Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

Status
Not open for further replies.
Serikali powa huwa dhaifu siku zote tangu nipo shule viongozi poa wote serikali zao zilikuwa zinaongoza kwa udhaifu na maovu. Hii serikali uamsho wapo kwenye serikali ya SERIKALI YA UMOJA WA ZANZIBAR
 
Kinara wa udini ndo mkuu wa kaya,unadhani ataweza kushinikiza wachukuliwe hatua zozote?
serikali dhaifu daima na mambo yake huwa dhaifu.
 
kikwete hawezi kuwalinda wakiristo amewekwa na misikiti madarakani ni wakristo wenyewe kuanza kujilinda hii ni boko haram imeanza kujidhatiti........Kikwete ni mdini wazi kabisa Mwinyi hakua mdini alichukua hatua ni wakati wa kuanza kuandamana wakristo kumpinga huyu mzushi
 
nyie ndio wadini, kumbukeni uchaguzi mkuu uliopita waumini wa kanisa kule sumbawanga walitengwa kisa wamechagua ccm badala cdm
 
Sifurahishwi na maelezo ya ilunga lakini pia sifurahishwi na comment za baadhi ya wana jf, ni wachochezi, wabaguzi na wadini wana chuki ya asili
 
nyie ndio wadini, kumbukeni uchaguzi mkuu uliopita waumini wa kanisa kule sumbawanga walitengwa kisa wamechagua ccm badala cdm

Yaleyale ya propaganda za magazeti yenu! Uchaguzi uliopita CCM na TISS walitumia udini kama defensive mechanism ya kuwashusha wapinzani na kumkweza mgombea wao. Hapa ndipo tulipofikishwa!
 
Hivi kweli tuna hitaji wapelelezi kutoka nje kujua kwamba ni wapuuzi wachache kama huyu ndiyo wana sababisha ukosefu wa amani na mauaji ya kiimani nchini? Kweli kwenye nchi tunayo dai ni kiswa cha amani mtu atoe kauli kama hizi tena ikawa recorded na asishughulikiwe na vyombo vya usalama? Vipaombele vyetu viko wapi pale vyombo vya usalama vinapo dai vina fuatilia watu waliomtumia speaker wa bunge message za matusi lakini wapumbavu kama hawa wana achiwa warande mitaani? Halafu kuna wanaokuja na kudai eti oh mauaji ya Father Mushi hayakua ya kidini.

Last edited by a moderator:
Huyu afungwe maishaaa au yeye ndio auwawe kabisa, mtu mzima utaongeaje hayaaa...
 
Hii ndo tanzania mkuu wangu!ni zaidi ya uijuavyo!
 
Amezungumza Zanzibar angekamatwa lakini mbona huyu mtu ni Wabara na huku hakuna padri aliyeuwawa leteni mambo mengine
 
anawakilisha wafuasi wake. halafu wanakuja na ngonjera madai ni wahuni wachache mara baraka kadhaa. waislamu adui wa taifa.
 
Hivi kweli tuna hitaji wapelelezi kutoka nje kujua kwamba ni wapuuzi wachache kama huyu ndiyo wana sababisha ukosefu wa amani na mauaji ya kiimani nchini? Kweli kwenye nchi tunayo dai ni kiswa cha amani mtu atoe kauli kama hizi tena ikawa recorded na asishughulikiwe na vyombo vya usalama? Vipaombele vyetu viko wapi pale vyombo vya usalama vinapo dai vina fuatilia watu waliomtumia speaker wa bunge message za matusi lakini wapumbavu kama hawa wana achiwa warande mitaani? Halafu kuna wanaokuja na kudai eti oh mauaji ya Father Mushi hayakua ya kidini.
huyu mpaka aiguse serikali ndo atashikwa na tuta tangaziwa kuwa si MTANZANIA,haya mpaka lini? serikali na WANA INTELIJENSIA mmelala?.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom