IPP yavamiwa

MAMBO JUU YA MAMBO ..huyo Kapteni Komba mbona anakuwa kama si muelewa
Hasira zake juu ya nini sasa ?
Swala hapo ni kukaa chini na kuweka mambo sawa-Hekima inahitajika
 
Him...Serukamba....Mahanga...all stooges and practical jokers...am worried the House will be full of them post Oct 2010..Shame on voters
 
Sasa huyo komba kwa afya ipi amtandike vibao huyo mhariri... hebu mchangieni mumtandike yeye akaseme polisi... kumbukeni self defence kwa mwanaume ni honor/prestige

Anataka kukumbushia enzi zila za U-koplo ktk geshi wa wananchi...!!! nadha kitumbua chake kinatishiwa kuwekwa mchanga!
 
Anataka kukumbushia enzi zila za U-koplo ktk geshi wa wananchi...!!! nadha kitumbua chake kinatishiwa kuwekwa mchanga!

Nabisha...hakuwahi kuwa career soldier...alitumia lomo kuimbaimba akapata cheo...ni mwalimu by profession.

Lakini hali hii ya wanasiasa kutojibu hoja kwa hoja inahuzunisha sana...si nageita press conference kufafanua au aende mahakamani adai 1bn/= kama ilivyo staili...haya mabao ya msuli wameshamsahau Kaka Dito eh?
 
Mkuu naona unashindwa kutuletea taarifa za uhakika. Lakini taarifa nilizozipata sasa hivi kutoka kwa mdau mmoja aliyepo huko IPP ni kwamba Capt Komba aliingia kwenye ofisi za Gazeti la Sema Usikike akiwa amefura kwa hasira kutokana na habari zilizoandikwa kwenye toleo la leo lenye kichwa cha habari "MAHANGA, JOHN KOMBA WAPATA PIGO MAJIMBONI

* Wananchi wawashangaa kumtetea Edward Lowassa
*Wadai kumkingia kifua kashfa ya Richmond si sawa
*Wasema safari hii watewaengua majimbo yao.
* Wadai kuwa na wabunge wa aina hiyo ni fedheha kwao

Mkuu,
Nimekugongea senksi haraka sana, wangalau tumepata picha ya sakata.
Nhi hii bana, kuwa na wabunge kama KOMBA ni fedhea!!!! Badala ya kuchukulia hilo kama challlenge kwake ajiimarishe yeye anataka bhita!!

Komba, nenda mahakamani...
Ila nimeambiwa Capt Komba keshaondoka sasa na hali ni shwari. Hakuna taarifa zaidi iwapo walifanikiwa kuonana na huyo mhariri au la.
 
Haki ya Mungu, mambo gani Tanzania. Hon. Ngalo, please frame kesi hapo ya uvamizi kazini loss na damage kibao!! Unajua huyu Komba ni mwimbaji mzuri tena wa taarabuuuu (mipasho) kwa hiyo anatimiza jadi?? !! Halafu si unajua alikuwa jeshini?? Hajui maswala ya taratibu za sheria, ni command tu!!! Hata ukimtizama machoni kwa haraka haraka ni mtu wa mipasho tuuu?? Hana credibility kabisa!!! Hata hao wananchi wanaochagua hawa wabunge kama si swala la njaa na umaskini ambao unalazimisha mtu kuuza uhuru wake wa kupiga kura sijui watu wa design ya mnenguaji mkata viuno Komba angepitia dirisha lipi hadi aukwae ubunge!!

Angekuwa na busara na akili timamu angefungua kesi mahakamani adai alichotaka na si kuvamia ofisi za watu. I hope hakumimina mitusi pale!! Maana amekaa kimipasho mipasho sana!!
 
kwani kuna habari gani imechapwa na chombo hiko cha habari kinachosimamiwa na mhsriri huyo ?
 
Analeta usanii kwa jumba la sanaaa wasanii wanamshangaaa!!!!!

Tena kwa sana, huyu jamaaaa nae vipi si apeleke madai yake huko kwa vyombo husika na kusimamia vyombo vya habari na kutoa shutma zake
 
Huyu Komba ni mshamba wa siasa. Sasa asubiri "Ze Komedi" watakavyo mriwaindi.

Kwa hasira hizo huyu jamaa amekamatwa ghafla (quote in surprise), na huenda hii habari ina ukweli kwa asilimia fulani.
 
Haki ya Mungu, mambo gani Tanzania. Hon. Ngalo, please frame kesi hapo ya uvamizi kazini loss na damage kibao!! Unajua huyu Komba ni mwimbaji mzuri tena wa taarabuuuu (mipasho) kwa hiyo anatimiza jadi?? !! Halafu si unajua alikuwa jeshini?? Hajui maswala ya taratibu za sheria, ni command tu!!! Hata ukimtizama machoni kwa haraka haraka ni mtu wa mipasho tuuu?? Hana credibility kabisa!!! Hata hao wananchi wanaochagua hawa wabunge kama si swala la njaa na umaskini ambao unalazimisha mtu kuuza uhuru wake wa kupiga kura sijui watu wa design ya mnenguaji mkata viuno Komba angepitia dirisha lipi hadi aukwae ubunge!!

Angekuwa na busara na akili timamu angefungua kesi mahakamani adai alichotaka na si kuvamia ofisi za watu. I hope hakumimina mitusi pale!! Maana amekaa kimipasho mipasho sana!!

Mkuu lets hear the update ya hii issue, ila kama ni kweli, its a nice case ya kumkumbusha komba wajibu wake
 
Wana JF saa moja lilopita hapa kwetu tumevamiwa na Kapteni Komba akitaka mhariri wa Sema Usikike ili amtandike vibaoo kasheshe inaendelea
Kwa hili nadauti............. hivi KOMBA kweli ni wewe yule yule aliyepeleka AMBULANCE pale Lituhi...??? AU KOMBA MWINGINE....?? hivi kweli ni wewe uliyesoma shule ya msingi NKAYA kule Lituhi au ulisoma shule yoyote kule MARA.....??? Hivi wewe KOMBA ni yule MMANDA ....wa Ruvuma au MKURYA wa MARA...??? ............HIVI kweli hukubeba silaha yoyote katika hiyo vurugu uliyoifanya.......???

YAANI HAPA NILIPO NAJIONA NIPO MBELE YA TBC1 SCREEN NAKIMWANGALIA MPOKI AKIKUIGIZA......................

kweli nambari wani enheeeeeee ............... enhhheeeee.........nambari wani ni John Komba........................................

kwa vurugu .......................JOHN KOMBA........
kwa unene ........................ JOHN KOMBA........
kwa hasira ........................ JOHN KOMBA........
kwa kuimba........................ JOHN KOMBA........
 
Back
Top Bottom