Mkuu, kwani Google app which Nation coded it, hivi unategemea ukitumia search engine hiyo kuzungumzia suala la vita kati ya Iran na Israel utapata HITS zipi, kama siyo ya kuipendelea Israel na kujaribu kuiponda IRAN mara zote wakiongeza chumvi wanafikiri watu hawana akili ya kubaini uongo na kweli.
Kitu kingine hizo virtual ie not real interceptor za Merikani sijui na nchi gani mnazo zipigia debe hapa mbona zilionekana wazi wazi zikishindwa miserably ku-intercept missiles za Iran mbona kila kitu kilikuwa kinaonekana wazi wazi kwenye TV na
media nyingine, missiles za Iran zilikuwa zinainyeshea Israel kama mvua na Israel ADS na za marafiki zake kama nilivyo sema tangu mwanzo zilishindwa kudhibiti missiles za Iran, missiles za Iran zilikuwa zina uwezo mkubwa wa kukwepa ADS za Israel na marafiki zake, Dunia nzima ilikuwa inashuhudia wazi wazi (live) jinsi Israel ilivyo kuwa inapata kipigo cha mbwa mwizi, na katika historia ya Israel haijawahi kudhalilika kiasi hicho, ingawa na Hezibolla nayo iliwahi
kuipa fundisho Israel lakini hii ya Iran ilikuwa komesha kusema kweli na ndio maana walikata shauri kwenda kuomba msaada kutoka kwa Trump, lakini kuna baadhi ya watu hawataki hilo lisemwe, binafsi niliwahi kumsikia Trump akikiri kwamba this time Israel ilipigika kweli kweli missiles zilikuwa zinanyesha kama mvua hayo ni maneno ya Trump siyo ya kwangu, je,tuseme na Trump hajui alisemalo???