Iran Ataishambulia Israel leo

Iran Ataishambulia Israel leo

ISRAEL ni Propaganda tu kupitia MEDIA zao lkn weupe eti leo wanalalamika Iran inapiga raia !!!!

wao kila siku wanauwa Wapalestina wale sio raia sio watu !!!

kwasasa wamejichanganya vibaya sana Marekani kasema !!!

ayumo wala sio mmoja wao !!!

IRAN kasema sawa yeye anatatindika m'baya wake yani Israel anajua tu kipigo kikidhidi mwenye m'bwa atajitokeza mbele nayeye pia atanyooshwa !!!

afu sasa tunaenda ongea uku mkiwa nanyinyi na mamundu ya kuchokoza Vita.
Iran sio wakuwachezea

Netanyahu kajamba nchini kwake kisha kakimbia nchi !!!

muoga wa kufa sana. Abaki ukouko alikokimbilia nyumbani kinenuka!!!

Waisrael mazoba sana kiongozi gani wkt wa shida anakimbia !!!

tena Shida niyeye ndio kaleta kama asingepiga Iran Waisrael wangetafutana kwenye Mashimo na Panya buku!!

. Afu yeye mbioooo.
 
France anajidai ataikingia kifua Israel hahaha yupo kule Jordan na vitu vimepita
 
Safi kabisa wameingia wenyewe kwenye Mdumo ni kutandika tu kataifa kateule ka mchango uku mnatwambia teule uku mmekumbatia Usodoma !!!

Iran chapa uyoo na Sheria zote weka pembeni kama wao walivofanya kwa Palestina !!!

dawa yao ni kipigo pigo pigo adi wakumbuke Mababu zao kuwa wako Ulaya!!

akuna kuzungumza na kenge maji awa,,!!!

Chakuongea wanaondoka leo au kesho akuna chengine!!!!

Ubinadam gani nyinyi mtoke Ulaya mje kwenye Ardhi ya watu afu wenyeji unawauwa mchana kweupe na kuwapa majina ya Ugaid !!!

Kenge kweli awa yani uwafate ww naww ndio udai wenyeji ni magaid !!!

mnawauwa na Ardhi yao mnachukua na kujenga majumba yenu mchana kweupe!!

afu ndio Taifa teule lenyewe !!!

yani kama walivo wauwa kule Bara American wanyeji Red Indian na kuchukua Ardhi yao ndio wanafanya pale Palestina na Dunia ipo kimya,,
 
Afu kuna habari live sa hivi Iran wameisha shika Trucks zilizo kuwa zikirusha zile drones ndani ya Iran, hapo mchezo umekwisha itabidi azipeleke tena F35 zikapopolewe kama maembe dodo hahaha.
 
Vitu vipo njiani kuelekea Israel labda katika saa moja tutanza kuona vikishuka hapo Tela Aviv
Kachambe ulale, unaandika ukiwa mwembechai hapo.
Huku IDF vyuma vyote vimeinuka vinachungulia Iran.
J3 kuna kilio kikubwa huko misikitini
 
mangekimambi80-20250613-0001.jpg
 
Hiyo ni F35 yenyewe wala sio la kutoa shaka angalia aspect part zake cockpit,wing span body shape angles nk
 
Back
Top Bottom