Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

Status
Not open for further replies.
Nasubiria kuona mwisho wa sinema yetu.Kwani kwenye sinema yetu kuna mastaring wengi wakutoa matamko(rais kikwete,ikulu,igp mwema,nchimbi,pinda,suleimani kova,adivera) pia katikati ya picha wataongezeka wengine wanasubiriwa kwa amu watoe matamko yao kama;PENGO,BAKWATA,Tume,) na mimi pia lakini baada ya kuzisikiliza kauli zao.
 
kama ndio hivi na SERIKALI INAENDELEA KUKAA KIMYA NI BORA TUJIPANGE .TUJUE YA KWAMBA SERIKALI IPO UPANDE WA WANAOUA VIONGOZI WA KIKRISTO
 
Serioulsy, huyu LAZIMA achukuliwe hatua. Asiachwe hivihivi. Watu hawaelewi maan ya freedom of speech. Hii sio freedom of speech ila ni hate preaching...
Mkuu, ZeMarcopolo, wewe humu jamvini uko very subjective, na lolote linalohusu CCM na serikali yake unalitetea hata kama halina tija.

Watu wameshaongelea serikali yetu hii ya CCM inavyonyamazia vyombo vya habari vinavyoeneza chuki, na wahubiri kama huyu wanavyopanda mbegu mbaya, yote hayo wewe ulikuwa unayoponda.

Mkuu haya ni mavuno ya mbegu iliyopandwa.

Tutangulize uzalendo kwanza, ushabiki wa upofu ndio huu!!!!
 
Last edited by a moderator:
Viongozi wa dini ya kikristo walisema wanatishiwa kuuwawa na kuchomewa nyumba za ibada serikali imewaacha wakristo wauwawe na waishi kwa hofu. serikali inahusika na unyama huu
 
Sidhani kama mods watafuta huu uzi. habari ulizosema ni za kweli na serikali inajua. Kuna DVD nyingi zimesambazwa na mihadhara inafanyika wazi wazi.
 
Kuanzia dakika ya 14 hadi ya 20 ya clip hii, maagizo ya kuua.


Nimepata kuitazama hii video, nimeshindwa kuamini kama Tanzania hii ya leo mtu anaweza kuongea maneno kama haya hadharani, na bila serikali kuchukua hatua yeyote!. Nadhani serikali ianatakiwa kufanya haraka kuwachukulia hatua watu wa aina hii ni hatari sana kwa usalama wa Taifa.Kwa maana huu ndio uchochezi, na sio kukimbizana na viongozi wa CHADEMA na mikutano yao kwa kisingizio cha kwamba wanaleta uchochezi na uvunjifu wa amani, wakati kuna watu wa aina hii wanaoleta uchochezi wa misingi ya kidini ambao ni mbaya zaidi na hawachukuliwi hatua yeyote.Nashindwa kuelewa kwa nini huyu Mtu hajakatwa mpaka leo hii, ndio maana napata hisia kwamba kuna jambo limejificha nyuma ya pazia na serikali inahusika moja kwa moja.
 
Last edited by a moderator:
Na siku akikamatwa utasikia maandamano na vurugu ili aachiwe.
 
Yaani watu hawa wametengeneza dvd, cd na casette za chuki na uchochezi huwezi amini ni bidhaa huria kwenye nchi ya amani kama tanzania. Wanatukana na kukashifu ukristo pamoja na mwl nyerere na zinasikilizwa hadharani bila polisi kuingilia kati. Kama ilivyo kwenye mihadhara yao ya kipuuzi pale mwenge na mbagala zakhem. Chuki hizo wanazohubiri matokeo yake yameanza kujionyesha. Hakuna kiongozi shupavu wa kukemea vitendo hivi kama alivyokuwa nyerere na mzee mwinyi. Utambulisho wa mtanzania siku hizi ni muislam au mkristo. Bosi mkristo/muislam, waziri ,muislamu/mkristo siyo tena mhaya. Mpare, wala mchaga. Yetu macho na masikio.
 
Mkuu, ZeMarcopolo, wewe humu jamvini uko very subjective, na lolote linalohusu CCM na serikali yake unalitetea hata kama halina tija.

Watu wameshaongelea serikali yetu hii ya CCM inavyonyamazia vyombo vya habari vinavyoeneza chuki, na wahubiri kama huyu wanavyopanda mbegu mbaya, yote hayo wewe ulikuwa unayoponda.

Mkuu haya ni mavuno ya mbegu iliyopandwa.

Tutangulize uzalendo kwanza, ushabiki wa upofu ndio huu!!!!

Sijawahi kutetea au kuponda pale palipokuwa na mahubiri ya chuki hata siku moja. Siwezi kufanya hivyo kwa sababu nitakuwa sawa na mtu anayekata tawi alilokalia.

Kila nilipoona michango inayolenga kuwagawa watanzania nimekuwa wakwanza kukemea na nitaendelea kufanya hivyo siku zote.
 
DVD HIZI ZIPO ZA AINA 3 NA SERIKALI INAJUA NA IMEKAA KIMIYA.Swali je aliyepiga Padri wa mwanzo Risasi walikamatwa? Maelezo ya mauaji ya leo ni sawa na ya mwanzo walimjerui kitevu natumaini walilenga kichwa.? Dvd hizi zinauzwa tu na siyo siri we tembelea mskiti wa mtambani siku ya ijumaa zipo nyingi.Nina hakika yatatokea ya Ulimboka kukamata wasiyo husika.?
 
Nimeangalia hii video, tathmini yangu ni kwamba watu wakiwa wametawaliwa na "FAITH" IMANI" uwezo wa kufikiri "reason" unapotea. Huyu shekhe anaamini kuwa akiuwawa shekhe na padri auwawe, kwa sababu jibu hili lipo kwenye kuruani na kuruani ndio jibu kama Biblia kwa wakristu. Ni imani, msingi ambao amejengewa toka akiwa mdogo na anawajengea watu ambao hawawezi kureason.

Ninacho kiona ni kuwa, wanaamini (waislam) wao wako sahihi kuua kama mtu wao anauwawa. Hili linahitaji kuchukuliwa serious na serikali lazima isimame kidete. Otherwise, ujinga huu utaendelea ku sambaa kama cancer kwa waislam.

Don't believe, reason.
 
hakika umenena sharti huyu bwana achunguzwe kwa ukaribu sana
matamshi yake ni hatari kwa mustakhbali wa nchi,
achunguzwe uraia na pia ahame nchi kwa usalama wa nchi yetu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom