Tetesi: Iran: Israel inajiandaa kutushambulia

Israel maisha yana enda kama kawaida, uchumi unakua na wanakula bata, upande wa pili huo unaofadhiliwa na Iran, wapamestina wako miserable almost stone age, na hamas ndyo wanapenda hivo, hiyo situation kwao ni business
“Even when aid is delivered into Gaza, Hamas loots it for its own use, blatantly disregarding the needs of the population.”

Inashangaza taifa kupambana na kikundi cha mgambo, hawana air defense, hawana kifaru, hawana ndege wala silaha ya kueleweka, mwaka wa 3 hata kiatu cha mateka hawajakipata...

Siku ile siku ya kubadilishana mateka wametoka Hamas karibu 20,000 kushangilia ushindi ... kila siku IDF soldiers wanachinjwa... takwimu halisi ya askari waliokufa hadi sasa ni zaidi ya 10,000... injured ndipo usiseme...

Kwa sababu sote tunaielewa Israel huwa wanaficha sana madhara ya kivita na hasara waliopata... kwenye propaganda wanatumia 150 million usd...

Kwenye vita ya siku 12 walianza kutumia Police kuwakamata raia waliokuwa wanarekodi makombora ya Iran yanavyoshuka.... tulishuhudia kwa macho yetu wakiwafukuza waandishi wa habari kwenye maeneo yaliyopigwa na Iran...

Israel haina uwezo kupambana na Palestine wakiachwa wapambane, US asipoiwezesha fedha Israel, wasipopewa silaha wala intel, Israel haina uwezo kupambana na Hamas.. hilo sina shaka nalo.. Hamas wana commandos ambao Israel hawapo..
 
kwani waliokuwa nyuma hawawezi kumkuta aliyetangulia? China mbona amemkuta USA na ni UBAVU wao sasa ni sawa, wanaheshimiana,
  • In 1949, China was one of the world’s poorest countries, but now its economy is on the road to ‘high income’ status
  • 1948 Arab-Israeli War: The first war, in 1948–49, began when Israel declared itself an independent state. The conflict ended with Israel controlling all of the Negev up to the former Egypt-Palestine frontier. (Israel alishaanza kuwanyosha waarabu tangu 1948)
  • Six-Day War: The Six-Day War of 1967, Israel attacked and destroyed Egypt’s and Syria’s air forces. Israel also defeated Jordanian attacks. The war ended with Israel in control of the Gaza Strip, the Sinai Peninsula, the West Bank, and Jerusalem.
  • ubabe alioufanya the "Little ISAREL" 1948-1967, USA hawakuwepo
Hivi unaelewa kinachozungumziwa hapa?

Nachozungumzia Israel haina msaada wala faida yoyote iliyoipa US, Israel ni kama mwanamke aliyekwenda
nyumbani kwa mwanaume akamkuta na kila kitu, yeye alichokwenda nacho ni begi la nguo, halafu huyo mwanamke awe anapaza mdomo kwamba bila yeye mme wake hawezi kula kwa sababu anampikia, hawezi kufua nguo kwa sababu anamfulia, hawezi kusafisha nyumba n.k.... wakati ni dhahiri kwamba mwanaume huyo angeweza kuchagua mwanamke yeyote na bado ana nafasi hata akamfukuza na kutafuta mwanamke anayemtaka...

Six days war na vita zingine zote nyuma kubwa unazofahamu US ilikuwa nyuma, ni miaka ile watu walikuwa hawajaanza kuelewa ukweli wa mambo tokana na technology ya habari na mawasiliano ilikuwa duni...

Lakini sasa tumeshuhudia kumbe Israel inayojitapa kutaka kuharibu mpango wa nuclear wa Iran hata vifaa na silaha za kuharibu hivyo vinu mpaka US aingilie kati.... Trump kaongea hadharani walipeleka B-2 japo zilishindwa...

Halafu wajinga wanapeleka credits kwa Israel...

Unaelewa rais Johnson aiwasaidia Israel silaha kupambana six days war?
 
USA inafaidika kuhusiana na Israel, mahusiano yao ni mutual beneficial relationship kwa nyanja nyingi;
  • Defense-related items:
    Israel also sells defense equipment and technology to the U.S. and cooperates on joint military projects.

  • Trade:
    The U.S. and Israel have a free trade agreement, meaning there are reduced barriers to trade between the two countries.
3. Economic Relationship:
  • The U.S. and Israel have a strong economic relationship, with significant two-way trade and investment.
  • Israel has invested heavily in the U.S., including in American high-tech companies.
  • Joint research and development foundations also exist between the two countries, such as BIRD, BSF, and BARD, fostering further collaboration, according to the U.S. Embassy in Israel.
In essence, the relationship between the U.S. and Israel is complex, with the U.S. providing significant aid and Israel contributing to the U.S. economy and defense capabilities through various exports and technological advancements.
KOBAS HAMUELEWI NYIE, nawawekea kwa kiarabu;

This relationship is reflected in the Arabic language, where it is generally referred to as "علاقات أمريكية إسرائيلية" (pronounced: 'alaqaat amrikiyah 'isra'iliyah), meaning "American-Israeli relations". The United States was one of the first countries to recognize Israel, and the two nations have maintained strong ties since. The relationship also includes a free trade agreement, which was the first of its kind for the United States according to the United States Trade Representative (.gov).
 
Tupia hard core references, usituwekee UTOPOLO wa Kobaz,
1949 post WW2 USA ilikuwa busy na Marshal plan for Western Europe recovery, hii ndyo ilikuwa agenda Kuu, wapi ISRAEL ilikuwa featured immediate post WW2 kusaidiwa na USA, I will honorably salute u if u provide unrefutable evidence
 
Inashangaza taifa kupambana na kikundi cha mgambo, hawana air defense, hawana kifaru, hawana ndege wala silaha ya kueleweka, mwaka wa 3 hata kiatu cha mateka hawajakipata...

Siku ile siku ya kubadilishana mateka wametoka Hamas karibu 20,000 kushangilia ushindi ... kila siku IDF soldiers wanachinjwa... takwimu halisi ya askari waliokufa hadi sasa ni zaidi ya 10,000... injured ndipo usiseme...

Kwa sababu sote tunaielewa Israel huwa wanaficha sana madhara ya kivita na hasara waliopata... kwenye propaganda wanatumia 150 million usd...

Kwenye vita ya siku 12 walianza kutumia Police kuwakamata raia waliokuwa wanarekodi makombora ya Iran yanavyoshuka.... tulishuhudia kwa macho yetu wakiwafukuza waandishi wa habari kwenye maeneo yaliyopigwa na Iran...

Israel haina uwezo kupambana na Palestine wakiachwa wapambane, US asipoiwezesha fedha Israel, wasipopewa silaha wala intel, Israel haina uwezo kupambana na Hamas.. hilo sina shaka nalo.. Hamas wana commandos ambao Israel hawapo..

View: https://youtu.be/pjOEJumoABg?si=ZmHiHRPx90vUXFcq

View: https://youtu.be/V_rnL_xBcDA?si=Bsbks7RVy-sNEh0A
Telaviv post october

View: https://youtube.com/shorts/YiKyw1CxZhY?si=zQIthpde8nkQrhMH
 
Tupia hard core references, usituwekee UTOPOLO wa Kobaz,
1949 post WW2 USA ilikuwa busy na Marshal plan for Western Europe recovery, hii ndyo ilikuwa agenda Kuu, wapi ISRAEL ilikuwa featured immediate post WW2 kusaidiwa na USA, I will honorably salute u if u provide unrefutable evidence
Sio US tu EU pia iliwasaidia , France iliwapa ndege za kivita za kutosha hilo taifa la mchongo na US hakuwapa silaha tu, iliwasaidia na intel...

Fuatileni vitu acheni kuwa wajinga..
 
USA inafaidika kuhusiana na Israel, mahusiano yao ni mutual beneficial relationship kwa nyanja nyingi;
  • Defense-related items:
    Israel also sells defense equipment and technology to the U.S. and cooperates on joint military projects.

