Sasa mkuu kama kulikuwa na nyufa kila kona kwann tuliendelea kuamini serikali ya ccm iliyoeka misingi ya izo nyufa???Kazi anazozifanya Rais Dr Magufuli kwa sasa ipo siku tutakuja kumkumbuka kwenye maisha yetu pamoja na dhihaka za kila siku ambazo inaandikwa ktk mitandao ya kijamii.
Rais Dr John Magufuli ameikuta nchi ina nyufa kubwa sana sasa Rais ameanza kujenga msingi wa nyumba hapo lazima wanaoishi ktk hiyo nyumba watalalamika tu watapigwa na mvua, jua, watalala njaa, nk lakini ipo siku watamkumbuka tu kwa anayoyafanya leo.