Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

Status
Not open for further replies.
Inasikitisha na KUTISHA kwamba mtu ana rekodiwa kabisa akihamasisha mauaji ya watu wa kundi fulani lakini bado hakamatwi. Jamani hii si ni ushahidi kabisa akipelekwa mahakamani? What else do they need? Au hata na hii tuna hitaji wapelelezi wa nje kuja kusaidia? Sometimes nashindwa kuielewa hii serikali yetu.
 
JokaKuu unabii wako umetimia damu imeshamwagka huko Z'bar
 
Last edited by a moderator:
Remote,

..tusubiri majibu toka kwa wachunguzi.

..lakini ktk hali hii ya CHUKI na KUTOKUAMINIANA naamini wapo watakaopinga taarifa za wachunguzi.

..hiki ni kipindi kigumu sana ambapo taifa linapitia na sidhani kama tuna uongozi imara wa kutuvusha ktk matatizo haya.
 
Last edited by a moderator:
mimi nadhani hawa jamaa inabidi waende shule, lakini nina wasiwasi kama elimu itawasaidia, kwa sababu kipinidi nilikuwa nasoma pale UCLAS (ardhi university now) ukiongea na hawa jamaa wanaovaa suruali saizi ya bukta unaweza kudhani unaoongea na mtu wa form two au form one aliyeenda tuition

Mi nakushangaa sana kwa akili ya iso na mantic.Ili mtu aonekana ana akili ni lazima awe na mawazo kama yako hata kama ni potovu.Hiyo ni akili finyu sana,mbona elimu yako haikukomboi?
 
Ponda yuko wapi? shehe faridi yuko wapi? hii ni bongo bana,huyo shehe njaa mtamsikia na yeye atapotelea wapi.
 
Hapa utakuwa umedhihaki weledi wa umma wa Waislamu.

Kwa mtaji huu, hayawani yoyote anaweza kupost video kwenye youtube yenye inflammatory statements against Christians and Jews akaonekana mtu wa hatari.

Zee zima limeshamiri ndevu zenye mvi lakini bado lina hadhi ya "ustaadhi"?

Tatizo laki huelewi maana ya ustaadhi,labda nikusaidie,ustaadh maana yake ni mwalimu.Na ilunga yeye ni mwalimu na anachokifanya ni kufundisha uma wa kiislamu.Wengi wenu mnaongea kwa chuki tu hamuelewi logic ya ustaadh ilunga.Maana yake ni kwamba tuheshimiane,kila mtu ana haki ya kuishi.Iwapo utamuua ustaadh au sheikh tegemea kulipiza kisasi.Kama ambavyo mnavyoona padre kauawa wakristo wote mna mnanawatuhumu waislamu,na kinyume chake.Tuweni makini sana.
 
Akiuwawa sheikh mnafurahia,mnawaita magaidi,akiuwawa padre inawaumasana,hv mnafikiri waislamu wana roho za chuma hawasikii maumiVU masheikh wao wanavyouawa?Wakatazane hao waisraeli na wamarekani wanaoendesha mauuaji dhidi ya waislamu.Hili suala ni muhimu tukatafutiwa ufumbuzi wa kudumu vinginevyo hali itakuwa mbaya sana.
 
Ponda yuko wapi? shehe faridi yuko wapi? hii ni bongo bana,huyo shehe njaa mtamsikia na yeye atapotelea wapi.
Dhuluma siku zote si yenye kudumu.Nguvu ya uma wa kiislamu sasa hivi ni kubwa sana na watu sasa hivi wanaeelewa na wanafuatilia kila jambo linaloendelea nchini.Propaganda haina nafasi,waulizeni wamiliki wa magazeti wanavyopata hasara kwa habari zao za hovyohovyo.
 
Tatizo laki huelewi maana ya ustaadhi,labda nikusaidie,ustaadh maana yake ni mwalimu.Na ilunga yeye ni mwalimu na anachokifanya ni kufundisha uma wa kiislamu.Wengi wenu mnaongea kwa chuki tu hamuelewi logic ya ustaadh ilunga.Maana yake ni kwamba tuheshimiane,kila mtu ana haki ya kuishi.Iwapo utamuua ustaadh au sheikh tegemea kulipiza kisasi.Kama ambavyo mnavyoona padre kauawa wakristo wote mna mnanawatuhumu waislamu,na kinyume chake.Tuweni makini sana.

hakika wewe kichwa mbovu! Kumbe ndivyo mnavyofundishwa?
 
Bahati yeye amezeeka, hawatakii mema watoto na wajukuu wake !
 
Akiuwawa sheikh mnafurahia,mnawaita magaidi,akiuwawa padre inawaumasana,hv mnafikiri waislamu wana roho za chuma hawasikii maumiVU masheikh wao wanavyouawa?Wakatazane hao waisraeli na wamarekani wanaoendesha mauuaji dhidi ya waislamu.Hili suala ni muhimu tukatafutiwa ufumbuzi wa kudumu vinginevyo hali itakuwa mbaya sana.

Hali tayari ishakuwa mbaya ila ikizidi (maana naona unapenda izidi) hata wewe hutasalimika. Kama wewe utasalimika, itamgusa baba yako au mama yako, au kaka yako au dada yako, au rafiki yako. Mnapenda vita lakini vikianza kweli, nanyi mtalia pia.
 
Ilunga sawa na akina Ponda na Uamsho wanatapatapa kutaka kumuingiza kila mtu kwenye mtego wao. Hata hivyo hawatafanikiwa kutokana na kuwa vipofu wa uhalisia wa maisha ya maeneo husika. Watu wana shida na kuondoa umaskini siyo kutafuta utakatifu wala kuishi kwenye pepo za kufikirika wakati hapa duniani wanaishi kwenye jehanamu. Nadhani matatizo ya watu maskini hayachagui dini. Hivyo ni suala la muda tu hili wimbi la mawazo ya kigaidi na mgando litapita. Naona Kenya wanajitahidi kuwaondolea mbali wachochezi kama hawa. Nadhani huyu mchochezi ana muda mfupi tu kufanya huo uchochezi wake. Kenya wanafanya vitu vyao kimya kimya tofauti na Tz ambapo viongozi wetu hawana msimamo wala ajenda kwa taifa zaidi kuchumia tumbo.
CHAMA CHA MABWEPANDE kina waogopa MAGAIDI kwa kuwa kiliwatumia kisha kika waacha kama toilet paper.kina waacha mpaka siku wakileta noma la kui-dhalilisha serikali ndo wataibuka na kuwapa kesi za kuto kuwa raia wa TANZANIA,mara AL SHABAB na mengine mengi .....kujifanya kwenu wababe wa ki-FIRAHUNI walimu wame WATOA NISHAI.wenyewe wanasema hamkujua uki-mtukana MPISHI jiandae kula vibichi.KULENI SASA na waziri husika anapunga upepo tu haoni aibu.
 
Serikali dhaifu haya ndiyo matokeo yake,tujikumbushe huko nyuma Nyerere, Ally Hasan mwinyi au Jemadari Mkapa huyu tungeshamsahau zamaniii,ukiona hivi ujue kuna jambo serikali haitaki kusema haiwezekani mtu anahatarisha amani tena ya nchi na wanamwangalia tu,tena ushahidi kamili upo?.mbona Mwinjilisti..................... alifungwa mwaka 1 kisa kamtukana Rais sasa huyu je si matusi haya tena kwa Rais,haiwezekani lijitu linatoka litokako linatangaza vita mchana kweupeeeeeeee.mwenye nchi kakaa kimya sasa yametokea hatua zichukuliwe siyo kusikitika tu haitoshi
 
Mi nakushangaa sana kwa akili ya iso na mantic.Ili mtu aonekana ana akili ni lazima awe na mawazo kama yako hata kama ni potovu.Hiyo ni akili finyu sana,mbona elimu yako haikukomboi?

Ukwel wa mambo matokeo ya form 4 angalia shule zlizo kumi Bora kwa kufaulu na kwa kufeli.... Utaupata ukweli
 
Nchi hii si mali ya wakristu
Nchi hii au Mali ya waislam
Nchi hii si Mali ya dini au kabila lolote
Ilitawazwa kuwa Nchi ya kidemokrasia ya Watanzania wote..

Kuna watu wana shauku sana kuona mambo yale ya ukristu au Uislam yanatawala kuanzia ngazi Za kiserikali hadi kijamii, hizo ni ham zao Na shauku Za ndoto zao, mie siwadisapoint sana Kwenye hayo wanayoyataka. Ila kidogo waelewe ziko mchi zonaexercise uislam au ukristu 100% embu wazitafute, waombe uraia wa nchi hizo waende wakajinafasi kimaisha vile watakavyo. Embu Tanzania iacheni iwe Tanzania

ninajaribu kuweka like inashindikana poke LIKE yaku
 
Nendeni kenya muone tamu yake. huyo shekhe ubwabwa anauwawa kimya kimya bila buguza na hakuna kulipiza wala nini. kwakuwa hapa huyo mpumbavu alioko madalakani anawafumbia macho, sasa tumepata akili hatuta fanya makosa kumuweka hustathi madalakani.

Back
Top Bottom