂
Wewe ndyo JINGA imbecile, sikiliza vizuri, hao ni mashoga wa Iran in exile wanwapambania mashoga wenzao ndani ya Iran
We Kenge Egypt alimpiga Israel 1973 hadi Golda Meir alijihuzuru kwa aibu uwaziri mkuu wa Israel.
Meir resigned in 1974, after her coalition government was unable to form a government, inaitwa DEMOCRACY!
 
Wewe ndyo JINGA imbecile, sikiliza vizuri, hao ni mashoga wa Iran in exile wanwapambania mashoga wenzao ndani ya Iran

Meir resigned in 1974, after her coalition government was unable to form a government, inaitwa DEMOCRACY!
Waende kuwapambania Iran, hao ni wahuni wamelipwa pesa kuandamana nchi za wengine kuichafua Iran...

Leta picha ya hao LGBT wakiwa ndani ya Tehran...

Picha za LGBT wakiwa Tel Aviv nimekuonyesha...
 
nimeshatuma wa ndani ya Iran, ni florishing underground busness

View: https://youtu.be/FCT4yEHZ1uk?t=29

Fighting for Freedom - An LGBTQ + and Women’s Struggle in Iran​

Acha ngonjera na upuuzi, weka hapa picha ya LGBT wakiwa Tehran...
Ukianza kurudi nyuma hivi unaelewa Sodoma na Gomora zilikuwa Israel ya sasa?
Hao ndio wataalamu na mafundi wa hizo kazi...
Punguza ujinga.. hakuna taifa linawazidi ukongwe hao waIsrael kwenye hio kazi..
wewe ndyo MPUUZI nimeshakwambia Madevu anaua LGBTQ so wako undergraound kibao, wenye uwezo ndyo wanaenda exile, sijui unachobisha yaani as if IRAN ndyo mbinguni kwenu
 
nimeshatuma wa ndani ya Iran, ni florishing underground busness

View: https://youtu.be/FCT4yEHZ1uk?t=29

Fighting for Freedom - An LGBTQ + and Women’s Struggle in Iran​

Weka picha hapa LGBTQ wapo Tehran ...
Kama umekosa sema nimekosa.. sio watu wapo Canada wanaandamana kuchafua wenzao mnasema ni Iran, Iran haiutambui usenge na ni marufuku...

Haya sasa shoga hili hapa General wa jeshi anapumuliwa kisogoni... 😂 😂 😂 IDF General 😂😂😂
Kazi kwenu mnaoliombea taifa teule lishinde vita..
Screenshot 2025-08-20 133428.png

Ndio maana wanapigika...
 
Acha ngonjera na upuuzi, weka hapa picha ya LGBT wakiwa Tehran...
Ukianza kurudi nyuma hivi unaelewa Sodoma na Gomora zilikuwa Israel ya sasa?
Hao ndio wataalamu na mafundi wa hizo kazi...
Punguza ujinga.. hakuna taifa linawazidi ukongwe hao waIsrael kwenye hio kazi..
In 2001, an online Iranian LGBT rights organization called "Rainbow" was founded by Arsham Parsi, a well-known Iranian gay activist, followed by a clandestine organization named the "Persian Gay and Lesbian Organization". As of 2008, this group has been renamed as the "Iranian Railroad for Queer Refugees" (IRQR). While the founder of this group had to flee Iran and continue his work as an exile, there is an underground LGBT rights movement in Iran
 
Back
Top Bottom