ALIYOYAONGEA mwezi agosti,2012 YALITOKEA,makanisa yakachomwa oktoba,2012!!
Mafundisho kama haya yanajengwa kwa nadharia ambayo kizazi hiki cha sasa kinafanywa kusadiki maneno na kauli kuwa jamii ya imani fulani imeonewa tangu zamani[hata pale,shule zipofaifishwa na elimu kutolewa bure]
Swali la msingi ni kwa nini Mamlaka husika hazifuatilii kauli hizi na kuzifanyia kazi.?