  • Trade:
    The U.S. and Israel have a free trade agreement, meaning there are reduced barriers to trade between the two countries.
3. Economic Relationship:
  • The U.S. and Israel have a strong economic relationship, with significant two-way trade and investment.
  • Israel has invested heavily in the U.S., including in American high-tech companies.
  • Joint research and development foundations also exist between the two countries, such as BIRD, BSF, and BARD, fostering further collaboration, according to the U.S. Embassy in Israel.
In essence, the relationship between the U.S. and Israel is complex, with the U.S. providing significant aid and Israel contributing to the U.S. economy and defense capabilities through various exports and technological advancements.
KOBAS HAMUELEWI NYIE, nawawekea kwa kiarabu;

This relationship is reflected in the Arabic language, where it is generally referred to as "علاقات أمريكية إسرائيلية" (pronounced: 'alaqaat amrikiyah 'isra'iliyah), meaning "American-Israeli relations". The United States was one of the first countries to recognize Israel, and the two nations have maintained strong ties since. The relationship also includes a free trade agreement, which was the first of its kind for the United States according to the United States Trade Representative (.gov).
US inafaidika zaidi na nchi za EU na China kuliko Palestine nyie brainwashed mnaiita Israel..
 
USA na EU wote wamelazimika kuwa na Israel kwa geopolitics za middle east, huyo ndyo muhimu kwao, u the kobaz can not undo this bond

The U.S. has provided strong support for Israel; it has played a key role in the promotion of good relations between Israel and its neighbouring Arab states. In turn, Israel provides a strategic American foothold in the region as well as intelligence and advanced technological partnerships.
 
Sio kwa ajili ya geopolitics, kwa ajili ya wizi wa rasilimali, ugaidi na kutambulisha ushoga ambao nyinyi mnaunga mkono ushoga unaopelekwa middle east na taifa teule la mungu... 😂 😂 :ClapHD:
pride-yechieli.jpg

Na sasa Israel inapambana na Iran kwa sababu ndio amebaki kuwa powerful kupinga ushoga middle east, wizi wa ardhi na mali asili na ugaidi...
Hata sasa vita imeisha Israel bado inaendeleza mashambulizi ya kigaidi ndani ya Iran...

Hongera sana kuwa upande wa upinde..
 
Mlisema Hamas ni cowards ndio maana wanajificha kwenye handaki. Sasa nyie wajasiri kwanini mnaficha raia zenu chini ya ardhi? Mtaacha lini kuwa cowards?
kuwalinda raia ndio ujasiri wenyewe huo na ndio kazi ya jeshi
 
Viongozi wa Kijeshi nchini Iran wamesema kuwa wanaona Israel ikijiandaa kuishambulia.
Iran imesema itahakikisha inalipiza kisasi mapema kuliko na ndani ya Msaa 48 Israel haitokuwepo.

Zaidi ya ndege 6 za kubeba mizigo za Kirusi zimetua katika Kambi kubwa ya kijeshi na kushusha silaha mbali mbali

Balozi za Uingeleza, Ujerumani na Uswisi zimefungwa
Hakika tetesi zimeanza mwisho kweli. Safari hii kusiwepo na usitishwaji wa mapigano mpaka mshindi apatikane!
 
Umeandika gazeti zima alaf wenye akili wameipuuza comment yako. Jitafakari ndugu yang, sio kila kitu kinachohusu Israel pamoja na Shetaninyahu wenu ni

Umeandika gazeti zima alaf wenye akili wameipuuza comment yako. Jitafakari ndugu yang, sio kila kitu kinachohusu Israel pamoja na Shetaninyahu wenu ni vya kutetewa.
Ukweli mchungu lakini dawa...iran mjinga mmoja unarusha makombora 1000 bila malengo🤣
 
Hamas wakijenga handaki mnawaita cowards ila wayahudi aah ni strategy? Kwa akili hizi ndio maana hata Mossad wamefeli kuwapata mateka kwenye eneo Size ya kariakoo tu.
October 7 hawataisahau hamas....walichokusudia kimekuja kinyume chake....Leo kila kitu Gaza kimekuwa historia
 
Acha uongo walishambulia
1. Research center
2. Bandari
3. Kambi za jeshi
4. Strategic hospital n.k
So sio kweli kwamba walipiga bila malengo acheni propaganda. Mbona hizi taarifa unaweza google tu BBC au CNN ukaona.

