100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,791
- 30,966
Huyu jamaa amefanana na hio panya kwenye masikio..
Huyu jamaa amefanana na hio panya kwenye masikio..
Wameanza kutoa mlio...Hawa mapunga vipi, naona mwakilishi wa UN Israel akilalama kwamba Iran inapiga makazi ya watu badala ya kulenga kwenye kambi za jeshi, miundombinu ya jeshi😂😅
WATU SASA HIVI HAWACHAGUI KWA KUPIGA
Hawa mapunga vipi, naona mwakilishi wa UN Israel akilalama kwamba Iran inapiga makazi ya watu badala ya kulenga kwenye kambi za jeshi, miundombinu ya jeshi😂😅
WATU SASA HIVI HAWACHAGUI KWA KUPIGA
Hi aibu Israel ataificha wapi oneni Missiles za Iran zinashuka kama mvua.
View: https://youtube.com/shorts/icQgpGvDFYY?si=StkPC_y6TMVvI9eY
Wafuasi wa Netanyau walituambia kuwa zote zimeharibiwa.HiviI ran wanatumia ADS zipi, mbona zipo active sana kuliko zilizopo Tel aviv?
Michezo ya kuficha silaha ya Houthis na Hezbollah wanajifunzia Iran..Wafuasi wa Netanyau walituambia kuwa zote zimeharibiwa.
Wamerusha zile manati zao ambazo hudondoka njiani kabla ya kuifikia Israel tena?Vitu vipo njiani kuelekea Israel labda katika saa moja tutanza kuona vikishuka hapo Tela Aviv
Hamna lolote hizo drones walizo ingiza Iran zinapopolewa sasa
Mnachapika tena muda huuMichezo ya kuficha silaha ya Houthis na Hezbollah wanajifunzia Iran..
Israel ameaibika sana..
Hamna lolote hizo drones walizo ingiza Iran zinapopolewa sasa