Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

Status
Not open for further replies.
Endeleeni tu kuchochea chuki.Msidhani chuki mnazochochea zitajenga.Ndio kwanza zitazidisha chuki.Mlichochea mpaka ponda akakamatwa na bado manazidi kuchochea.HV Mnataka nini kutoka kwa waislam.Mbona pengo aliwaita waislam waliouwawa mwembechai kuwa ni wahuni,hamkumwita mchochezi?Mnakotanchi iende itafika.Ni muhimu kutumi busara kuliko kauli zenu.Si mlisema uamsho ndio chanzo cha yote haya,haya uamsho wako ndani,huku bara mlisema ponda,lkn hali bado tete.Mi nadhani busara itumike kuyaendea haya mambo.
 
Huyu jamaa lazima akamatwe ndio amepanga njama hizi pia nakumbuka aalikuwa Zanzibar na kutoa ujinga wake kipindi kile kasema mfumo Kristo leo hii video yake inahamasisha kuuliwa kwa Padri na imekuwa hivyo si ajabu wapo watu wa mombasa wakishirikiana na wazanzibar na huyu mzee akiwa ndio muandaaji wa shughuli nzima
 
Msimlaumu huyu Ustadhi. Yeye ni wakala tu wala hataguswa!! Anatekeleza tu kile alichoombwa kufanya!!!! Mhusika mkuu yupo Ikulu!!!
 
makanisa yamevunjwa mali za kanisa zimeibwa mapandri wameuliwa na watazidi kuuliwa serekali inaonekana kama inawatetea au kuwaogopa hao wafanyao haya matukio lakini siku shekh akijakuuliwa ndio serekali itakuja amka na itakuwa imesha chelewa
 
Watanzania, inasikitisha sana, nimemsikiliza huyu ustaadhi, loooo kumbe wenzetu walishaanza maandalizi muda mrefu!
Huku ugh'aibuni mtandao hausumbui ku download kwenye you tube, baada ya kupata hiyo link nimetumia karibu masaa matano nafuatilia mawaidha ya huyu Ilunga, kiukweli huyu jamaa asipokamatwa juma hili basi tujiandae tu kwa vita, vinginevyo kama imani ya kiislamu ndivyo inavyofundisha kwa jinsi huyu jamaa anavyoeleza basi zile ngojera ninazoziona humu hazina maana tena. Yale maneno tunaambiwa eti tuvumiliane wakati wenzetu, kulipa kisasi ni ibada? Huyo Mungu anyehubiriwa na Ilunga ndiyo Waislamu wote wanamuabudu? Kama ni huyo basi Mungu wa Ilunga na wenzake si Mungu bali ni Shetani.
 
Mwingine huyu hapa

184345_484337084961258_447291962_n.jpg
 
kweli we MCHEMSHO, hasa nikuulize swali 1. Hv mnaojiita mnatetea uislam, je mnautetea dhd ya nani? Je mnautetea dhd ya shetan, na au mkiristo kwenu ndo shetani? Ts lyk non-sense.
 
Ndo mana nawapendaga sana Mossad na IDF uwa wana deal vizuri sna na hawa watu utaskia tu Sheikh Hassan Ilunga has been assasinated this morning wao husemaga ELIMINATED! Sema uku wana back up ya Serikali
 
Katika masuala ya msingi hatuangalii mtu mmoja ila tunaangalia huyo mtu anasimamia nini na kwa nini. Sheikh dilunga anazchozungumzia katika hiyo clip uliyoiweka ni tafsiri ya aya ya Qur'an tukufu aya ya 178 na 179. Ukimzungumzia yeye tu umekosea kwa kuwa alichokisema hajatoka ndani ya Qur'an tukufu, na nakuthibitishia kwa mujibu wa aya hiyo, huo ndiyo msimamo wa waislamu wote.
 
Kwa hiyo Qur'an imewaamrisha muue mapadre na maaskofu wa Tanzania kwa kuwa Sheikh wa Mombasa kauliwa Kenya kwa mambo yasiyotuhusu watanzania?
 
Katika masuala ya msingi hatuangalii mtu mmoja ila tunaangalia huyo mtu anasimamia nini na kwa nini. Sheikh dilunga anazchozungumzia katika hiyo clip uliyoiweka ni tafsiri ya aya ya Qur'an tukufu aya ya 178 na 179. Ukimzungumzia yeye tu umekosea kwa kuwa alichokisema hajatoka ndani ya Qur'an tukufu, na nakuthibitishia kwa mujibu wa aya hiyo, huo ndiyo msimamo wa waislamu wote.

Satanic verse
 
ngoja nione hii filamu itaishia wapi! maana hapo inaonekana mbwa kala mbwa" tuwe wavumilivu tuu
 
Jamani! Nimetazama nakumsikiliza kimakini Huyu Sheikh! Video yake imetayarishwa kitaalamu kweli kweli, mhadhiri ni making sana alitoa vikolezo hapa na pale. Eti Kurani inatoa suluhisho la kupata Haki kwa kulipiza Kisasi!hili sikulijua! Kwamba Mtu mtanashati mwenyekiti weledi aw kujieleza kiasi kile anaamini na kuhubiri mauaji tena ya Kardinali, Askofu na mapadri haininingilii kichwani,

Kwamba DVD hii imekuwepo kabla ya tulip la Heiga na serikali sikivu haijasikia hainingii kichwani, kwamba Mtu aliyezaliwa Kama mimi, ataweza akajamishwa na sheikh Kama Huyu na kudhibutu kwenda kuua hainingii kichwani!

Hivi Zanzibar kuwakalika kweli?
 
kwani alichosema uongo?ye si ametoa maandiko?basi chomeni quraan nyie si mabingwa?na huyo padri alieuawawa atakua ana mambo yake binafsi nje ya apadri,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom