Kwanini umuue binaadamu mwenzako?Nimeangalia hii video, tathmini yangu ni kwamba watu wakiwa wametawaliwa na "FAITH" IMANI" uwezo wa kufikiri "reason" unapotea. Huyu shekhe anaamini kuwa akiuwawa shekhe na padri auwawe, kwa sababu jibu hili lipo kwenye kuruani na kuruani ndio jibu kama Biblia kwa wakristu. Ni imani, msingi ambao amejengewa toka akiwa mdogo na anawajengea watu ambao hawawezi kureason.
Ninacho kiona ni kuwa, wanaamini (waislam) wao wako sahihi kuua kama mtu wao anauwawa. Hili linahitaji kuchukuliwa serious na serikali lazima isimame kidete. Otherwise, ujinga huu utaendelea ku sambaa kama cancer kwa waislam.
Don't believe, reason.
Kama kweli Nchimbi na Kikwete na watanzania kwa ujumla mnania njema huyu akamatwe kwa mahubiri haya vinginevyo...Kumbukeni Padre Mushi ameuawa kwasababu ya mahubiri haya na huyu anandugu hapa bara nawatahadhalisha hata kama kwa amri ya viongozi wa Dini hata hawa ndugu wanaweza kujichukulia sheria mkononi juu ya shehe huyu nakuondoa uhai wake maana hakuna taifa ambalo huyu wa aina hii anaweza kuwa mtaani zaidi ya Tanzania tu..Hakuna mshindi katika vita hii inayohubiriwa.
Kila mmoja wetu awajabike popote alipo kuhakikisha imani zetu zinatujenga kuwa wanadaamu bora na si bora wanadamu.Ni wajibu wa kila mtanzania kuthamini utu wa kila mtu!Hekima, busara, uadilifu vitumike katika kipindi hiki. Makosa yoyote yatazalisha moto usiozimika wa kidini mithili ya Pakistan, Nigeria, Iraq, Israel/Palestine, Ireland etc.
Natoa RAI njema kwa Watanzania wenzangu.
Kwanini umuue binaadamu mwenzako?
Hapana, sisi wakristo tuwe macho zaidi tu na kujaribu kuzuia mauaji zaidi, na si hatua ya kulipa kisasi, kwani Mungu wetu aliye Hai ndiye atakayetupigania. Tuwaoneshe mapendo tu hawa watu, kwani pia ni ndugu zetu hawa, wanajisahau tu na kukubali kutumika!Wakristo tuamke. Matusi na ugaidi mpaka lini?
Tuzuie sis polis bhana,.tumevumilia mengi lakini bado hatueleweki wanazid kuzingua.,wanaopenda aman wawapende na wezao na juhudi ziwepo katika hili..wakristu hima,wake up we're in danger.,these people are not good anymore...Hapana, sisi wakristo tuwe macho zaidi tu na kujaribu kuzuia mauaji zaidi, na si hatua ya kulipa kisasi, kwani Mungu wetu aliye Hai ndiye atakayetupigania. Tuwaoneshe mapendo tu hawa watu, kwani pia ni ndugu zetu hawa, wanajisahau tu na kukubali kutumika!
Ninatumia simu kwahiyo sijaweza kusikia anachosema ustadh ilunga lakini kwa aina ya mahubiri na mawaidha yanayofanywa na hawa wenzetu mtu hupati shida kung'amua kwamba lengo lao ni kutaka nchi yetu iingie katika vita ya kidini.
Na bahati nzuri kwao serikali ya Kikwete imeamua kuwafumbia macho hawa jamaa wanavyozidi kuchochea chuki za kidini.
Hayo hayo mkuu......Una maanisha maruhani au??!
..kwanza Ustadh ILUNGA KAPUNGU anafanya makosa sana kujaribu kutuhusisha wa-Tanzania na matatizo yanayotokea Kenya, particularly Mombasa.
..huko ni kujaribu kuzua tatizo hata mahali ambapo hakuna tatizo.
..halafu anakwenda mbali na kutoa kauli kwamba "akiuawa Shekhe basi tafuta Askofu umuue"!! Is he out of his mind?!!
..hebu tembeleeni link ya video niliyoweka hapo chini. unaweza kuanzia dakika ya 13. kinachosikitisha video nzima imekaa kimachafuko-chafuko tu. haya ni mambo mabaya sana kuwaaminisha wa-Tanzania.
Kwa wanaotumia simu, tembelea Ustadh Ilunga Hassan - Mauaji ya shahid Aboud Rogo na Unafiki katika sensa Part 1 - YouTube
MAJIBU YA Mwanakijiji:

Chadema mna mambo kwelikweli.