100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,791
- 30,985
Tulia usiruke ruke kama popcorn ipo kwenye kikaango... hapa ni Israel vs Iran, sijaongeza taifa lolote kuhusu LGBT.. jikite kwenye mada, naona umeanza kuzidiwa... 😂we unasumbuka na nini, wameruhusu ushoga kwa katiba yao, na IRAN kuna mashoga zaidi hata ndani ya IRGC, na baadhi ya nchi za kiislamu zime legalize LGBTQ, hiyo haituhusu, kwa nini ujitese wakati we ni MMATUMBI uliye mnyonge kimaisha???
Several Islamic countries have legalized LGBTQ+ relationships, including Turkey, Bahrain, and parts of Iraq. Additionally, some countries have varying degrees of legal recognition or tolerance for LGBTQ+ individuals, like Lebanon and Kazakhstan.
Nimekuuliza kitu kidogo sana, je Israel waziri wao mkuu kuwa shoga ni sawa? kwa katiba yao ni sahihi?
