29Oct2025
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,976
- 8,267
Nilikuwa nawashangaa kuanza kushangilia hali ya kuwa Iran ilipigwa shambulizi la kushutukuza ilikuwa ni razima ajipange kwanza.Michezo ya kuficha silaha ya Houthis na Hezbollah wanajifunzia Iran..
Israel ameaibika sana..
Mpaka sasa Israel imesha fanya wimbi la mashambulizi mara 2 yote yana zuiwa na kuferi,na mifumo ya ulinzi ya Iran ikiendelea kuwa na ufanisi namna hii basi Netanyau atajutia huu upuuzi alio uanzisha, sidhani kama Israel ilitegemea Iran kuweza kurejesha uwezo wa kujilinda kwa haraka namna hii.Iran ni kweli wamedungua F-35 mbili.
Sasa wataitwa sendeu sio kobaz tenaKobazi naona wamefurahi Iran kurusha vikombora vya kufutia machozi.
Mpaka kobazi wa kike naye kaja kuonyesha furaha yake humu 🤣.
Acha kuotaLeo ni siku rasmi kwa israel kufutika dunian inshallah
Acha kuotaMpaka sasa Israel imesha fanya wimbi la mashambulizi mara 2 yote yana zuiwa na kuferi,na mifumo ya ulinzi ya Iran ikiendelea kuwa na ufanisi namna hii basi Netanyau atajutia huu upuuzi alio uanzisha, sidhani kama Israel ilitegemea Iran kuweza kurejesha uwezo wa kujilinda kwa haraka namna hii.
Na Iran imesema shambulizi lililo fanywa ni mwanzo tu.
Siongei na wathenge mna gundu mbwa nyieNimemis hicho kitobo my
Umepost nini hiyo?![]()
Post from Erem News - إرم نيوز
📍 أعلنت وسائل إعلام إيرانية، فجر السبت، عن إسقاط مقاتلة إسرائيلية من طراز "F-35" في منطقة دزفول التابعة لمحافظة #خوزستان جنوب غرب البلاد. 📍 وقال بيان بثته قن...youtube.com
Hio F35 ambayo mashoga walibisha Iran hakuangusha, msiwe mnawamini wa Israel huwa hawakubali kusema wamepigwa hahaha