IPP yavamiwa

Komba naye! Hivi kwa uzito wa mwili (kilo) alionao anaweza kupigana na yeyote kweli licha ya maadili na ustaarabu??
 
Ndio aina ya wabunge tulionao. Mara nyingine uwa najiluliza hivi inaingia akilini kuwa na mwakilishi kama Capt. Koma katika Bunge kwa wananchi watukufu wa Mbinga? Mbinga mpo?
 
Subirini mie nikiingia mjengoni.
mkiniandika ovyo naingia na VOGUE kwenye chumba cha mhariri
hehehehe

hekima null
 
Tehe hapo ujue kaandikwa, yeye nani mpaka amkate mtu vibao? sheria si ipo? nchii hii bana

Chimunguru,
Gazeti la Sema Usikike halina tofauti sana na Uwazi, Ijumaa, Kiu na mengine ya udaku.
Hili gazeti huwa linaandika sana masuala ya watu, hasa personal attacks, kwa hiyo usishangae kwamba Kapt. John Komba amewafuata ili awaadhibu.
 
Na nyie IPP wekeni security, hakuna kuingia ofisini bila appointment hata kama ni mbunge!
 
viongozi wetu bwana!vitisho vingi bila sbb,hapo utakuta sentensi" mnanijua mimi nani"alikua anairudia rudia as if anaimba kwaya.
 
wabunge.jpg



John anapepeta
 
John komba kunyweni kunyweni komoni kunyweni komoni kwa pamojaaa nambari waniiee. MPIGA ZUMARI NI MPIGA ZUMARI TU LINI AKAPEWA KITI CHA MBELE???Wana jf nawauliza hamjui kazi ya mpiga zumari katlka mkusanyiko wa watu???POLENI WANAMBINGA SIJUI ALIWATISHIA MWILI MKADHANI YU MWELEDI HABULE CHINTU. Loooh
 
hakuna utamu kama kumchania shati mheshimiwa komba maana ni ze komedi proper
..Teh! teh! huyo John Komba mbona hajatangza kumchapa makofi Mpoki wa ze komedi?? anapoweka li-mustachi lake utadhani brashi ya kupakia rangi...
 
Back
Top Bottom