Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

Status
Not open for further replies.
Ww sio mzima, jina linalokufaa wewe ni mshenzi sio tusi yan mshenzi ki mawazo..ww ni mpumbavu ww sio mjinga..fungua kamusi usome kama nmekutukana
 
Maendeleo yametushinda ss 2nagombanishwa kwa vitu vsivyoeleweka...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
matusi yanini unajua maana ya mfumko kirsto au unaendeshwa na chuki

Acheni ujinga nyie. Apandacho mtu ndicho atavuna. Waliowaletea dini walileta utumwa na uislamu (elimu ahera); walioleta ukristo walileta ukristo na elimu. Nyie msiofikiri sawasawa mlitaka mtu atoke madrassa awe waziri au Rais? Waliowaandaa hawakufikiri kwamba nchi hii sio ya kiislamu. Nendeni shule acheni porojo. Na wewe hakikisha watoto wako wanaenda shule usibaki unalalamika tu mfumo Kristo hakuna kwa namna yoyote nchi hii itakuwa ya kiislamu. Ndugu zako waliogopa kwenda shule kwamba watakula nguruwe, si unaona wale waliojua thamani ya shule ambao ni waislamu wenzako wana madaraka makubwa tu nchi hii. Halafu mimi siwaelewi nyie mlioganda akili maana nikisema waislamu nitawaonea wengine wenye akili nzuri. Rais ni muislamu, Makamu wa Rais Muislamu, Zanzibar viongozi wote waislamu, Wizara karibu zote nyeti zimeshikwa na waislamu. Nenda kwa wakurugenzi, kwenye mikoa na vyombo vya usalama. Ili uwe mfumo islamu mlitaka mpewe nini hasa? Makanisa yabomolewa? Maaskofu mapadre wachungaji n.k. wauwawe au wafanyweje? Au iwekwe kwenye Katiba kwamba ukristo ni marufuku Tanzania? Mnataka nini nyie wanafki?
 
wanamchukia ilunga kwa sababu katoa siri zao kama wanavyo chukia kitabu cha padre john sivalon

Siri zipi!!!!!!!!! Siri ziko kwenu msiojua hata kitabu chenu kinasemaje? Ndio sababu mnakubali kuitwa maamuma. Shame!!!!!!!
 
Du dada zetu angalieni dini za kuolewa nazo maana kama hii ya huyu sheiky ni balaa....namIshukuru sana Mungu kuzaliwa mkristo na kukombolewa na Yesu kristo.....dah!


P
 
kuna vitu vingi ni vya kipuuzi kwenye maubiri ya huyu jamaa, kitu kilichosimama kwangu ambacho hata kwa upuuzi huu sikielewi, ni kwamba anaonekana kuamini sheik Aboo ameuawa na serikali, lakini anaadvocate auliwe padri, baadaye ana somewhat compromise kuuliwa kwa vipolice alivyotamka, ok padri na serikali ni vitu tofauti, kwa hiyo kama ameuawa na serikali ambayo haina dini na waisilam wamo, kumuua padri inatofautiana na hiyo haya yake ya jicho kwa jicho, ni sawa ug'atwe na paka, ujastify kuua kuku, na viongozi wa dini zingine je? kama jewish, hindu, na hata wasiokua na dini, mbona hawawi accountable kwa haya mauuaji anayoamini serikali imehusika?
 
BTW mkuu wa police wa Kenya at that time may be mapaka sasa alikua muislam, navyoelewa i may be wrong
 
..kwanza Ustadh ILUNGA KAPUNGU anafanya makosa sana kujaribu kutuhusisha wa-Tanzania na matatizo yanayotokea Kenya, particularly Mombasa.

..huko ni kujaribu kuzua tatizo hata mahali ambapo hakuna tatizo.

..halafu anakwenda mbali na kutoa kauli kwamba "akiuawa Shekhe basi tafuta Askofu umuue"!! Is he out of his mind?!!

..hebu tembeleeni link ya video niliyoweka hapo chini. unaweza kuanzia dakika ya 13. kinachosikitisha video nzima imekaa kimachafuko-chafuko tu. haya ni mambo mabaya sana kuwaaminisha wa-Tanzania.





Kwa wanaotumia simu, tembelea http://www.youtube.com/watch?v=BaJHhlIdXK8

MAJIBU YA Mwanakijiji:



usumng'unye maneno.huyu anahubiri/anahamasisha ugaidi.hastahili kuwa huru.
 
Last edited by a moderator:
Mwaka jana gazeti la Mwanahalisi lilifungiwa kwa kudaiwa kufanya uchochezi, wanaharakati pamoja na watu mbalimbali wamepiga kelele wakidai kufunguliwa kwa gazeti hili lakini hakuna kinachoendelea.Kuna mtu mmoja anaitwa ustaadh Ilunga Hasan ambaye hoyuba zake zinachochea waziwazi mauaji dhidi ya mapadre, maaskofu na walei zimetapakaa huko you tube, lakini yupo huru kama kwamba serikali na vyombo vya dola vinaafikiana nae.

MY TAKE
Degree ya uchochezi wa mwanahalisi vinalingana na uchochezi unaofanywa na bwana huyu?
 
Wakuu,
Huyu jamaa ni nani? Anawezaje kuendelea kukaa mitaani na mahubiri yake mazito ya uchochezi kiasi hicho!!! Mtu anayewahamasisha waziwazi waumini wa dini yake wawauwe walei, padri, askofu na kadinali, mtu anayewahamasisha waumini wake wamzabe tena Rais Mstaafu Mzee Mwinyi, mtu anayetusi waziwazi Rais wa nchi J. Kikwete anawezaje kuendelea kuzunguka nchi nzima bila bugudha yoyote!!!!! Hakika sipati jibu labda wenye ufahamu watusaidie hapa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom