BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
" msiwabomolee watu wa Mwanza hata kama wamekosea , hawa ndio walionipa urais "
" msiwabomolee watu wa Mwanza hata kama wamekosea , hawa ndio walionipa urais "
Wewe ndio muigizaji mkuu. Umetangaza wewe matokeo?
" msiwabomolee watu wa Mwanza hata kama wamekosea , hawa ndio walionipa urais "
Watamkumbuka kwa kuwafundisha kutumia VPN.
Sawa hatuwabolei. Enhe sema kingine
Mimi natumia VPN tangu 2004.Wewe unayo hiyo vpn?
Mawakala waupinzani wamenyimwa barua inshort uchaguzi ni maigizoMungu ambariki lissu.
Ila taarifa za awali nilizopata zimeniuma sanaaaa, yani uchaguzi ni maigizo,matokeo yametengenezwa tayari.
Eee Mungu wewe wajua CHADEMA yangu ipo ktk namna gani mioyoni mwa watu
Kazi anazozifanya Rais Dr Magufuli kwa sasa ipo siku tutakuja kumkumbuka kwenye maisha yetu pamoja na dhihaka za kila siku ambazo inaandikwa ktk mitandao ya kijamii.
Rais Dr John Magufuli ameikuta nchi ina nyufa kubwa sana sasa Rais ameanza kujenga msingi wa nyumba hapo lazima wanaoishi ktk hiyo nyumba watalalamika tu watapigwa na mvua, jua, watalala njaa, nk lakini ipo siku watamkumbuka tu kwa anayoyafanya leo
Kwangu Magufuli ni dikteta tu, hata hao madikteta hukumbukwa ingawa ni kwa mabaya.Kazi anazozifanya Rais Dr Magufuli kwa sasa ipo siku tutakuja kumkumbuka kwenye maisha yetu pamoja na dhihaka za kila siku ambazo inaandikwa ktk mitandao ya kijamii.
Rais Dr John Magufuli ameikuta nchi ina nyufa kubwa sana sasa Rais ameanza kujenga msingi wa nyumba hapo lazima wanaoishi ktk hiyo nyumba watalalamika tu watapigwa na mvua, jua, watalala njaa, nk lakini ipo siku watamkumbuka tu kwa anayoyafanya leo.
No body is all bad, or all good.
Raisi wa Sasa mpaka Sasa kafanya Mengi mazuri . Na Kama akipata mda zaidi ninaamini atatenda Mengi zaidi mazuri.
Ila swala Moja tukubali, tukiwa nchi ya kidemokrasia tunajiongoza wenyewe (majority rule). Kama tunakubali hivyo.
Tuache, kwa sababu ambazo Majority wanaziamini, wachague wakuwaongoza kipindi Cha Miaka mitano ijayo.
Haimaanishi Hawa watu hawakubaliani na mazuri aliyoyafanya.
Dhihaka za mitandaoni au nje ya mitandao kwa ninavyoamini ni njia tu za kisiasa zankumpunguzia Umaarufu (kukubalika),
Lakini yapo Mengi mazuri ambayo hata wapinzani wake wakuu wanayakubali Sana Tena wanatamani wampongeze. Labda tu hawakubali namna alivyoyafanya.
Ndio maana tuna vyama vingi kila Mmoja ananadi sera zake ya namna ataliongoza Taifa.
Kwa maana hiyo lazima tumkumbuke kwa mazuri aliyoyafanya na tutajifuza kwa alipokosea, maana yeye Ni mwanadamu kama sisi, hatupaswi kumuhukumu. Kama hatukubaliane nae. Tumchangie mwingine Kama tunakubaliana nae as well tunandelea nae.
The day is later today after all.
Hata wakoloni walijenga vitu vingi lakini walipingwaKazi anazozifanya Rais Dr Magufuli kwa sasa ipo siku tutakuja kumkumbuka kwenye maisha yetu pamoja na dhihaka za kila siku ambazo inaandikwa ktk mitandao ya kijamii.
Rais Dr John Magufuli ameikuta nchi ina nyufa kubwa sana sasa Rais ameanza kujenga msingi wa nyumba hapo lazima wanaoishi ktk hiyo nyumba watalalamika tu watapigwa na mvua, jua, watalala njaa, nk lakini ipo siku watamkumbuka tu kwa anayoyafanya leo.