Iran Ataishambulia Israel leo

Iran Ataishambulia Israel leo

Vita zote Israel hua anashinda, h pray for Israel imeanza lini
Screenshot_20250613-233911.jpg

Makombora ya Iran yalitakiwa yawakute hawa ndugu zako.
 
Trump ananza bembeleza huko Qatar na Saud Arabia wawasemeshe Iran. wameona hawana uwezo wa kuzuia Missiles za Iran ili warudi kwenye diplomacy. kwanza si walijidai kuwatisha wa Iran bora wasi revenge itakuwa mwisho wa utawala wa Ayatollah hahaha.
 
Israel wanasema Iran anashambulia raia, badala ya jeshi. Kumbe wanajeshi wapo kwenye mapango na wanaendelea na operesheni, huku vituo vya kijeshi wameweka katikati ya miji karibu na maeneo yanayoishi raia wa kawaida.

Wanategemea Iran atafanya nini?

20250613_234828.jpg
 
Irani kuishambulia Iran leo? 😂😂😂😂 Unawahi wapi!
 
Back
Top Bottom