Tetesi: Iran: Israel inajiandaa kutushambulia

Weka picha hapa LGBTQ wapo Tehran ...
Kama umekosa sema nimekosa.. sio watu wapo Canada wanaandamana kuchafua wenzao mnasema ni Iran, Iran haiutambui usenge na ni marufuku...

Haya sasa shoga hili hapa General wa jeshi anapumuliwa kisogoni... 😂 😂 😂 IDF General 😂😂😂
Kazi kwenu mnaoliombea taifa teule lishinde vita..
View attachment 3447038

Ndio maana wanapigika...
IRAN hata askari ni LGBTQ underground , URAIANI NDYO HATARI

Iran arrests 'network of homosexuals and satanists' at birthday party​

This article is more than 11 years old
Revolutionary guards raid hall in city of Kermanshah where group was dancing, taking away at least 17 people
 
Viongozi wa Kijeshi nchini Iran wamesema kuwa wanaona Israel ikijiandaa kuishambulia.
Iran imesema itahakikisha inalipiza kisasi mapema kuliko na ndani ya Msaa 48 Israel haitokuwepo.

Zaidi ya ndege 6 za kubeba mizigo za Kirusi zimetua katika Kambi kubwa ya kijeshi na kushusha silaha mbali mbali

Balozi za Uingeleza, Ujerumani na Uswisi zimefungwa
kobazi mnajitahidi kuunda nyuzi za kujifariji na mipasho

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
In 2001, an online Iranian LGBT rights organization called "Rainbow" was founded by Arsham Parsi, a well-known Iranian gay activist, followed by a clandestine organization named the "Persian Gay and Lesbian Organization". As of 2008, this group has been renamed as the "Iranian Railroad for Queer Refugees" (IRQR). While the founder of this group had to flee Iran and continue his work as an exile, there is an underground LGBT rights movement in Iran
Hizo ni story ambazo hata mimi naandika, nimesema hivi leta picha ya LGBT wanapita Tehran wameandamana..
 
Viongozi wa Kijeshi nchini Iran wamesema kuwa wanaona Israel ikijiandaa kuishambulia.
Iran imesema itahakikisha inalipiza kisasi mapema kuliko na ndani ya Msaa 48 Israel haitokuwepo.

Zaidi ya ndege 6 za kubeba mizigo za Kirusi zimetua katika Kambi kubwa ya kijeshi na kushusha silaha mbali mbali

Balozi za Uingeleza, Ujerumani na Uswisi zimefungwa
Ila mashariki ya kati 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Hawa ndio watu tunaoaminishwa walipendelewa na Mungu na wana roho za kuuana mbaya namna hii. Je wasingependelewa wangekua na roho gani? Mbona kama hata shetwaini anawashangaa hawa jamaa.
 
IRAN hata askari ni LGBTQ underground , URAIANI NDYO HATARI

Iran arrests 'network of homosexuals and satanists' at birthday party​

This article is more than 11 years old
Revolutionary guards raid hall in city of Kermanshah where group was dancing, taking away at least 17 people
Kwa middle east Iran ndio wanaishi wayahudi wengi kuliko nchi yeyote mashariki ya kati ukiitoa Israel , hivyo hao waliofanyiwa raid na askari ni hao hao wayahudi..
 
Viongozi wa Kijeshi nchini Iran wamesema kuwa wanaona Israel ikijiandaa kuishambulia.
Iran imesema itahakikisha inalipiza kisasi mapema kuliko na ndani ya Msaa 48 Israel haitokuwepo.

Zaidi ya ndege 6 za kubeba mizigo za Kirusi zimetua katika Kambi kubwa ya kijeshi na kushusha silaha mbali mbali

Balozi za Uingeleza, Ujerumani na Uswisi zimefungwa
= Uingereza.
 
Middle east walifeli sana kimkakati ilipaswa oktoba 7 ilipotokea basi hapo hapo Hezollah, Iran, Houthi wangefanya ambush sio kumuacha mmoja mmoja ndio apigane mwenyewe. It was pure weakness.

Ila kongole kwa Iran kwenda toe to toe na Israel aliyekua supported directly na ndege na meli jeshi za USA, UK na France licha ya kuwa peke yake. Naamini akiomba support ya Russia, N.Korea na China tungekua tunaongea mengine kwa sasa
Mpongeze Israel Iran ni masaganaji ww kuwa muelewa
 
Viongozi wa Kijeshi nchini Iran wamesema kuwa wanaona Israel ikijiandaa kuishambulia.
Iran imesema itahakikisha inalipiza kisasi mapema kuliko na ndani ya Msaa 48 Israel haitokuwepo.

Zaidi ya ndege 6 za kubeba mizigo za Kirusi zimetua katika Kambi kubwa ya kijeshi na kushusha silaha mbali mbali

Balozi za Uingeleza, Ujerumani na Uswisi zimefungwa
ila Iran hata Kaa asahau kwenye vita vya siku 12 maafisa wa wandamizi 30 plus mkuu wa jeshi kuuawa kama kibaka na wanasayansi wengi kuuawa kama kuku ila kobazi haya hamzungumzi

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Wachezashqji kuna bidhaa walinunua au walounda kwa wingi wanataka kuzipunguza haraka bila hasara.
 
Weka picha hapa LGBTQ wapo Tehran ...
Kama umekosa sema nimekosa.. sio watu wapo Canada wanaandamana kuchafua wenzao mnasema ni Iran, Iran haiutambui usenge na ni marufuku...

Haya sasa shoga hili hapa General wa jeshi anapumuliwa kisogoni... 😂 😂 😂 IDF General 😂😂😂
Kazi kwenu mnaoliombea taifa teule lishinde vita..
View attachment 3447038

Ndio maana wanapigika...
Huyo jamaa ana ubishi fulani wa kijinga.
Kuna muda unashindwa kumuelewa kabisa.
 
Kwa middle east Iran ndio wanaishi wayahudi wengi kuliko nchi yeyote mashariki ya kati ukiitoa Israel , hivyo hao waliofanyiwa raid na askari ni hao hao wayahudi..
KOBAZ, mmejitesa sana na antisemitism, yaani hata wewe MMATUMBI mchovu undandia chiki isiyokusaidia, anyway genetically ndyo mpo hivyo, na lazima mpigwe bao kiuchumi na standard ya maisha

  • Israel generally has a higher standard of living and a higher per capita income compared to its neighboring countries in the Middle East. This is due to a combination of factors including a technologically advanced, market-based economy, and significant investment in education and innovation.
  • Israel is considered a high-income country by the World Bank and has a technologically advanced, market-based economy according to Wikipedia.
  • Comparison with Neighbors:
    While some countries in the region have oil wealth, Israel's overall standard of living and economic development are generally higher.

wewe ndyo MPUUZI nimeshakwambia Madevu anaua LGBTQ so wako undergraound kibao, wenye uwezo ndyo wanaenda exile, sijui unachobisha yaani as if IRAN ndyo mbinguni kwenu
Nakuuliza kwanini taifa teule liutambue ushoga?

Iran haitambui ushoga...

Unalazimisha sana kuonyesha Iran pia kuna LGBT lakini umekosa picha kunionyesha wakifanya parade pale Tehran, umebaki kukisia eti wapo underground...

Huwa mnajitia wazimu kuita wenzenu kobazi, sasa na wewe ni member wa LGBT...
 
Huyo jamaa ana ubishi fulani wa kijinga.
Kuna muda unashindwa kumuelewa kabisa.
Amekosa uthibitisho amebaki kubabaika...
Ame search kuanzia google, bing, duckduckgo, yahoo hadi dark web kaingia kakosa picha ya LGBTQ wakiandamana Tehran kama wafanyavyo Tel Aviv.... amebaki kutunga story...
 
Nakuuliza kwanini taifa teule liutambue ushoga?

Iran haitambui ushoga...

Unalazimisha sana kuonyesha Iran pia kuna LGBT lakini umekosa picha kunionyesha wakifanya parade pale Tehran, umebaki kukisia eti wapo underground...

Huwa mnajitia wazimu kuita wenzenu kobazi, sasa na wewe ni member wa LGBT...
iran hairuhusu ushoga, ila kuna mashoga wakutosha tu, Israel mtu aliyeamua kuwa shoga anaruhusiwa na anahaki (hiyo ni katiba yayo , haituhusu), ni kama nchi kadhaa za kiarabu zime legalize ushoga/LGBTQ, hatuweezi ingilia ni katiba yao imeruhusu, usijitesena hilo, na usijitese kusema IRAN hakuna LGBTQ, wako wengi ndani na exile
Several Islamic countries have legalized LGBTQ+ relationships, including Turkey, Bahrain, and parts of Iraq. Additionally, some countries have varying degrees of legal recognition or tolerance for LGBTQ+ individuals, like Lebanon and Kazakhstan.
 
Iran hairuhusu ushoga, ila kuna mashoga wakutosha tu, Israel mtu aliyeamua kuwa shoga anaruhusiwa na anahaki (hiyo ni katiba yayo ,sisi haituhusu), na kuna baadhi za kiarabu/kiislamu zime legalize ushoga/LGBTQ, hatuweezi ingilia ni katiba yao imeruhusu, usijitesena na hilo, na usijitese kusema IRAN hakuna LGBTQ, wako wengi ndani na exile

Several Islamic countries have legalized LGBTQ+ relationships, including Turkey, Bahrain, and parts of Iraq. Additionally, some countries have varying degrees of legal recognition or tolerance for LGBTQ+ individuals, like Lebanon and Kazakhstan.
 
iran hairuhusu ushoga, ila kuna mashoga wakutosha tu, Israel mtu aliyeamua kuwa shoga anaruhusiwa na anahaki (hiyo ni katiba yayo , haituhusu), ni kama nchi kadhaa za kiarabu zime legalize ushoga/LGBTQ, hatuweezi ingilia ni katiba yao imeruhusu, usijitesena hilo, na usijitese kusema IRAN hakuna LGBTQ, wako wengi ndani na exile
Several Islamic countries have legalized LGBTQ+ relationships, including Turkey, Bahrain, and parts of Iraq. Additionally, some countries have varying degrees of legal recognition or tolerance for LGBTQ+ individuals, like Lebanon and Kazakhstan.
Kwa hio waziri mkuu wa Israel kuwa shoga ni sawa? achana na masuala ya Iran huna uthibitisho hata wa picha...
Je kwa mfano bwabwa linaruhusiwa kuchukua fomu kugombea uwaziri mkuu?
 
Nakuuliza kwanini taifa teule liutambue ushoga?

Iran haitambui ushoga...

Unalazimisha sana kuonyesha Iran pia kuna LGBT lakini umekosa picha kunionyesha wakifanya parade pale Tehran, umebaki kukisia eti wapo underground...

Huwa mnajitia wazimu kuita wenzenu kobazi, sasa na wewe ni member wa LGBT...
we unasumbuka na nini, wameruhusu ushoga kwa katiba yao, na IRAN kuna mashoga zaidi hata ndani ya IRGC, na baadhi ya nchi za kiislamu zime legalize LGBTQ, hiyo haituhusu, kwa nini ujitese wakati we ni MMATUMBI uliye mnyonge kimaisha???

Back
Top Bottom