Tetesi: Iran: Israel inajiandaa kutushambulia

Kuna wayahudi pia wamekataa kurudi Israel na wanaishi Iran, katika nchi za mashariki ya kati zenye wayahudi wengi ukiitoa Israel inayofuata ni Iran...

Maoni ya mtu mmoja mmoja yapo, hata Israel kuna raia wana support Iran.. na ni wayahudi, watu kama hao hawakosi but majority ndio tunaangalia..
Wayahudi wana fursa ya kuishi nchi yoyote lakini si Arabs, at least unajua hilo
 
Kuna wayahudi pia wamekataa kurudi Israel na wanaishi Iran, katika nchi za mashariki ya kati zenye wayahudi wengi ukiitoa Israel inayofuata ni Iran...

Maoni ya mtu mmoja mmoja yapo, hata Israel kuna raia wana support Iran.. na ni wayahudi, watu kama hao hawakosi but majority ndio tunaangalia..
Wayahudi dunia hii yote ni ya kwao, but not Arabs, hata nchi za kiaarabu zinawakataa waarabu wenzao kwa sababu ya terrorism mind and attitude
 
Unazungumzia scenario ambayo haina maana, you mean kama Isarel haikuweko wakati wa WWII , so haiwezi endelea, I.e hypothesis yao ni -"ili nchu kuwa advanced lazima iwe iliexist na kupigana WWII"
  • Israel is a leader in various technological fields, including IT, biotech, and cybersecurity, providing the U.S. with access to cutting-edge technologies and solutions.
Nasema kwamba US ilikuwa giant kwenye military, science na technology wakati ambapo Israel haipo, hio Israel imeikuta US ni giant na powerful, vita baridi miaka ya 1960s dhidi ya USSR Israel ndio ilikuwa taifa changa...

Hivyo ni ujinga kuanza kudhani Israel ina msaada ambao US inauhitaji, US imejisimamia kabla hata ya Israel kuwepo... umeelewa?
 
Wayahudi dunia hii yote ni ya kwao, but not Arabs, hata nchi za kiaarabu zinawakataa waarabu wenzao kwa sababu ya terrorism mind and attitude
Unazungumzia jew ethinic group ama religious ... maana hata wewe kesho ukipenda unaweza kuwa jew...
Kama ni ethnic usije kujidanganya, Palestinians wanafanana sana na wayahudi hasa Mizrahi jews, Ashkenazi wao wanatoka EU..

Mizrahi jew na arabs hawana tofauti katika muonekano...
 
Middle east population ya >300 million, nchi zenye majeshi high tech inateswa na Irael yenye Population ya 9.5 Million :1Head: , uwepo wa Israel ni mpango wa Mungu, bila hivyo ingeshafutika kitambo, kama wanavyojiapiza wenyewe i.e ultimate mission is to wipe out Israel😱
Hao milion 9.5 wanapelekeshwa na kakikundi kidogo ka Hamas mwaka wa tatu... ndani ya Gaza hawajaokoa mateka hata mmoja, hilo ni jeshi ama askari wa sungusungu...
 
Kwa I Israel hayo ni matukio ya kawaida ktk historia yao, ila Hamas pia wanawatesa na kuwaua palestians wenye msimamo wa amani,
Pia wanaiba chakula cha msaada na kukifanyia biashara, yaani Wapalestina wanapelekwa moto na suffering zaidi na HAMAS kuliko Israel
“Even when aid is delivered into Gaza, Hamas loots it for its own use, blatantly disregarding the needs of the population.”
 
Hao milion 9.5 wanapelekeshwa na kakikundi kidogo ka Hamas mwaka wa tatu... ndani ya Gaza hawajaokoa mateka hata mmoja, hilo ni jeshi ama askari wa sungusungu...
Israel maisha yana enda kama kawaida, uchumi unakua na wanakula bata, upande wa pili huo unaofadhiliwa na Iran, wapamestina wako miserable almost stone age, na hamas ndyo wanapenda hivo, hiyo situation kwao ni business
“Even when aid is delivered into Gaza, Hamas loots it for its own use, blatantly disregarding the needs of the population.”
 
Unazungumzia jew ethinic group ama religious ... maana hata wewe kesho ukipenda unaweza kuwa jew...
Kama ni ethnic usije kujidanganya, Palestinians wanafanana sana na wayahudi hasa Mizrahi jews, Ashkenazi wao wanatoka EU..

Mizrahi jew na arabs hawana tofauti katika muonekano...

Jewish people, which is both an ethnic group and a religious group
 
Kama ndoto ni uhonjwa badi iran inahitaji tiba.

Sikutegemea Iran awe ana weweseka kwa vita ya siku 12 tu.

Kwanza vita haijaisha wako kwenye cease fire, hivyo anapaswa kujua siku na saa yoyote kinawaka.

Yeye alipaswa kujiandaa tu siyo kuweweseka na kulalama, mbona wana wamudu Israel tatizo liko wapi?

Hamas, Hezbollah, Houthis, nao bado wapo wanasaidia anaogopa nini?
 
Nasema kwamba US ilikuwa giant kwenye military, science na technology wakati ambapo Israel haipo, hio Israel imeikuta US ni giant na powerful, vita baridi miaka ya 1960s dhidi ya USSR Israel ndio ilikuwa taifa changa...