Haujui hii ni effective kuliko ballistic missile? Maana ndege inapiga target directly kuliko kutuma kombora 3000 km mpaka lifike limeshakosa ile precision.

Lakini kuweka rekodi sawa Israel ilitumia ballistic missiles indirectly kupitia Meli vita za USA walirusha ballistic missiles kwa Iranian targets.
Lete source inayosema Israel ametumia ballistic missile...hakuna sehemu Israel ametumia missile...narudia Israel ametumia mabom mengine tofauti na ballistic missile
 
Acha uongo walishambulia
1. Research center
2. Bandari
3. Kambi za jeshi
4. Strategic hospital n.k
So sio kweli kwamba walipiga bila malengo acheni propaganda. Mbona hizi taarifa unaweza google tu BBC au CNN ukaona.

Haujui hii ni effective kuliko ballistic missile? Maana ndege inapiga target directly kuliko kutuma kombora 3000 km mpaka lifike limeshakosa ile precision.

Lakini kuweka rekodi sawa Israel ilitumia ballistic missiles indirectly kupitia Meli vita za USA walirusha ballistic missiles kwa Iranian targets.
Na je katika hayo mashambulio kafa kiongozi gani....?
 
Nyie mapimbi mnajifariji halafu hamjui hata mnaongea nini, hakuna na wala hatokuwapo mtu wakumsumbua Israel pale mashariki ya kati, Israel ndo baba lao...
 
Ndio nasema iliapaswa wote wavamie kwa offensive moja yaani ile Hamas inavamia basi hapo hapo houthi irushe missiles na kublock meli za marekani, same time Iran ingeshusha makombora ikiwa supported na ground forces za Irann huko Syria.

At least attack ingekua na uzito wake kama malengo yao yalikua kutaka Palestine wapewe fair treatment
Muulize Egypt, Syria na Lebanon walivyofanya miaka ile na kilichowakuta hawatasahau...Israel ni namba ingine
 
Sio kwa ajili ya geopolitics, kwa ajili ya wizi wa rasilimali, ugaidi na kutambulisha ushoga ambao nyinyi mnaunga mkono ushoga unaopelekwa middle east na taifa teule la mungu... 😂 😂 :ClapHD:
pride-yechieli.jpg

Na sasa Israel inapambana na Iran kwa sababu ndio amebaki kuwa powerful kupinga ushoga middle east, wizi wa ardhi na mali asili na ugaidi...
Hata sasa vita imeisha Israel bado inaendeleza mashambulizi ya kigaidi ndani ya Iran...

Hongera sana kuwa upande wa upinde..
Mbona unakwepa mada, kobaz umeishiwa mada, umeanza topic nyingine ya Upinde :1Head:
  • LGBT rights in Iran have come in conflict with the penal code since the 1930s.
  • There is a significant amount of literature in Persian that contains explicit same-sex illustrations.[20] A few Persian love poems and texts from prominent medieval Persian poet Saadi Shirazi's Bustan and Gulistan have also been interpreted as homoerotic poems
  • Iran usenge walianza kabla ya waxungu, ingawa baada ya mapinduzi imepigwa marufuku, ushoga underground umeshamiri sana,
 
Muulize Egypt, Syria na Lebanon walivyofanya miaka ile na kilichowakuta hawatasahau...Israel ni namba ingine
Hao wote walishambuliwa kwanza na Israel kabla hata hawajarusha risasi ya kwanza. Basically walivamiwa, ila ingekua one on one sidhani kama Israel wange survive.
 
Back
Top Bottom