Hivyo ni ujinga kuanza kudhani Israel ina msaada ambao US inauhitaji, US imejisimamia kabla hata ya Israel kuwepo... umeelewa?
ujinga (stupidity) unao wewe bado uko pre occupied na medieval na WWII, current issues na status ya Israel ni tofauti, Imbecils kama wewe huwezi comprehend, mambo yanaenda kwa KASI sana, u IMBECILE can not cope with current geopolitical issues, we baki kwenye nostalgia ya WWII
  • Now, Iran has lost out on its nuclear program and ballistic missiles that it has used to threaten the Middle East. Iran’s drones also failed against Israel in the 12-day war. Israel intercepted almost all the drone threats.
  • Israel provides a strategic American foothold in the region as well as intelligence and advanced technological partnerships.
  • Israel generally has a higher GDP per capita and standard of living compared to its neighboring countries. While factors like natural resources play a role, Israel's economic success is largely attributed to its technologically advanced, diversified economy, strong focus on innovation, and efficient resource management
 
Huyo jamaa hajui kuwa in 1940's Marekani ilikuwa more prosperous kuliko sasa. Na hao Wayahud meli zao za ukimbizi zilikuwa zikipigwa marufuku kuingia USA.
 
Nasema kwamba US ilikuwa giant kwenye military, science na technology wakati ambapo Israel haipo, hio Israel imeikuta US ni giant na powerful, vita baridi miaka ya 1960s dhidi ya USSR Israel ndio ilikuwa taifa changa...

Hivyo ni ujinga kuanza kudhani Israel ina msaada ambao US inauhitaji, US imejisimamia kabla hata ya Israel kuwepo... umeelewa?
The U.S. benefits from its close relationship with Israel in several key areas, including security, intelligence sharing, economic cooperation, and shared democratic values. Israel's technological innovation and military capabilities provide valuable assets for the U.S., while the partnership also strengthens American influence in the Middle East.
 
Nadhani umekosea kuni quote maana hoja yangu ni pro Iran sijaelewa why unaniweka kwenye pro-israel category.

Nilikua namjibu mtu anayesema kuwa Israel alipambana alone vs Iran ndio nikamwambia agoogle (western media) ili aone how US na NATO members kadhaa walivyomsaidia Israel kwenye vita ile.

Samahani sana Mkuu, karibu sana.
 
Huyo jamaa hajui kuwa in 1940's Marekani ilikuwa more prosperous kuliko sasa. Na hao Wayahud mwli zao za ukimbizi zilikuwa zikipigwa marufuku kuingia USA.
Upo sahihi, US in 1940s ndipo walikuwa kama China kwa sasa kwenye upande wa uzalishaji wa bidhaa, walikuwa wa moto kweli kweli, uzalishaji wa silaha za kivita na bidhaa ulikuwa unafanyika ndani na kwa gharama ndogo, PPP yao ilikuwa nzuri sana kwa dunia ya kipindi kile, sio sasa wanahangaika mara waende China mara India, mara wanataka waende Mexico kufanya uzalishaji wa bidhaa mbalimbali kwa gharama kidogo....

Hivyo walitengeneza silaha za kivita za kutosha...
 
ujinga (stupidity) unao wewe bado uko pre occupied na medieval na WWII, current issues na status ya Israel ni tofauti, Imbecils kama wewe huwezi comprehend, mambo yanaenda kwa KASI sana, u IMBECILE can not cope with current geopolitical issues, we baki kwenye nostalgia ya WWII
  • Now, Iran has lost out on its nuclear program and ballistic missiles that it has used to threaten the Middle East. Iran’s drones also failed against Israel in the 12-day war. Israel intercepted almost all the drone threats.
  • Israel provides a strategic American foothold in the region as well as intelligence and advanced technological partnerships.
  • Israel generally has a higher GDP per capita and standard of living compared to its neighboring countries. While factors like natural resources play a role, Israel's economic success is largely attributed to its technologically advanced, diversified economy, strong focus on innovation, and efficient resource management
Nakuambia Israel imeikuta US ikiwa powerful, sasa US imezeeka, US ya 1940s ilikuwa US kweli...

Hakuna tech wala ushuzi wa security ambao Israel inamsaidia US, Israel inachofanya ni kuwaingiza US kwenye vita zisizo na kichwa wala miguu...
 
kwani waliokuwa nyuma hawawezi kumkuta aliyetangulia? China mbona amemkuta USA na ni UBAVU wao sasa ni sawa, wanaheshimiana,
  • In 1949, China was one of the world’s poorest countries, but now its economy is on the road to ‘high income’ status
  • 1948 Arab-Israeli War: The first war, in 1948–49, began when Israel declared itself an independent state. The conflict ended with Israel controlling all of the Negev up to the former Egypt-Palestine frontier. (Israel alishaanza kuwanyosha waarabu tangu 1948)
  • Six-Day War: The Six-Day War of 1967, Israel attacked and destroyed Egypt’s and Syria’s air forces. Israel also defeated Jordanian attacks. The war ended with Israel in control of the Gaza Strip, the Sinai Peninsula, the West Bank, and Jerusalem.
  • ubabe alioufanya the "Little ISAREL" 1948-1967, USA hawakuwepo
 
Back
Top Bottom